Kanisa Katoliki lasitisha huduma za kufungisha ndoa na ubatizo hadi pale ugonjwa wa COVID-19 utakapodhibitiwa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,961
141,957
Rais wa TEC baba Askofu Nyaisonga ambaye pia ni askofu wa Dayosisi ya Mbeya amesema katika kupambana na maambukizi ya Covid 19 wanasitisha Huduma za sakramenti ya ubatizo na ile ya Ndoa.

Baba askofu amesema Huduma hizo zitarejea tena kama kawaida pale ugonjwa huo utakapokuwa umedhibitiwa.
Baba askofu amesema hayo wakati wa ibada za Pasaka jijini Mbeya.

Source ITV habari!
 
Hajasitisha huduma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja, Kanisa Katoliki halina Dayosisi.

Pili Nyaisonga haongozi Jimbo la Mbeya bali Dodoma

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuuliza si ujinga. Mhashamu Askofu Mkuu Gervas John Nyaisonga ni Askofu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya. Askofu wa jimbo kuu Katoliki la Dodoma ni Askofu mkuu,Beatus Kinyaiya;kabla alikuwa askofu wa jimbo la Mbulu,kabla ya kuhamishwa Dodoma.
 
Rais wa TEC baba Askofu Nyaisonga ambaye pia ni askofu wa Dayosisi ya Mbeya amesema katika kupambana na maambukizi ya Covid 19 wanasitisha Huduma za sakramenti ya ubatizo na ile ya Ndoa.

Baba askofu amesema Huduma hizo zitarejea tena kama kawaida pale ugonjwa huo utakapokuwa umedhibitiwa.
Baba askofu amesema hayo wakati wa ibada za Pasaka jijini Mbeya.

Source ITV habari!
Shetani uko kazini 'kupotosha & kuzua taharuki'

Ova
 
Back
Top Bottom