JASUSI LA MBINGUNI
Member
- Aug 21, 2021
- 31
- 76
We ndo mchawi mwenyewe unajaribu kupoteza maboyaUchawi haupo. Achana na mawazo ya kipumbavu.
Kusema uchawi upo au haupo, Hutegemea na tafasili ya mhusika kuhusu huo uchawi.Uchawi haupo. Achana na mawazo ya kipumbavu.
Uchawi ni uwezo wa binadamu kufanya matukio au mambo ambayo yako nuu ya uwezo wa kibinadamu kwa kutumia nguvu za ziada ambazo zinatolewa ama huyo mtu anawezeshwa na shetani ama mawakala wake.Kusema uchawi upo au haupo, Hutegemea na tafasili ya mhusika kuhusu huo uchawi.
Je uchawi ni nini?? kwa mtazamo wako ndugu Hakimu Mfawidhi
Wachawi nao huenda kwa level, kuna uchawi wa chini mpaka wa juu...
Mkuu mfawidhi, wewe ni kada wa dini Fulani au mpagani?Uchawi ni uwezo wa binadamu kufanya matukio au mambo ambayo yako nuu ya uwezo wa kibinadamu kwa kutumia nguvu za ziada ambazo zinatolewa ama huyo mtu anawezeshwa na shetani ama mawakala wake.
Uwezo huo ni kama kutembea usiku ama mchana bila kuonwa na binadamu wenzake, kuingia kwenye nyumba bila ufunguo, uwezo wa kumletea binadamu mwingine ama kumtengenezea madhara kama ajali, ugonjwa, kifo ama ulemavu na mambo kama hayo.
Sasa vitu hivyo ni fikra tu kwani kwa uhalisia havipo na havijawahi kuwepo na wala uwezo kama huo haupo na haujawahi kuwepo.
Kukuta mtu ana mawazo kama hayo basi unajua kabisa akili hana.
Swali la nyongeza!Sasa vitu hivyo ni fikra tu kwani kwa uhalisia havipo na havijawahi kuwepo na wala uwezo kama huo haupo na haujawahi kuwepo.
Kukuta mtu ana mawazo kama hayo basi unajua kabisa akili hana.
Asante
Hayaja kukuta mkuu na uombe yasije kukukutaUchawi haupo. Achana na mawazo ya kipumbavu.
Hapana.Swali la nyongeza!
Je una amini katika dini na mafundisho ya dini?
Je wajua hata katika maandiko, ya dini, wachawi na uchawi umezungumziwa?
View attachment 1907317
Je nini mtazamo wako katika hili?
Mchawi hana akiliWachawi nao huenda kwa level, kuna uchawi wa chini mpaka wa juu...
Tabia moja ya mchawi ni KUTOKATA TAMAA na KIBURI... Akianza anaanza na uchawi wa chini, ukimpiku, anakuja level inayofuata mpaka atakuja kwenye kukutupia jini..
Ila mwisho wa yote ni DAMU TAKATIFU YA MWANA WA MUNGU. Hayupo mchawi au jini mwenye kiburi kupita hiyo DAMU..
Mchawi alogi mtu bila sababu nyuma ya pazia? So kwanzia hapo ndipo atachagua kombora gani linamfaa muhusika kutokana na sababu husika?
Mwambie mkuu yasikie kwa mwenzio kama hadithi yasikukute .cha ni kujikabithi mikononi mwa munguHayaja kukuta mkuu na uombe yasije kukukuta
Hakika Mr Bons.Ni kwa uwezo wa Muumba TU lakini hao ma witch wakimuamulia mtu hawkosiMwambie mkuu yasikie kwa mwenzio kama hadithi yasikukute .cha ni kujikabithi mikononi mwa mungu
Namsaidia hapa.Kusema uchawi upo au haupo, Hutegemea na tafasili ya mhusika kuhusu huo uchawi.
Je uchawi ni nini?? kwa mtazamo wako ndugu Hakimu Mfawidhi
Inaovyoonekena wewe unamwabudu Ibilisi na Shetani. Kwenye dini zote zinaamini uchawi na hata wapagani na dini za asili zinaamini uchawi upo. Ina maana mitume na manabii wote walikuwa hawana akili kusema kwamba uchawi upo? Na baadhi ya mitume na manabii walipambana na huo uchawi moja kwa moja kama tunavyosoma kwenye maandiko matakatifu ya dini. Wewe ni nani hadi upinge wote hao mitume na manabii na hata wapagani? Au wewe ndiye ibilisi na shetani mwenyewe unataka kuendeleza uongo maana shetani ndiye mwasisi na baba wa uongo!Uchawi ni uwezo wa binadamu kufanya matukio au mambo ambayo yako nuu ya uwezo wa kibinadamu kwa kutumia nguvu za ziada ambazo zinatolewa ama huyo mtu anawezeshwa na shetani ama mawakala wake.
Uwezo huo ni kama kutembea usiku ama mchana bila kuonwa na binadamu wenzake, kuingia kwenye nyumba bila ufunguo, uwezo wa kumletea binadamu mwingine ama kumtengenezea madhara kama ajali, ugonjwa, kifo ama ulemavu na mambo kama hayo.
Sasa vitu hivyo ni fikra tu kwani kwa uhalisia havipo na havijawahi kuwepo na wala uwezo kama huo haupo na haujawahi kuwepo.
Kukuta mtu ana mawazo kama hayo basi unajua kabisa akili hana.
Bila jini au majini hakuna uchawi hata mazingaombwe lazima jini awe mshirika hakuna cha mizimu wala mapepo yale ni majini na yana makabila yapo yanaopaa ndio hutumika kama ungo na yapo ya ardhini hutumia kutega uchawi au kuutuma. Wanga wachawi na waganga njia yao ni moja hakuna mganga anaetibu bila ya majini ndio yanayomuambia unasumbuliwa na nini na njia gani atumie.