Mchawi kazi yake ni kuroga urudi nyuma, jilinde

Mr p_

Member
Dec 31, 2021
58
385
Sipo hapa kumshawishi mtu aingie kwenye ushirikina, sipo hapa kudharau Imani ya dini ya mtu yoyote. Ila Nipo hapa kusema ukweli.

Watu wanatupa moyo kuhusu mafanikio, wengi wao husema kufanya kazi kwa bidii ndio njia ya mafanikio! Wao huita hiyo ndio Siri!

Lakini Ndugu zangu nipo hapa kuwapa Siri ingine ya mafanikio! Sio kuua mzazi wa kutoa kafara Ila Ni kukulinda. Katika mafanikio au katika biashara yoyote.

Mtu asikuambie mtaji wa laki Tano ndio ulionifanya niwe na nyumba na magari! Tena wanasema nilifanya kazi Sana kwa bidii, na siri ya mafanikio yangu ni kufanya kazi kwa bidiii! Huo ni uongo mtupu.

Siri za mafanikio zipo kwenye Siri ya ushirikina moja, ni wewe kujikinga kupitia ushirikina! Au kukinga biashara yako kwa ushirikina, usipozingatia Ayo maisha yako yatakuwa chini miaka nenda miaka rudi huku ukiona wengine wanashaini

Mchawi kazi yake sio kuroga tu kazi yake ingine ni kurudisha nyuma maisha yako.

Karibuni 2022.
 
Sio Elimu tu, mpaka uhusiano na ndugu jamaa na marafiki zako!

Mchawi mtu mbaya Sana!

Unaweza kuwa umesoma sana, au unasoma Sana but you haverst Nothing jua tayari Kuna mkono wa mtu.

Wanajua kabisa ukifanikiwa wewe Basi ukoo wako umefanikiwa.

Yani mtangulize Mungu pia usishau kutembea Mana hata waganga wa jadi hutumia miti ambayo imeubwa na Mungu.
 
Hao wachawi wapo huku tu, ulaya hawapo? Mambo ya kudingizia uchawi ulaya waliacha zamani sana.
Nimeishi ulaya na bado nakwenda ulaya, uchawi upo ulaya tena mkubwa sana ila matumizi ndio tofauti.

Hawatumii uchawi kumtia mtu nuksi.

Mfano leo ni mwaka mpya sehemu nyingi ulaya usiku watawasha moto mkubwa sana wa kuni ikiwa ni matambiko ya imani zao lakini ni za kishirikina pia.
 
Sio Elimu tu, mpaka uhusiano na ndugu jamaa na marafiki zako!
Mchawi mtu mbaya Sana!
Unaweza kuwa umesoma sana, au unasoma Sana but you haverst Nothing jua tayari Kuna mkono wa mtu...

Wanajua kabisa ukifanikiwa wewe Basi ukoo wako umefanikiwa...

Yani mtangulize Mungu pia usishau kutembea Mana hata waganga wa jadi hutumia miti ambayo imeubwa na Mungu .
Hapo ni kama umepiga kwenye mshono, "unasoma sana, tena kwa maarifa, but you harvest nothing", kwa hiyo kuna wadogo zetu wanachezewa huko shuleni na vyuoni sio?

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Sio kidogo Kaka..

Unaweza kuona kijana ameenda chuo na tabia nzuri na Imani za kimungu!

Lakini baada ya muda kadhaa anaanza kujihusisha na makundi, ulevi na umalaya.

Wengi huwa tunaita ni sababu ya Toxic Friend cycle Ila huo sio ukweli.

Hao watu huwa na tabia ya kumpelekesha mtu bila kujua anayofanya after Long-term anakuja kujilaumu.

Nina ushahidi wa dogo mmoja alikuwa anapata division oNe kuanzia form Hadi six.

Baada ya kufaulu chuo tu! Siku anapanda treni kuja Udsm. Alikimbia bila kuaga mtu yoyote na mpaka naongea na wewe muda huu uyu dogo ni Teja.

Baaada ya muda mrefu mama yake alitembea kwa wataalamu na kubaini ni ndugu zake ndio wamemfanyia hivyo kwasababu Ilikuwa ya yeye kuja kufanikiwa hapo baaadae
 
Sio kidogo Kaka..
Unaweza kuona kijana ameenda chuo na tabia nzuri na Imani za kimungu!
Lakini baada ya muda kadhaa anaanza kujihusisha na makundi, ulevi na umalaya..

Wengi huwa tunaita ni sababu ya Toxic Friend cycle Ila huo sio ukweli..

Hao watu huwa na tabia ya kumpelekesha mtu bila kujua anayofanya after Long-term anakuja kujilaumu.

Nina ushahidi wa dogo mmoja alikuwa anapata division oNe kuanzia form Hadi six.

Baada ya kufaulu chuo tu! Siku anapanda treni kuja Udsm..... Alikimbia bila kuaga mtu yoyote na mpaka naongea na wewe muda huu uyu dogo Ni Teja......

Baaada ya muda mrefu mama yake alitembea kwa wataalamu na kubaini Ni ndugu zake ndio wamemfanyia hivyo kwasababu Ilikuwa ya yeye kuja kufanikiwa hapo baaadae
Naongelea mtu kumchezea mtu kwenye mtihani, yaani unasoma, unajibu fresh ila matokeo yanakuja nothing!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
MR P njoo kwanza twende taratibu eb twambie experience yako kwenye icho unachokisema tafadhali kwa faida ya wengi
Sawa usijari!
Unaweza kuwa na biashara Fulani sawa sawa na mtu X...

Wewe ukawa mchapakazi Sana Tena mwenye Hofu ya Mungu ..

Lakini mfanyabiashara X akawa na mtaji wa kawaida Sana Tena Sana.. rakini baada ya muda unashangaa anakupiga gape. Hapo huwa Kuna Siri! Ila Wengi hawataki kusema na wanaficha, Hakuna motivation speaker anaezungumzia kuhusu chuma ulete wao wanaamini katika pay yourself first ya the richest man in the Babylon....

Usione utajiri wa Mo ukajua Ni kurithi tu, ukiacha Mali Kuna vitu vingi sana amerithi...

So wewe Kama mfanyabiashara au mfanyakazi lazima uwe na akili ya kuchangamka...

Nina ndugu yangu Ana hardware zaidi za 10 dar es salaam.
Na migodi shinyanga, Ana mashamba mengi sana...

Ila kila mwaka lazima aende kwa wataalamu kujitapishwa dawa za limbwata anazopewa na wake zake guess what???

Wewe na ukapuku wako bado unamwamini mwanamke!!!!

Uchawi upo hasa wa kurudishana nyuma...

Nakupa my experience!
Nilikuwa na tabia ya kutumi fedha hovyo na pesa yangu huwa inapotea bila kuacha impact yoyote...

Nilijitahidi kusoma Sana vitabu na kubadilisha tabia lakini wapi kitabu Kama... The richest man in the Babylon... Poor Dad rich dad... The mirrioner in the next door na The money formula!!!

Bila manufaaa... Ila baada ya kwenda kwa mtaalamu kujisafisha nilibaini kuwa... Kuna ndugu zangu wanaamini Mimi nitakuja kuwa faraja kwa mzazi wangu

Kwaiyo wkaamua kuweka mazingira kuwa hela yangu isiwe na mchango wowote kwangu na kwa mama Yangu....

Nilikuwa sivai vizuri, sinywi pombe Sina makundi na makundi na hela sina...

Nakupa Siri, huwa Kuna mashetani wao kuja wakati una pesa kukushawishi kwa matumizi yasio na mbele Wala nyuma...

Hii Siri huwezi kusikika kwa mfanyabiashara Au motivation speaker yoyote..

Mwisho#
Miti imeubwa na Mungu Kama Tiba... Tumieni mitishamba...

Mfano baada ya kuweka au kulaza gari lako car parking kwa Malipo Kuna dawa ya mti Shamba unaweka kwenye gari. Au pikipiki

Mwizi akija wewe una amua afe baada ya siku moja .. au akute jiwe kubwa.....

Huoni Nina reduce cost ya kulaza gari kwa kununua mti Shamba????

Mwisho
 
Naongelea mtu kumchezea mtu kwenye mtihani, yaani unasoma, unajibu fresh ila matokeo yanakuja nothing!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
hapana! Hapa angalia mwandiko wako! Alafu chunga sana OP.... Hakuna uchawi Baraza la mithiani...

Uchawi upo chumba Cha mthiani?!
Soma Sana alafu jipe Kinga kutoka kwa Mungu na mitishamba.
 
Sawa usijari!
Unaweza kuwa na biashara Fulani sawa sawa na mtu X...

Wewe ukawa mchapakazi Sana Tena mwenye Hofu ya Mungu ..

Lakini mfanyabiashara X akawa na mtaji wa kawaida Sana Tena Sana.. rakini baada ya muda unashangaa anakupiga gape. Hapo huwa Kuna Siri! Ila Wengi hawataki kusema na wanaficha, Hakuna motivation speaker anaezungumzia kuhusu chuma ulete wao wanaamini katika pay yourself first ya the richest man in the Babylon....

Usione utajiri wa Mo ukajua Ni kurithi tu, ukiacha Mali Kuna vitu vingi sana amerithi...

So wewe Kama mfanyabiashara au mfanyakazi lazima uwe na akili ya kuchangamka...

Nina ndugu yangu Ana hardware zaidi za 10 dar es salaam.
Na migodi shinyanga, Ana mashamba mengi sana...

Ila kila mwaka lazima aende kwa wataalamu kujitapishwa dawa za limbwata anazopewa na wake zake guess what???

Wewe na ukapuku wako bado unamwamini mwanamke!!!!

Uchawi upo hasa wa kurudishana nyuma...

Nakupa my experience!
Nilikuwa na tabia ya kutumi fedha hovyo na pesa yangu huwa inapotea bila kuacha impact yoyote...

Nilijitahidi kusoma Sana vitabu na kubadilisha tabia lakini wapi kitabu Kama... The richest man in the Babylon... Poor Dad rich dad... The mirrioner in the next door na The money formula!!!

Bila manufaaa... Ila baada ya kwenda kwa mtaalamu kujisafisha nilibaini kuwa... Kuna ndugu zangu wanaamini Mimi nitakuja kuwa faraja kwa mzazi wangu

Kwaiyo wkaamua kuweka mazingira kuwa hela yangu isiwe na mchango wowote kwangu na kwa mama Yangu....

Nilikuwa sivai vizuri, sinywi pombe Sina makundi na makundi na hela sina...

Nakupa Siri, huwa Kuna mashetani wao kuja wakati una pesa kukushawishi kwa matumizi yasio na mbele Wala nyuma...

Hii Siri huwezi kusikika kwa mfanyabiashara Au motivation speaker yoyote..

Mwisho#
Miti imeubwa na Mungu Kama Tiba... Tumieni mitishamba...

Mfano baada ya kuweka au kulaza gari lako car parking kwa Malipo Kuna dawa ya mti Shamba unaweka kwenye gari. Au pikipiki

Mwizi akija wewe una amua afe baada ya siku moja .. au akute jiwe kubwa.....

Huoni Nina reduce cost ya kulaza gari kwa kununua mti Shamba????

Mwisho
Mkuu umefafanua vizuri sana , nipe konekisheni basi ya mtaalamu super.
 
Na je, kama hujipi kinga kwa mitishamba?

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Wapo ambao hata hawajui mitishamba na wanaishi poa Ila maisha Yao Ni ya kawaida Sana...

Ila wapo ambao wanatumia miti Shamba na maisha yao yanaenda poa...

Ko jaribu kuangalia wewe na background ya familia yako, hustle zako na mafanikio yakooo... Uhusiano wako na watu! Mana Kuna watu wanakualibia mpaka ukipita mbele za watu harufu ya mavi hisikika so Jitahidi kujitambua kujua Kuna watu wangapi hawalali kwa ajili yako...

Maamuzi Ni yako.... Bye
 
Back
Top Bottom