Ubungo is a district north west of Dar es Salaam central business district, Tanzania. It is located in the western part of the province.
Ubungo was formerly a ward in the Kinondoni District of Dar es Salaam.
Habari ya wakati huu.
Mwenye mahitaji mashine ya kununua, spea parts, na service za mashine hizi chini, karibu tuwasiliane zaidi.
1. Tractor (35hp, 50-60hp, 75hp) na Power tiller 15.5hp
2. Forklifts ( 3.5T, 5T & 7-10T)
3. Generators ( 17kva - 550kva )
4. Wheel loaders ( 3T & 5T)
5...
agriculture
china
construction
dar es salaam
dsm
excavator
forklift
gari
generator
industries
machinery
magari miradi
mitambo
tanzania
tractor
tractors kubota
trucks
ubungo
urafiki
Mafundi wa ujenzi, kazi ni upigaji wa plaster siku ya kesho tarehe 07/09/2026 wanahitajika wa kutosha kama unaweza ama unamfahamu mdau anayeweza kufanya hili jambo mjuze aweze kusogea karibu, Asubuhi na mapema tukimbizane........
Kazi ni kubwa na mafundi ni wengi sana wanaohitajika kwa wepesi...
TAARIFA KWA UMMA
UFAFANUZI WA USHURU WA BAJAJI KATIKA KITUO CHA MABASI CHA MAGUFULI
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kwamba viwango vya ushuru vinavyotozwa kwa bajaji katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli vinatofautiana kulingana na aina ya huduma inayofanyika...
Naona kama shughuli sasa imekuwa rasmi. Maduka ya wamachinga yameanza sehemu pembezoni mwa interchange ya Kijazi na Morogoro road.
Je watendaji hili wanaliona au wanasubiria mpaka kipele kiwe jipu ndo waje watoe suluhisho. Ni aibu kuona kila mahala wamachinga wamezagaa bila udhibiti wowote.
Viongozi wa mamlaka ya elimu wafanye ziara katika Shule ya Msingi Umoja iliyopo Mabibo Farasi, Kata ya Mabibo, Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam, na kuwahoji wanafunzi kuhusu michango ya shule ili kuona jinsi wazazi na watoto wanavyoteseka.
Kwa mfano, mzazi mwenye watoto wawili shuleni hapo...
Anonymous
Thread
farasi
mabibo
msingi
shule
shule ya msingi
ubungo
umoja
wilaya
wilaya ya ubungo
Baada ya 17/8/2026, tamko la Mkuu wa Mkoa lilielekeza magari kurudi Mbezi Luis Stand. Kampuni zote zimetii, isipokuwa “kampuni pendwa 3” ambazo hazijatajwa majina, zimeruhusiwa kuendelea kuanzia mjini.
Hakuna mwandishi aliyenyanyua mdomo kuhoji sababu na vigezo vya hizo kampuni. Ila katika moja...
Zaidi ya miezi sita imepita tangu Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo itoe taarifa kwamba inafanyia kazi changamoto ya vyoo vilivyopo katika stendi ya mawasiliano, pembezoni mwa Soko la Maindi.
Nasikitika kusema kwamba hakuna kilichoendelea hadi sasa. Vyoo hivyo bado havifanyi kazi na kwa sasa...
Anonymous
Thread
bado
kazi
mawasiliano
mwezi
simu 2000
soko
stendi
stendi mawasiliano
ubungo
vyoo
Mimi ni mwananchi na mfanyabiashara mmojawapo miongoni mwa wamiliki wa nyumba na viwanja zaidi ya 100 vilivyopo katika eneo la Ubungo Riverside, pembezoni mwa stendi ya basi (Riverside).
Eneo hili la kibiashara, nina nyumba yangu halali yenye hatimiliki ya uwekezaji ikiwemo biashara na makazi...
Kwema wakuu,
Nasikia sauti ya milipuko maeneo ya Sinza, Shekilango au Ubungo, ni nini hii wakuu?
NB
Hata mwaka jana tarehe kama ya leo ilisikika pia
https://www.jamiiforums.com/threads/hii-milipuko-inayosikika-eneo-la-ubungo-ni-nini.2370713/
Kuna changamoto kadhaa zinazoendelea katika hospitali hii ambazo zinahitaji kufanyiwa uchunguzi na kuchukuliwa hatua:
1. Ucheleweshaji wa malipo ya wafanyakazi
Wafanyakazi hawajalipwa malipo ya muda wa ziada (overtime) tangu mwezi Novemba hadi sasa. Wanapouliza uongozi, wamekuwa wakielezwa kuwa...
Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto mbalimbali zinazodaiwa kuwepo katika Hospitali ya Wilaya ya Ubungo, hususan katika usimamizi wa ajira za kujitolea (volunteer), maslahi ya watumishi, uongozi na usimamizi wa fedha.
Kwanza, kuna malalamiko kuhusu upendeleo katika upatikanaji wa...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mwanaharakati wa kisiasa, Habibu Mchange, amedai kuwa aliyekuwa Mbunge wa Ubungo, John Mnyika, aliamua kutogombea tena nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kutokana na kutokubaliana na uamuzi wa CHADEMA kumpokea aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es Salaam na Visiwa vya Zanzibar kuwa kumetokea hitilafu ya dharula ya kiufundi katika moja ya transfoma kwenye Kituo cha chetu cha Kupoza Umeme cha Ubungo baada ya waya kukatika na kusababisha...
Nikiwa Ubungo Riverside, nimebaini kuwepo kwa changamoto kubwa ya uondoaji wa taka ambapo huduma hiyo imekuwa ya kusuasua kwa muda sasa. Hali hii imesababisha taka kurundikwa kando ya barabara na katika maeneo ya makazi kwa siku nyingi bila kuondolewa.
Wakazi wa eneo hili wanasema taka hizo...
Kuporwa kwa uwanja wa michezo wa Sahara uliopo kata ya Mabibo, Ubungo—ambalo ni eneo la wazi la umma—ni uthibitisho tosha la jinsi wananchi wanavyokosa watetezi wa haki zao pale CHADEMA wanapokuwa nje ya vyombo vya maamuzi.
Wananchi wa eneo hili sasa wapo hatarini kupoteza kabisa ardhi hii ya...
Kiukweli ni hospitali nzuri tu, wanatoa huduma nzuri, ila changamoto ni gharama za kujifungua zipo juu.
Miaka miwili iliyopita, kujifungua kwa kawaida ilikuwa unachangia elfu hamsini, na kwa upasuaji laki na nusu. Haikujalisha umekuja na vitu vyako, ilikuwa ni lazima uchangie hivyo.
Ila kwa...
Jumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu (TAHLISO) wameandaa kongamano la wanafunzi wa vyuo walilolipa jina la Never Again, wakiwa na madhumuni ya kudumisha amani, hususani kwa wanafunzi Tanzania.
Mgeni rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh Albert John Chalamila na viongozi wengine wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.