Msaada AZAM MAX APP. Nifanyeje kupata chaneli zinazoonesha mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika na Shirikisho za CAF za Simba na Yanga?

EP cosmetics

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
2,469
3,843
Ninatumia AZAM MAX APP. Inapofika siku za mechi za CAF chaneli zinazoonesha zinaondolewa nakuwa zisizioni tena, afu mechi zikiisha zinarudishwa.

kwa mnaotumia AZAM MAX APP naomba msaada namna ya kuipa ZBC 2 kwa sasa, leo niangalie games za CAF za Simba na Yanga
 
Azam max hawana hiyo ruhusa ya kuonesha game hizo,hiyo ni kwa ajili ya ligi kuu na michezo mingine,ukitaka ligi ya mabingwa na shirikisho apps zipo nyingi tu,mfano download app ya yacine tv ipo Google then install kuna chaneli nyingi za beIN sports ndio wanaonesha hizo game zote hadi za epl na uefa champions league
Screenshot_20230218-081539.jpg
 
Azam max hawana hiyo ruhusa ya kuonesha game hizo,hiyo ni kwa ajili ya ligi kuu na michezo mingine,ukitaka ligi ya mabingwa na shirikisho apps zipo nyingi tu,mfano download app ya yacine tv ipo Google then install kuna chaneli nyingi za beIN sports ndio wanaonesha hizo game zote hadi za epl na uefa champions leagueView attachment 2521224
Hata AZAM MAX kupitia channel ya ZBC2 wanaonyesha..jumapili iliyopita niliangalia mechi ya yanga vzr kabisa
 
Ninatumia AZAM MAX APP. Inapofika siku za mechi za CAF chaneli zinazoonesha zinaondolewa nakuwa zisizioni tena, afu mechi zikiisha zinarudishwa.

kwa mnaotumia AZAM MAX APP naomba msaada namna ya kuipa ZBC 2 kwa sasa, leo niangalie games za CAF za Simba na Yanga
unaziona zbc 2
 
Azam max hawana hiyo ruhusa ya kuonesha game hizo,hiyo ni kwa ajili ya ligi kuu na michezo mingine,ukitaka ligi ya mabingwa na shirikisho apps zipo nyingi tu,mfano download app ya yacine tv ipo Google then install kuna chaneli nyingi za beIN sports ndio wanaonesha hizo game zote hadi za epl na uefa champions leagueView attachment 2521224
Ni chanel ipi itakayoonesha mechi ya simba kwa app hii
 
Azam max hawana hiyo ruhusa ya kuonesha game hizo,hiyo ni kwa ajili ya ligi kuu na michezo mingine,ukitaka ligi ya mabingwa na shirikisho apps zipo nyingi tu,mfano download app ya yacine tv ipo Google then install kuna chaneli nyingi za beIN sports ndio wanaonesha hizo game zote hadi za epl na uefa champions leagueView attachment 2521224
Hii inatumika Tanzania?
 
Ninatumia AZAM MAX APP. Inapofika siku za mechi za CAF chaneli zinazoonesha zinaondolewa nakuwa zisizioni tena, afu mechi zikiisha zinarudishwa.

kwa mnaotumia AZAM MAX APP naomba msaada namna ya kuipa ZBC 2 kwa sasa, leo niangalie games za CAF za Simba na Yanga
wanaonesha hizo mechi je umelipa?kama umelipa na hauoni nenda kwenye social media zao uwaambie wataonesha jinsi ya kufanya
 
Back
Top Bottom