ugonjwa

  1. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali ilituficha kuugua kwa Dkt. Magufuli?

    Kama sikosei, mpaka sasa Rais Samia keshaongea na waandishi wa habari kama mara mbili hivi. Ni zaidi ya mwezi sasa tokea alipoongea na wahariri wa vyombo vya habari/ waandishi wa habari toka ikulu ya Dar es Salaam. Wiki moja au mbili zilizopita, akafanya mahojiano na Salim Kikeke wa BBC...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Ukiugua ugonjwa ambao hauna tiba na ukapona, je inahitaji kupatiwa chanjo?

    Tumeona kati ya watu 200 million walioambukizwa na kuugua ugonjwa wa COVID-19, ni watu milioni 4 tu wamekufa. Ina maana zaidi ya million 190 wamepona bila kuwa na na specific treatment ya ugonjwa wa UVIKO-19. Ni kwamba miili ya wagonjwa hawa iliweza kujitengenezea specific antibodies against...
  3. T

    JamiiForums Tanzania FDA ya Marekani yaidhinisha dozi ya tatu ya chanjo ama booster vaccine kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19

    Taasisi ya Chakula na Dawa ama FDA ambayo ndio huithinisha matumizi ya madawa kwa binadamu nchini Marekani inatarajia kuidhinisha matumizi ya dozi ya pili ya chanjo ama booster vaccine shots (kwa waliopata Chanjo ya Johnson and Johnson) ama ya tatu kwa waliopata chanjo nyingine kama Moderna ama...
  4. MSHINO

    JamiiForums Tanzania Nikiona kipindi kwenye TV nazima; nasumbuliwa na ugonjwa gani?

    Wakuu habari za mchana, mimi siyo mpenzi wa siasa wala mfuasi wa chama chochote, huko nyuma niliwahi kufuatilia siasa nikaanza kukipenda sera za vyama vya upinzani hasa kipindi kile cha kuibuliwa kwa ufisadi wa RICHMOND, ECROW ACCOUNT, MELEMETA, TEGETA ECROW NA NK. Baada ya aliekuwa waziri mkuu...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Guinea yaripoti kisa cha kwanza cha Ugonjwa wa Marburg

    Wataalamu wa Afya Nchini humo wamethibitisha kisa cha kwanza cha Marburg katika Ukanda wa Afrika Magharibi. Ugonjwa huo umetajwa kuwa jamii moja na Virusi vya Ebola. Mgonjwa aliyekutwa nao amefariki dunia. Imeelezwa, Ugonjwa huo unasambaa kwa binadamu kupitia majimaji. Jitihada za kutafuta watu...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Ogopeni ugonjwa msiogope chanjo

    Eti baada ya kuogopa gonjwa la Corona wanaogopa chanjo yake pumbafu. ukipata ugonjwa kuupona unatumia hela nyingi mpaka unafirisika na pengine usipone, kuna jirani yangu kamtibu mkewe kwa gharama ya sh 29 million bahati nzuri amepona lakini mume huyo hoi kiuchumi. Kamwa wewe ni: 1...
  7. MoseeYM

    JamiiForums Tanzania SoC01 Katikati ya mjadala kuhusu kukubalika na kutokukubalika chanjo COVID-19

    Nini maana ya chanjo? Chanjo ni kitu kinachofanya kazi ya kuupa mfumo wa kinga ya mwili kuzalisha kinga ili kupambana na ugonjwa Fulani. Chanjo hufanya kazi kwa kuufunza mfumo wa kinga kutambua/kubaini na kukabiliana na vimelea vya magonjwa vinapoingia mwilini. Historia ya chanjo duniani...
  8. chakii

    JamiiForums Tanzania Chanjo anapewa ambaye hajapata ugonjwa

    Wadau chanjo kitaalam anapewa mtu ambaye hajapata ugonjwa ili iwe kinga kwake. Watanzania wengi sasa COVID-19 ilishapamba moto kutokana na jinsi serikali ya JPM ilivyopuuzia hili jambo. Sitegemei maajabu sana katika hili suala wakati wengi wetu ni asymptomatic (hatuoneshi dalili) lakini...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa kujikuna wa hivi karibuni usio wa kawaida je umekupata?

    Kumezuka ugonjwa mpya wa kujikuna ambao mtu anawashwa Sana na anatoa vipele vidogovidogo. Sijui ni wangapi mmeshausikia au kuupata. Mimi na familia yangu wote tunawashwa na huko Moshi pia Kuna jamaa zangu wawili na familia zao nao wameniambia Wana washwa na kujikuna sana. Plz Kama umepata Hilo...
  10. Mtoto wa Nyerere

    JamiiForums Tanzania Kaka yangu amefariki kwa ugonjwa wa CORONA

    Kaka yangu kafariki jioni hii kwa covid 19 hospital ya Bugando Mwanza hakika ni majonzi makubwa sana. Alifikishwa hapo kwa matatizo ya uchovu tu na kwenda kucheki na hakupelekwa na mtu alienda akiendesha gari yake mwenyewe ila badae walimpima na kukuta ana corona akawekwa pale toka juzi Leo...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ni Furaha kuu, Corona kama Ugonjwa na yatokanayo yakielekea ukingoni

    Leo ni siku ya furaha kuwa chanjo ya Corona inazinduliwa. Hatimaye pana Nuru tena katika maisha yetu. Baada ya uzinduzi huu na kutupa maelekezo ya wapi kila yeyote alipo anaweza kwenda kuchanjwa kwa raha zake, tutakuwa tunaifunga rasmi sehemu kubwa ya mijadala kuhusiana na ugonjwa na yote...
  12. 666 chata

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini tunaulazimishia kwa nguvu zote ugonjwa wa Corona kuwa umerudi upya?

    sijui kama heading iko vizuri au vp! Ila inashangaza sanaa kuona namna tunavyoulazimishia huu ugonjwa uendelee kuwepo au tunalazimishia kwamba umerudi upyaa! jamani tumerudi nyuma sanaa kwenye hili. Ni aibu kubwa kuona namna tunavyolazimishia uwepo wa ugonjwa huu, yaani its so unnecessary...
  13. The perfect guy

    JamiiForums Tanzania Kuani msibani na sherehe Kunavyochangia Kuenea kwa ugonjwa wa malaria

    Jamani sote tunajua malaria ni ugonjwa gani ?Moja ya jambo gumu na ambalo limeshindwa kufanyiwa utafiti na wasomi wetu ni hii kadhia ya kuhani msibani na sherehe mbali mbali Kama harusi ndo chanzo kikuu Cha kuenea huu ugonjwa wa malaria Barani Afrika kwa ujumla,samahani kwa mtakao ona kma...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Havana Syndrome: Ugonjwa unaotesa wanadiplomasia na majasusi wa Marekani huku Urusi ikishutumiwa kuhusika

    Ugojwa huu ulianzia huko HAVANA nchini Cuba, ukiwapata wanadiplomasia wa Marekani na Canada na baadae kusambaa katika balozi nyingine za Marekani na kuwapata mashushushu wa Marekani (CIA)! Cha ajabu ugonjwa huu unawapata mabalozi na maafisa wa CIA hasa wale wanaojihususha kuichunguza Russia...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ufahamu ugonjwa wa The Black Death ulioua watu wengi zaidi kwenye historia ya dunia

    Mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka 1347 karne ya 14, meli 12 ziliwasili katika bandari ya messina mji wa Sicily nchini Italia zikiwa zimetokea bahari nyeusi maarufu kama The Black Sea. Sababu ilikua moja ya bandali kubwa ya kibiashara watu walisogea ili kupokea meli hizo na kupigwa na butwaa baada...
  16. TechTino

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kipato duni na Ugonjwa wa UVIKO - 19 (COVID-19)

    UMASKINI NA UVIKO-19 (COVID -19) Athari za janga hili kwa umaskini hutegemea kwa sababu kadhaa. Kuongeza usawa na kupungua zaidi kwa ukuaji wa uchumi inaweza kusukuma watu zaidi katika umaskini. Janga hili pia linatoa changamoto kwa serikali , uwezo wa kifedha ambao ulikuwa tayari...
  17. frenderPH

    JamiiForums Tanzania Kwa anayejua huu ugonjwa Anal Fissure anisaidie mawazo

    Wadau habari za jioni? Kama mada ilivyo hapo juu kuna huo ugonjwa unaitwa Anal fissure siujui jina lake kwa kiswahili, yani unakua kama kunavinyama fulani vinatokea kwenye anus vinatokana na mchaniko unaosababishwa na choo ngumu. Huu uugonjwa unadawa ambayo inaweza kuuponesha tofauti na...
  18. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba

    Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imesaini hati ya makubaliano ya jumla ya shilingi milioni 420 ya ujenzi wa sanamu la Hayati John Pombe Magafuli, na ukarabati wa kumbi kubwa za kisasa kwenye maonyesho ya sabasaba ya 45. Mkurugenzi wa TanTrade Rutageruka Sabi amesema kuwa...
  19. Morg

    JamiiForums Tanzania Wazee wa kunukia sogeeni hapa kidogo tupate update

    Wakuu nimekuwa miongoni mwa mhanga wa matumizi mabaya ya unyunyu ni zaidi ya addicted kama mtu anaetumia mihadarati Ngumu mm kuacha kabisa cost me pesa nyingi kununua Kila kukicha hata kama sijamaliza naapgrade mda wowote Nina pafyume zaidi ya Tano na zote mpya Kuna mzigo nimeonesha ushatua...
  20. L

    JamiiForums Tanzania China itaendelea kushirikiana na Afrika kupambana na malaria baada ya kuidhinishwa na WHO kuwa nchi isiyo na ugonjwa huo

    Mapema wiki hii mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani WHO Bw. Tedros Ghebreyesus aliitangazia dunia kuwa China imetokomeza ugonjwa wa Malaria. Taarifa iliyotolewa na WHO inasema Bw. Tedros amepongeza mafanikio hayo ambayo ametaja kuwa yamepatikana kutokana na kazi ngumu iliyofanyika kwa zaidi ya...
Back
Top Bottom