Haiwezekani nyumbani kukawa na betri zinazochajiwa na umeme wa TANESCO na zikatumika wakati umeme unakatika katika?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
7,239
12,755
Kwenye umeme wa solar umeme unaozalishwa wakati wa jua huwa unatunzwa kwenye betri na mwingine unaendeela kutumika. Ikifika usiku wakati wa giza, ule uliotunzwa kwenye betri unaanza kutumika hadi pale jua litakapotokea tena.

Haiwezekani hivi kwenye umeme wa TANESCO. Mfano hapa panq mgao wa leo upo kesho haupo. Haiwezekani kupata betri ambalo linachaji wakati umeme upo. Ukikata unatumia umeme huo. Liwe la size tofauti. La kuanzia kuanziq kutumia nyumba nzima au lile la kuwasha vitu kama computer tu, TV, friji tu nk. Haiwezekani hili kufanyika?
 
Huu mfuno upo mkuu wanafunga hapa hapa unaanzia milión 6 hafi 12. Umeme ukikata unajiwasha kwa saa 24, unawasha chochote kuanzia friji ac na kila kitu kama kawaida.

Ila laiti ningekuwa na uwezo ningefunga solar panels za tesla zenye lifetime warranty. Zile mkuu huhitaji hata kuungwa na grid maana baadhi ya watu walioufunga Marekani mahitaji yanatosha mpaka inarudisha umeme mwingine kwenye grid hadi wanalipwa hasa kipindi cha summer.

Winter ndipo unasaidiana na grid ila sisi hatuna shida ya jua.
 
Zile roof za tesla safi kabisa. Sema niliona review bei yake imesimama. Ukiwa na pesa system kama ile ndiyo mpango mzima. Hivi hamnaga hata portable ya kusema irun kompyuta kwa saa 24?
 
Kuna backup betri fulani kwa ajili ya pc niliziona zinaweza kuisupplyia umeme kwa saa 24. Ila mkuu watumia laptop chukua yenye chip ya m1 au 2 hutahitaji hiyo backup
 
Kwenye umeme wa solar umeme unaozalishwa wakati wa jua huwa unatunzwa kwenye betri na mwingine unaendeela kutumika. Ikifika usiku wakati wa giza, ule uliotunzwa kwenye betri unaanza kutumika hadi pale jua litakapotokea tena.

Haiwezekani hivi kwenye umeme wa TANESCO. Mfano hapa panq mgao wa leo upo kesho haupo. Haiwezekani kupata betri ambalo linachaji wakati umeme upo. Ukikata unatumia umeme huo. Liwe la size tofauti. La kuanzia kuanziq kutumia nyumba nzima au lile la kuwasha vitu kama computer tu, TV, friji tu nk. Haiwezekani hili kufanyika?
Ukinunua betri 4 za N100, na inverter ambayo ni charger, utaweza kuwa unachaji betri umeme unapokuwepo na ukikatika inverter itatoa umeme unaotosha kuwasha TV, fan, fridge ndogo na taa kwa masaa 8 au zaidi

Muda unaweza kuongezeka kaa utawasha fridge kwa muda mfupi
 
Ipo hiyo, nami nishawahi kuwa na hiyo system. Ukiwa na inverter charger pamoja na battery unaweza. Wakati wa changeover from one source to the other huwezi jua. Wakati umeme wa TANESCO umekatika, utaona tu wenzio hawana umeme na wewe bado unao.

Binafsi nilikuwa na inverter charger ya 1.5kW na nikawa nawasha TV, Taa zote (energy saver) na redio. Kwa backup time ya battery banks zangu, nilikuwa nakaa ON battery kwa 24 hrs.

Unaweza pia ukatumia Normal UPS za 1500VA ila ukaipunguzia mzigo. Uwe na external batteries. Uzuri wa UPS hizi zinahitaji battery zito 24Vdc (minimum 2 batteris za 12Vdc each conected in series). Kwako ni rahisi kupata, kuliko UPS kubwa zinazohitaji 400Vdc sawa na almost batteries 32 za 12Vdc each connected in series
 
Muda utaongezeka kwa kupunguza load au kuongeza batteries capacity lakini zisizidi charging capacity ya inverter charger. Inver zinazosukwa mitaani huwa zinafanya kazi, lakini LOSES ARE NOT WELL CALCULATED..!! Ndo maana utazisikia zina huming sound kubwa and sometime they get heated up.

Na vile vile kuna bateries maalumu zinaitwa deep cycle batteries. Si kila battery ni nzuri kwenye hili jambo. Kwa wanofanya kazi kwenye minara ya simu watanielewa szaidi. Ni zile za kwenye ma-rectifire au transmission racks
 
Umeme unaotoka kwenye plugs za ukutani ni AC vyombo vingi ni AC hata kama ni DC (TV n.k.) zinakuwa na adaptor kubadilisha ile AC kuwa DC...

Battery zote ni DC hivyo inabidi kubadilisha AC ya Tanesco kuwa DC; Kila unavyofanya mabadiliko efficiency sio 100 percent hivyo kuna Nishati inapotea (unapoteza pesa)..., Hivyo Units za TANESCO utaziweka kwenye battery with a loss na mwisho wa siku maintanance ya battery n.k. utajikuta efficiency yako inapungua...

Hapo ndipo nakuuliza kwanini tu usitumie solar kutunza huo umeme ? Battery Bank yako itakuwa ina ujazo gani na utatunza kiasi gani ?; Battery bado ni bottleneck katika mfumo mzima....

That said kuna taa ambazo zina-jichaji kwa umeme hence umeme ukiwa haupo unatapa mwanga kwa muda kadhaa (sijajua ni masaa mangapi)
 
Kwenye umeme wa solar umeme unaozalishwa wakati wa jua huwa unatunzwa kwenye betri na mwingine unaendeela kutumika. Ikifika usiku wakati wa giza, ule uliotunzwa kwenye betri unaanza kutumika hadi pale jua litakapotokea tena.

Haiwezekani hivi kwenye umeme wa TANESCO. Mfano hapa panq mgao wa leo upo kesho haupo. Haiwezekani kupata betri ambalo linachaji wakati umeme upo. Ukikata unatumia umeme huo. Liwe la size tofauti. La kuanzia kuanziq kutumia nyumba nzima au lile la kuwasha vitu kama computer tu, TV, friji tu nk. Haiwezekani hili kufanyika?
Inawezekana vizuri kabisa
 
Ipo hiyo, nami nishawahi kuwa na hiyo system. Ukiwa na inverter charger pamoja na battery unaweza. Wakati wa changeover from one source to the other huwezi jua. Wakati umeme wa TANESCO umekatika, utaona tu wenzio hawana umeme na wewe bado unao.

Binafsi nilikuwa na inverter charger ya 1.5kW na nikawa nawasha TV, Taa zote (energy saver) na redio. Kwa backup time ya battery banks zangu, nilikuwa nakaa ON battery kwa 24 hrs.

Unaweza pia ukatumia Normal UPS za 1500VA ila ukaipunguzia mzigo. Uwe na external batteries. Uzuri wa UPS hizi zinahitaji battery zito 24Vdc (minimum 2 batteris za 12Vdc each conected in series). Kwako ni rahisi kupata, kuliko UPS kubwa zinazohitaji 400Vdc sawa na almost batteries 32 za 12Vdc each connected in series
Kumbe upo vizuri Kichwani!
 
Back
Top Bottom