Taarifa zinazokinzana kuhusu jumla ya wanajeshi wa Israel waliouawa katika Ukanda wa Gaza

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
47,009
32,442
Wanaukumbi,

Tuliambiwa kuwa Jeshi la Israel limechukua umiliki wa Gaza na wanakamilisha vitu vidogo vidogo kumaliza vita, lakini cha kushangaza mbona kila siku tunasikia vifo vya Wanajeshi wa Israel IDF hawajahi kutuonyesha maiti za Hamas zaidi ya kuona Maiti za Watoto na wanawake.

DF spokesman announces names of three soldiers killed in Gaza fighting on Sunday

The IDF spokesman announced that three soldiers were killed Sunday in the fighting in the Gaza Strip.

Sgt. Maj. (Res.) Neriya Shaer, 36, from Yavne, Sgt. 1st Class (res.) Ben Zussman, 22, from Jerusalem, and Sgt. Binyamin Yehoshua Needham, 19, from Zichron Ya'akov.

Hizo ni namba za kisiasa tu Taarifa zinazokinzana kuhusu jumla ya wanajeshi wa Israel waliouawa katika Ukanda wa Gaza.

====

JERUSALEM

The Israeli army said Monday three more soldiers were killed in clashes in the northern Gaza Strip.

A military statement said two soldiers from the 890 Paratrooper Battalion were killed in combat north of the blockaded territory.

Another soldier from the Givati Brigade’s reconnaissance unit was killed in the northern Gaza Strip, the army said in a separate statement.

On Sunday, the army said that five Israeli soldiers were killed in fighting in the blockaded Palestinian territory.

There are conflicting reports about the total number of Israeli soldiers killed in the Gaza Strip.

According to Yedioth Ahronoth newspaper, 66 Israeli soldiers have been killed in Gaza since the army expanded its ground operations in the enclave on Oct. 27.

On Saturday, army spokesman Daniel Hagari put the military death toll since the outbreak of the Gaza conflict on Oct. 7 at 378.

Since Israel started bombarding Gaza on Oct. 7, at least 13,000 Palestinians have been killed, including over 9,000 women and children, and more than 30,000 others have been injured, according to the latest figures.

Thousands of buildings, including hospitals, mosques, and churches, have also been damaged or destroyed in Israel’s relentless air and ground attacks on the besieged enclave.

An Israeli blockade has also cut Gaza off from fuel, electricity, and water supplies, and hindered aid deliveries.

The Israeli death toll, meanwhile, is around 1,200, according to official figures.

Haaretz
 
Israel imekuwa na tabia ya kuchuja taarifa za vifo vya wanajeshi wake vitani lakini wakati huu ame gonga mwamba.
Siyo Israel tu, Taifa,nchi yeyote ikiwa vitani haitoi taarifa sahihi za vifo na hasara. Ninavyojua mimi hapo wanajeshi ni wengi na hasara ni kubwa , hata huko palestina idadi ya vifo siyo sahihi hasa watoto inakuzwa ili kuvuta hisia za jumuia ya kimataifa juu ya mdhiara wanayopitia.
Hao watu zaidi ya 15,000 waliouawa , alafu wanasema raia .
Zote hizo siyo taarifa sahihi. Nani anazikusanya wakati anaeto taarifa ya vifo vya wapalestina hayupo palestina, amekimbilia kama siyo Lebanon yupo Syria au Qatar.
Sasa hayo mapigano walioingia ya ardhini ndiyo hatari kwao,kwa kuwa adui hana sare,amevaa msuli, amevaa baibui, na hijabu. Matasikia ingawa wataishinda lakini watapoteza wengi sana
 
🚨 Picha mpya zinaonyesha shambulio la Hezbollah ATGM likilenga gari la kijeshi la Israeli katika kituo cha IOF huko Beit Hillel.

Shambulio hilo lilisababisha kujeruhiwa kwa takriban Waisraeli 11, na lilitekelezwa kwa kutumia kombora lililotengenezwa kwa usahihi na kuongozwa na Iran.

Wanafuta video halli tete huko.
 
Siyo Israel tu, Taifa,nchi yeyote ikiwa vitani haitoi taarifa sahihi za vifo na hasara. Ninavyojua mimi hapo wanajeshi ni wengi na hasara ni kubwa , hata huko palestina idadi ya vifo siyo sahihi hasa watoto inakuzwa ili kuvuta hisia za jumuia ya kimataifa juu ya mdhiara wanayopitia.
Hao watu zaidi ya 15,000 waliouawa , alafu wanasema raia .
Zote hizo siyo taarifa sahihi. Nani anazikusanya wakati anaeto taarifa ya vifo vya wapalestina hayupo palestina, amekimbilia kama siyo Lebanon yupo Syria au Qatar.
Sasa hayo mapigano walioingia ya ardhini ndiyo hatari kwao,kwa kuwa adui hana sare,amevaa msuli, amevaa baibui, na hijabu. Matasikia ingawa wataishinda lakini watapoteza wengi sana
Takwimu zinazo tolewa kwenye ukanda wa gaza ni kwa mujibu wa umoja wa mataifa kwa sababu hospital zote zilizoko gaza zina dhaminiwa na ziko chini ya umoja wa mataifa.

Unacho takiwa kutambua ni kuwa gaza ni jieneo kidogo sana na kina msongamano mkubwa wa watu, gaza kabla ya vita hii ilikuwa na watu zaidi ya million 2.4 ambao ni karibia ya nusu ya watu walio dar wakati gaza ukubwa wake ni sawa na nusu ya wilaya ya kigamboni.

Kwanza hizi takwimu zinazo tolewa ni zile za watu wanao kufa hapo hapo na majeruhi wenye hali mbaya walahazijumuishi maelfu ya watu walio chini ya vifusi mpaka sasa kwa hiyo maada ya vita tegemea maelfu ya watu kukutwa chini ya vifusi wakiwa wame kufa.
 
Nadhani katika Vita kuchuja taarifa ni kitu muhimu! Nchi haiwezi kutoa idadi kamili ya vifo vya wapiganaji,inaweza kuvunja morale ya wanajeshi kupigana na vile vile inaweza kuleta hofu kwa wananchi. Lazima wakati wote Mkuu wa nchi atangaze mafanikio ya vita.
 
Israhell wanasema wamepoteza wanajeshi 800s
Ila ukweli nikwamba wanatupiga kamba mbwa wale
IDF kama wangeweza kuwakamata Wanamgambo wa Hamas hata wawili wangewatesa sana huku wakionyesha video zao lakini mpaka sana wanashambulia watoto, shule, Hospitali. Majengo. Kambi za wakimbizi.

40,650 wounded
7,500 under rubble
15,207 murdered
  • 6,387 children
  • 75 journalists
  • 280 medical staff
  • 0 Hamas
 
IDF kama wangeweza kuwakamata Wanamgambo wa Hamas hata wawili wangewatesa sana huku wakionyesha video zao lakini mpaka sana wanashambulia watoto, shule, Hospitali. Majengo. Kambi za wakimbizi.

40,650 wounded
7,500 under rubble
15,207 murdered
  • 6,387 children
  • 75 journalists
  • 280 medical staff
  • 0 Hamas
Nani kakudanganya ? ....kwani hao hamas wana nembo ili kuwatenganisha na raia, kumbuka kuna taarifa hamas waliitoa kuwa baadhi ya makombora ya Israel yaliua baadhi ya mateka.

Je hao mateka waliokufa walikuwa pekee yao wamejitenga na watekaji?? 🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom