Watoto wanne kati ya watano wa Ukanda wa Gaza wanatatizo la msongo wa mawazo, huzuni na hofu ambayo imewatawala kwa miaka 15 waliyozungukwa na zuio la Israeli
Ripoti ya Shirika la Save the Children imeeleza hayo baada ya kufanya utafiti wa zuio hilo ambalo lilianza Juni 2007.
Watoto 800,000 wa...
Moja kwa Moja..
Msanii maarufu Justin Bieber ameshea video kwenye account yake ya instagram akieleza hali hiyo iliyompata inayosababishwa na virus aitwae 'Varicella zoster' ambao hushambulia nerves za sikio na uso.
Kutokana na ugonjwa huo Justin Bieber upande mmoja wa uso hawezi kutabasamu na...
Habari Wana jamiiforums,
Kidogo Nina tatizo kwa mtoto wa miaka 4, Kuna muda macho Yana mwasha ,yanakua mekundu , kama unavyoona kwa picha,naomba kufahani ni ugonjwa Gani au hali gani.
Asante
Dunia ikiwa bado haijamalizana na janga la COVID-19, ambalo limeondoka na roho nyingi za watu na kukwamisha shughuli nyingi za kiuchumi, sasa kuna taharuki mpya imezuka baada ya Shirika la Afya Duniani (WHO) kutangaza virusi vipya vinavyosababisha ugonjwa wa monkeypox.
Monkeypox ni virusi...
WHAT IS MONKEY POXY DISEASE?# A pandemic disease!!!!& THE ONES WHICH MAKE HEAD LINES IN CNN AND OTHER TELEVISION CHANNELS IN THE WORLD.
Tap the link below for more information from WHO Monkeypox
.
Mataifa yametakiwa kuchukua hatua za haraka kudhibiti maambukizi ya Ugonjwa huo. Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kanuni sahihi zikiwekwa kuanzia sasa, kuna nafasi nzuri ya kukabiliana na maambukizi
Hatua zinazoshauriwa ni pamoja na utambuzi wa mapema, kutengwa kwa wanaohofiwa kuwa na...
Kutokana na taarifa za kuenea kwa ugonjwa unaosababishwa na #MonkeyPoxVirus, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa hadi sasa hakuna kisa kilichorekodiwa cha mgonjwa wa virusi hivyo nchini.
-
Aidha Wizara imesema inaendelea kuchukua hatua stahiki kukabiliana na ugonjwa huo kama...
Shirika la Afya Duniani - World Health Organization limesema kuwa linategemea kuwepo visa vingi zaidi vya mlipuko wa ugonjwa wa MONKEY POX na kupata visa vingi zaidi.
Amesema pia kuwa kusambaa kwa ugonjwa huu kulipungua katika kipindi cha mlipuko wa UVIKO na kusema kuwa visa vya ugonjwa huu...
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dk. Rashid Mfaume amesema ugonjwa wa fistula ya uzazi bado ni tatizo nchini na kwamba zaidi ya watu milioni mbili duniani wanaishi na ugonjwa huo.
Amesema hayo kuelekea Siku ya Fistula Duniania Mei 23, ambapo mbali na idadi hiyo pia kuna visa takribani laki...
Naomba msaada wa hivi vinyama vilivyoniota pembezoni mwa shimo la haja kubwa vinaitwa piles kwa kimombo, kiswahili sijui. Hivi vidude huwa vinauma na kuacha, naweza kukaa miezi 8 hadi mwaka sivisikii ila vikianza kuuma nashindwa kukaa au hata kutembea. Naomba msaada wa dakatari yoyote...
Welcome back hero. Uliipigania nchi yako, ulisimama kizalendo kudeal na wauza madawa ya kulevya, waiba magari ya watanzania na kuyapeleka kwa jirani, wahujumu uchumi na wakwepa kodi. Uliipigania nchi yako ili mapato ya serikali yako yaongezeke Taifa lako litekeleze miradi yake kwa fedha za...
Nisaidieni wadau, huo ni ugonjwa gani wa bata? Unatibiwaje?
Vifaranga vya bata wangu vinaisha kwani hupoteza uwezo wa kutembea kama muonavyo pichani kisha hufa.
MSAADA WA HARAKA WA USHAURI UNAHITAJIKA.
Ninawaomba sana wana JF
Machi 7, 2022 niliweka uzi hapa kuhusu watoto kuhusika katika biashara ya kuombaomba mitaani hasa kwenye miji mikubwa.
Justine Kaleb ambaye ni Wakili wa Kujitegemea na Mwandishi wa Vitabu vya Sheria, kutoka Kampuni ya Mawakili ya Moriah Law Chambers alifafanua kwa undani kuhusu hatua...
Habari za asubuhi waungwana wote hapa, Yupo ndugu yangu ameanza kuwa mweupe katika sehemu mbalimbali za mwili wake, weupe unaofanania kama wa zeruzeru vidoleni na miguuni.
Je, huu ni ugonjwa gani na husababishwa na kitu gani au ukosefu wa madini gani na tiba kamili ni ipi?
#Thanks you.
Jambo watanzania wenzangu!!
Katika kubadilishana maarifa ninaomba kuulizwa chochote juu ya dawa asili za mimea na mitishamba katika kutibu magonjwa mbalimbali.
NB: Maswali hayo yasihusishe ramli na mambo ya kishirikina, ama mambo dhahania, maswali yajielekeze katika magonjwa ya kila siku...
Unasababishwa na Kirusi cha Polio kinachoambukizwa kutoka kwa mtu aliyeathirika kwenda kwa mwingine kwa kunywa/kula chakula au kinywaji kilichochafuliwa na kinyesi chenye vimelea vya Ugonjwa.
Virusi huzaliana katika utumbo na huweza kuathiri mfumo wa fahamu ikiwa ni pamoja na viungo kupooza...
Hivi kuna data zozote kuhusu ugongwa wa Zika Tanzania? Ninakumbuka kuwa sababu kubwa iliopolekea hayati dr Mwele kuachishwa kazi Mhimbili ni kutangaza kuwa Tanzania ina wagongwa wenye virusi vya Zika. Baada ya hapo hatukuwahi kusikia lolote tena kuhusu ugonjwa huo. Sasa kwa vile pande zote mbili...
DUTCH DISEASE
Huu ugonjwa ni effect ya resource curse.
Dutch disease ni ugonjwa ambao unatokea kwenye nchi ambayo imebarikiwa na rasilimali kama mafuta, gesi, madini nk
Huu ugonjwa unatokea kama ifuatavyo
Nchi ikigundua imebarikiwa na rasilimali flani, nchi ambazo hazijabarikiwa na hiko kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.