kuroga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Tusizuge na tuache Unafiki ukweli ni kwamba tuliomba hadi hata Kuroga tupangiwe na Asec ila Jini limeshindwa safari hii

    Na kuna Timu moja hapa Afrika licha ya kuwa inacheza Mpira wa uhakika, ni Tajiri wala haitegemei Kuuza Godoro la kuumiza Migongo Ina Wachezaji ambayo Bajeti yao ni Bajeti ya Miaka 10 ya Majini Baharini FC lakini pia hata Kiuchawi pia wako vyema ile mbaya ukizingatia kuwa hata nchini Kwao ndiyo...
  2. Prakatatumba abaabaabaa

    Je, ni siri gani yoyote ya Mafanikio unayoijua tofauti na kuroga?

    Humu ndani Kuna watu waliofanikiwa Lakini "Wanacode" ambayo wanahisi kwamba ni mbinu mojawapo iliowasaidia wakaanza Kuona Mwanga. Je, ni siri gani yoyote unayoifahamu ya mafanikio? Au juhudi peke yake na consistency? Mimi ninaona Siri pekee ya Mafanikio ni kuanza kufanya (Action) au kuanza...
  3. GENTAMYCINE

    Mshambuliaji mpya Yanga SC Hafidh Kounkon: Nachukia Klabu ambazo zinapenda Kuroga na Uchawi

    "Mimi ni Mtu wa Imani (Dini) sana na sipendi tabia ya Vilabu vingi vya Afrika kupenda Kuroga na Kuamini Uchawi na nikiwa katika Timu yenye huu Utamaduni nitawakatalia na ikiwezekana hata kuomba Kuondoka" amesema Mshambuliaji mpya wa Yanga SC Hafidh Kounkon kupitia Kipindi cha Spoti Leo cha Radio...
  4. fundi bishoo

    Kuna muda unatamani kwenda kuroga kwa mganga ili nipate chaneli za pesa

    Eh bwana wakuu chaneli za pesa ni ngumu sana kuna muda mambo yanabana moka unatamani hata ungekua una imani ya kishirikina ukaroge ilimradi na mm nipate chaneli za pesa wazee mambo hayaendi ukiangalia vijana wenzetu wanafanya mambo ya maendeleo sisi tunakomaa kupambana lakini inakua ni kama...
  5. GENTAMYCINE

    Tatizo siyo kuroga Mvua kubwa inyeshe Mwarabu afe. Je, una Wachezaji wa kucheza katika Madimbwi na Matope?

    Kama jibu ni ndiyo basi GENTAMYCINE nichukue nafasi hii kuwatakia kila la kheri ila kama Kawaida (kwa Unafiki Wetu tuliobarikiwa nao) Mdomoni naungana nanyi Waswahil, ila Moyoni nipo na Mwarabu ninayemuamini.
  6. Prakatatumba abaabaabaa

    Unaweza kutoboa kwenye maisha bila kuroga au kusali sana?

    Dunia hii imejaa mambo mengi sana, ukiachana na watumishi ambao wanalipwa mshahara kwa mfanyabiashara yoyote unaweza kutoboa na biashara ikawa kubwa bila kuroga? Au kusali sana? Vijana wengi naona hatutoboi maana haturogi Wala hatusali spiritual tuko naked sana, nimeenda kukodi shamba huku...
  7. Naja naja

    Maisha ya bongo ili utoboe jifunze sana kuroga

    Kuna mambo mengi sana yanaendelea nyuma ya pazia bila ya wewe mwenyewe tafadhari usipuuzie tafuta mtaalamu akuwekee sawa mambo yako la sivyo utatumia nguvu kubwa sana lakini hutotoboa . Kama utaona aibu kwenda kwa mtaalamu basi nenda maduka ya dawa ya asili wakuuzie dawa zitakazokukinga na...
  8. Mr p_

    Mchawi kazi yake ni kuroga urudi nyuma, jilinde

    Sipo hapa kumshawishi mtu aingie kwenye ushirikina, sipo hapa kudharau Imani ya dini ya mtu yoyote. Ila Nipo hapa kusema ukweli. Watu wanatupa moyo kuhusu mafanikio, wengi wao husema kufanya kazi kwa bidii ndio njia ya mafanikio! Wao huita hiyo ndio Siri! Lakini Ndugu zangu nipo hapa kuwapa...
  9. JASUSI LA MBINGUNI

    Kwanini wachawi hutupia watu majini?

    Wachawi wanaporoga sio lazima wakutumie majini ama mapepo. Wanaweza kukuloga kwa laana za kichawi, ama kukulisha uchafu nk Je, ni kwa wakati gani wachawi wanalazimika kutumia majini kumloga mtu? Kwanini watumie jini na sio uchawi wa kawaida? cc Mshana Jr Rakims
Back
Top Bottom