Meya wa Kinondoni alalamika hakuna maji, hakuna sukari, Umeme unakatika katika

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
949
2,865
Meya wa Kinondoni alalamika hakuna maji, sukari na Umeme unakatika katika, mambo hayo yalikuwa hayapo wakati wa Magufuli na wahusika hawatoi majibu wanachengachenga na viongozi hao wapo kwa ajili ya Wananchi jee kwanini hawatoi majibu?

Meya wa Kinondoni alalamika hakuna maji,sukari na Umeme unakatika katika, mambo hayo yalikuwa hayapo wakati wa Magufuli na wahusika hawatoi majibu wanachengachenga na viongozi hao wapo kwa ajili ya Wananchi jee kwanini hawatoi majibu?
Safi meya!
 
Anamlalamikia nani si walisema wapinzani wanachelewesha maendeleo tunasubiri tuone maendeleo watakayoleta
 
Meya wa Kinondoni alalamika hakuna maji,sukari na Umeme unakatika katika, mambo hayo yalikuwa hayapo wakati wa Magufuli na wahusika hawatoi majibu wanachengachenga na viongozi hao wapo kwa ajili ya Wananchi jee kwanini hawatoi majibu?
Mama ana upiga mwingi
 
Kwani yeye si mwana ccm si waulizane kwenye vikao vyao?
 
Back
Top Bottom