Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
397
993
Ugiriki imekuwa nchi ya kwanza yenye Wakristo wengi wa Orthodox kuhalalisha ndoa za watu wa jinsia moja.

Wapenzi wa jinsia moja sasa pia wataruhusiwa kisheria kuasili watoto baada ya kura ya Alhamisi.

Waziri Mkuu wa Ugiriki Kyriakos Mitsotakis alisema sheria hiyo mpya "itakomesha kwa nguvu ukosefu mkubwa wa usawa".

Lakini sheria hiyo imegawanya nchi, huku upinzani mkali ukiongozwa na Kanisa la Othodoksi la Ugiriki lenye nguvu.
 
Najua mtanichukia pengine na kunitukana sana ila ila ndio ukweli wakristo mnapenda sana kusagana na kua vyakula Maghayo natumai hii habari wewe na wenzako munaifurahia sana
Haya changamkieni fursa maana zinazidi kujitokeza tu yaaani MK254
Tunawaomba sana kwamba musisahau kuvaa pampers na na kuwa wasafi muda wote hasa Jumaapili
 
Uliwahi kusikia au kusoma mahala Kanisa Katoliki likikubaliana na ndoa za jinsia moja?
Ulishawahi soma sehemu wakristo mmekataa kubarikiwa?
Nenda ukapokee baraka acha hizi kelele hazitasaidia kitu
Au ushabarikiwa tayari?
 
Kwa hiyo wewe kwako kubarikiwa mi dhambi. Mnapoomba baraka kumbe huwa mmatenda dhambi?
Baraka kuombwa ni siri ya mtu na Mungu
Nyie mnabariki vyakula yaani chakula kinakuja unakipa baraka
Linakuja jamaa huko na mmewe mwanaume mwenzie ama mkewe mwanamke mwenzie munatoa baraka zakutosja
Ukristo ni upotovu na upotoshaji mkubwa kwa hakika
 
Baadhi ya nchi zilizohalalisha ushoga
1. Italy - Roman Catholic
2. Germany - Lutheran
3. USA -(SDA, pentecostal n.k)
4. Greek (Orthodox)
5. England (Anglican)
6. Israel (Zionist)

Watu imefikia hatua hadi wachungaji wanataka kunyanduliwa. Utandawazi umeweka mambo mengi wazi kuondoa propaganda za kipindi cha nyuma.
NB: Lugha ya asili ya agano jipya ni kigiriki
 
Wapenzi wa jinsia moja sasa pia wataruhusiwa kisheria kuasili watoto baada ya kura ya Alhamisi.
Hivi hawa mbwa huwa wana matatizo gani ? Kama wao wameamua kuwa wasenge mambo ya kuasili watoto yanawahusu nini ?

Hawa wasenge wana plan ya kuteketeza kizazi chote cha watu duniani kwa pigo hizo ? Maana siwaelewi hata kidogo

Kuna mstari mwembamba sana kati ya ushoga na matatizo ya afya ya akili.
 
Back
Top Bottom