wachaga

The Chaga (also called Wachaga, Chagga, Jagga, Dschagga, Waschagga, or Wachagga) are Bantu-speaking indigenous Africans and the third largest ethnic group in Tanzania. They traditionally live on the southern and eastern slopes of Mount Kilimanjaro and Mount Meru and near Moshi. Their relative wealth comes from the favorable climate of the area and successful agricultural methods, which include extensive irrigation systems, terracing, and continuous organic fertilization methods practiced for thousands of years. They were one of the first tribes in the area to convert to Christianity. This may have given them an economic advantage over other ethnic groups, as they had better access to education and health care as Christians.
The Chaga descended from various Bantu groups who migrated from elsewhere in Africa to the foothills of Mount Kilimanjaro, a migration that began around the start of the eleventh century. While the Chaga are Bantu-speakers, their language has a number of dialects related to Kamba, which is spoken in southeast Kenya, and to other languages spoken in the east, such as Dabida and Pokomo.
The Chaga area is traditionally divided into a number of chiefdoms. They are culturally related to the Pare, Taveta, and Taita peoples. They follow a patrilineal system of descent and inheritance. Their way of life is based primarily on agriculture, using irrigation on terraced fields and oxen manure. Although bananas are their staple food, they also cultivate various crops, including yams, beans, and maize. In agricultural exports, they are best known for their Arabica coffee, which is exported to American and European markets, resulting in coffee being a primary cash crop.

View More On Wikipedia.org
  1. Lycaon pictus

    Vita kali kati ya Wamasai na Wachaga, 1820,s

    Kabla hawajafika Wamasai katika nchi yetu, walikuwa wakikaa upande wa Afrika ya Mashariki unaoitwa sasa Kenya kwa miaka mingi, wakahama taratibu wakiingia nchi hii kutafuta malisho kwa wanyama wao. Katika mwendo wao wa kuhama waliingia nchi za tambarare zilizo chini ya mlima Kilimanjaro kwa...
  2. M

    Binti mrembo pisi kali, kwao maisha mazuri lakini ni kondakta wa Basi

    habari ya jumamosi. ukweli mabinti wa kichaga wana tofauti kubwa na makabila mengi. sio wavivu na hawachagui kazi. mfano hai ni huyu dada kondakta wa bus. shule amesomeshwa tena shule nzuri, kwao maisha mazuri, vijana wanasema mboga saba ila kazi yake huyu dada ni kondakta wa bus. nawaza...
  3. Mr Why

    Kwanini wachaga hawafanani na sifa wanazojipa?

    Leo ningependa nizungumze na ndugu zangu Wachaga na wanipe ufafanuzi kuhusiana na madai yangu. Ukiwa mtumiaji wa mitandao ya kijamii utakutana na machapisho mengi yanayozungumzia sana ndugu zetu Wachaga kwa namna chanya kwamba wana uwezo mkubwa wa fedha nakadhalika na mbaya zaidi wapo ambao...
  4. Jaji Mfawidhi

    Wachaga wakubaliana kuwa kama Wahindi mwaka 2024

    NI kawaida siku hizi kupokea simu, meseji ama ugeni wa ndugu, jamaa na marafiki kukuuliza na kuomba kama unaweza kusaidia kupatikana kwa ajira kwa ajili ya kijana au binti yao ama kufuatwa na kijana au binti mwenyewe. Mara nyingi utaachiwa nakala kivuli za vyeti vya ufaulu kwa ajili ya rejea...
  5. King Jody

    Tabia ya wachaga kurudi kwao Kilimanjaro kila ifikapo mwisho wa mwaka ni jambo zuri na la kuigwa na makabila mengine

    Niwapongeze sana wachaga kwa utaratibu wao wa kukutana kila ufikapo mwisho wa mwaka, Sababu zao kukutana ni kama ifutavyo 1. Kukutana na kuonana live ndugu jamaa na marafiki baada ya kupotezana kwa takribani mwaka mzima kwenye harakati za utafutaji. 2. Kusherehekea kumaliza mwaka salama kwa...
  6. sky soldier

    Tukiachana na wachaga, Kuna kabila lingine lina utamaduni wa kurudi na kujumuika kwenye vijiji vya mizizi yao nje ya misiba?

    Ni utamaduni unaonishangaza sana, kila ikifika december wiki 2 za mwisho Wachaga wa nje ya mikoa na nje ya nchi hukusanyika pamoja kwenye sehemu za asili zao huko Kilimanjaro. Kwa miaka kadhaa nishazoea kuona status za wachaga watatu wanaoishi nje ya nchi wanapost status wamerudi, Yupo anaeishi...
  7. V

    Wachaga Pitieni hapa (ndani Kuna mbege na kisusio)

    Matumaini yangu mu- wazima na mmeshaskia ukoo mmoja uchagani unaitwa mboro,walahi unanishangaza. Kifupi ni hilo Jina,it never get old. Kila nikiliskia redioni Kuna namna najiuliza maswali Mengi. Juzi kati redio moja alikuwa Demu anatangaza matangazo ya vifo alivyotaja Hilo Jina alistuka...
  8. R-K-O

    Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

    Licha ya umasikini wetu wa taifa hapakosekani kundi la watu wenye nafuu, hata kwenye ukoo masikini wale wenye magari hutokea koo maskini ila wao kama wao wapo mbali kuzidi wenzao, Tukigusia makabila yenye asili ya hapa kwetu, wachaga wapo mbali mno, yapo makabila yanayofatia ila ni gepu refu...
  9. sanalii

    Naomba kufahamu asili ya wachaga ambo ni weupe pee, wametokea wapi?

    Kuna kundi la wachaga ambao wao ni weupe sana au tuseme kabisa, hawa asili yao ni wapi?
  10. IamBrianLeeSnr

    Wachaga na kisa cha kurudi nyumbani kila mwisho wa mwaka.

    Wachaga ni kabila lenye asili ya Kibantu na mchanganyiko wa asili ya Kikushi wanaoishi kaskazini mwa Tanzania, Kilimanjaro mkoani Kilimanjaro. Kabila la Wachaga linatajwa kuwa la tatu kwa ukubwa nchini Tanzania, ambapo takwimu za mwaka 2003 zinaonyesha kuwa idadi ya Wachaga ni watu 2,000,000...
  11. Mwachiluwi

    Wachaga tupe siri na sisi wengine

    Hellow africa Wachaga mnatutia hasira sana hapa mjini inamaana sisi wengine hatujui kutafuta hela? Hapa mjini wachaga mna mandinga makali sana yaani ukijaribu kuuliza ili ili gari la mdosi gani unaambiwa mchaga huyo wa marangu 🙄🙄🙄 Nilikuwa moshi kipindi mwezi wa kumi na mbili magari yalikuwa...
  12. NetMaster

    Kipi hupelekea kabila la wamasai, mkoa wa mara na baadhi ya wachaga kuwa na ndevu chache

    Licha ya watu hawa wengi kubarikiwa urefu, miili yenye nguvu na ujasiri lakini kwenye suala la kuwa na ndevu kuna kipengere wapo wenye chache, wengine wanazo kwa mbali, wengine hawana kabisa. Hali hii huenda inatokea kwajili gani?
  13. Gulio Tanzania

    Wachaga wengi wanapenda kupata huduma au kwa bei ya chini

    Ni jambo lialoshangaza sana kwa wateja kabila la kichaga wanapenda kitonga Sana kila huduma au bidhaa wanataka bei ya punguzo ni kero Sana Hawa watu kama unabiashara yako watu wakwanza kuwa kwepa ni Hawa wachaga sio wakuwaweka kwenye list kabisa . Kitu kingine wachaga wengi sio waaminifu unaweza...
  14. M

    Wachagga pekee ndio wanampigania Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama

    Unaweza kufikiri ni watanzania wote ndio wapo upande wa Mch Kimaro. Ukweli ni kwamba jamaa zetu hawa wa Kilimanjaro ndio wanaoongoza kupiga propaganda kwenye mitandao huko. Na kwa vile wametapakaa kila sehemu kila kona basi nikueneza tu kuwa Kimaro ni mtu safi na kwamba KKKT inamuonea tu. Hawa...
  15. mitale na midimu

    YOM HAKIPPUR: Wanachokifanya WACHAGA DECEMBER ni Sawa na walichofanya WAISRAEL siku ya kumi ya mwezi KISLEU

    Mwenyezi Mungu aliwaelekeza mara moja kwa mwaka Waisrael wakutane katika mkutaniko na familia zao kupatana nae. Hii ilikuwa ni Siku ya kusameheana. Ilikuwa ni Siku ya kuanza upya na Mungu wao. Wayahudi walisafiri popote walipokuwa duniani na kurudi kwao kwa ajili ya tukio hilo. Siku hiyo...
  16. B

    Kwanini WACHAGA wamekuwa na tamaduni ya kurejea nyumbani kila disemba? Tofauti na CHATO NA USUKUMANI

    Kwanini WACHAGA wamekuwa na tamaduni ya kurejea nyumbani kila disemba? Naomba majibu tafadhali,haya Mambo siyaoni kwingine
  17. NetMaster

    Tofauti na wachaga, kwanini wakabila mengine hayaendelezi makwao na hawapendi kurudi kwao?

    A. MAENDELEO (Kujenga kwao) Mtu ana mafanikio makubwa huku mjini ana nyumba ya kisasa, gari nzuri, kipato cha uhakika, n.k lakini huko kwao hali ni mbaya, Nyumba imekaa kimasikini mpaka aibu, bati lina kutu,ndani vitanda vimechoka, jikoni sufuria ni za kale, n.k… Huu ni uungwana kweli ? kuna...
  18. NetMaster

    Nimeshuhudia baadhi ya wachaga na wakinga wanaacha ajira nzuri wanaingia mazima biashara ambazo zina hatari ya hasara, huu ujasiri wanautoa wapi?

    Ni baadhi yao,,, sio wote Wengi wetu tulitamani hata hizo ajira tuzipate tuwe na mishahara ya uhakika kila mwezi maana huku mitaani hakueleweki. Kuna makabila yenye wasomi kama wahaya, wasukuma, wangoni, wanyakyusa, hawa wakilamba kazi shughuli imeisha, mshahara wa uhakika kwao upo sasa...
  19. sky soldier

    Makabila yenye mafanikio (kasoro wachaga), sehemu walizotokea hazina maendeleo kwasababu wanaogopa kurogwa wakitaka kurudi kufanya maendeleo

    Mchaga ana mambo yake meusi lakini hata yakiwekwa hayo mambo kumi, bado uchawi hauingii kwenye orodha, hata kwa watu tuliowahi kuishi nao Moshi na Arusha tunawajua upande wao mweusi ni utapeli, wizi (hapa wapo hadi majambazi sugu), visasi, ulevi uliopindukia, n.k. lakini maswala ya ushirikina...
  20. sky soldier

    Siri kubwa ya wapemba na wachaga kumpisha Mkinga ni mkinga kuuza kwa faida ndogo, umoja, bidii, kuheshimu wateja na nidhamu ya matumizi ya fedha

    Hao ndio wakinga bwana, hawaishi kukushangaza kwa jinsi walivyoimeza Kariakoo ambalo ndilo soko kubwa Tanzania nzima. Zamani ilishazoeleka hio sehemu wamejaa wachaga na wapemba na makabila mengine madogo madogo kama waha (hawa huwa wanalazimisha mno waonekane wanalingana na wenzao wakubwa)...
Back
Top Bottom