Binafsi nakerwa Sana nikiangalia wanawake hasa Azam TV kwenye kipindi Cha sinema zetu.
Wanawake wengi wameamua kuweka KOPE za bandia katika macho yao.
Nawakumbusha tu HAMPENDEZI NA NI ATHARI KWA MACHO YENU SIKU SIO NYINGI
Kwani Nani aliyewambia kwamba m apendeza?
Inabidi tumuombe waziri Awesu River side ubungo Hakuna maji siku nne. Na hii inajirudia Rudi Mara kwa Mara na Hakuna taarifa.
Leo siku ya nne hakuna maji..
Upande wa kushoto kuelekea buguruni ukitokea daraja la Kijazi
Tunaishi maeneo ya ubungo jirani na daraja la Kijazi kushoto kuelekea buguruni, River side maeneo ya mamia ya wakazi.
Maji yanakatika siku mbili Hadi tatu.
Dawasa hawatoi taarifa yoyote.
Leo tarehe 20/10/2021 siku ya tatu Hakuna maji.
Hii hali inajirudia Mara kwa Mara inatutesa...
Baada ya kujihoji na kuangalia matukio na baada ya kupoteza baadhi ya marafiki kwa muda mfupi ambao Vifo vyao Ni kupoteza fahamu ghafla, presha juu, upumuaji wa shida na sukari kujitokeza na kwamba magojwa hayo hawakuwa nayo hapo swali ndipo nilipoamua kuachana na ubishi... Nimepata Kinga ya...
Pesa ilivyokuwa ngumu.
Nilisafiri kutoka Dar kuja Musoma, njiani kwenye vituo vta miji mbalimbali wauzaji wa vyakula wamekuwa sio waaminifu kabisa.
Dodoma nauziwa kuku wanasema ni wa kienyeji kumbe ni kuku wa mayai aliyekomaa na kushindikana. Inapokuwa safarini usinunue kuku.
Maeneo mengine...
Siwezi kujua lengo la shirika la umeme Tanesco kuhusu jengo lao lililoko Ubungo jirani na daraja la Kijazi. Lakini kwa muonekano kwa nje Ni Kama halitumiki.
Kwa kuwa serikali ya AWAMU ya sita iko katika safisha safisha ya baadhi ya madudu yaliyoonekana yanazingua nchi na wananchi wake
Basi...
Chuo cha ARDHI Morogoro ni miongoni mwa Vyuo vikongwe vya Serikali ambavyo vinatoa wataalamu mbalimbali kwa ajili ya Sekta ya ARDHI
Ni Jambo la kusikitisha ambalo inawezekana sio la kiungwana kuhusu hali ya vyoo vinavyotumiwa na wanachuo.
Hakijulikani tatizo ni nini na nani anawajibika na...
Pamoja na kutangaziwa kupungua kwa maambukizi ya Corona. Hali ya kujikinga na kuchukua tahadhari haipo tena maeneo mengi Dar.
Mabasi ya daladala yamekuwa yakijaza abiria bika kuzingatia maagizo yaliyotolewa. Daladala za Mbezi, Buguruni na Gongolamboto na mengine nyakati za usiku na asubuhi...
Pale unapoambiwa akili za kuambiwa changanya na zako China corona imefumuka tena mji mkuu wao. Marekani baada ya maandamano maambukizi yameongezeka.
Kenya Uganda majirani zetu hakueleweki ... Lockdown isiwepo lakini tahadhari isimamiwe
Katika hali isiyokuwa ya kawaida maeneo mengi ya jiji la Dar wakazi wake wameacha au kupunguza kuwa na tahadhari na ugonjwa huu .... Watu hawavai barakoa watu hawànawi kama ilivyokuwa siku chache gonjwa likipopamba moto.
Mwanzoni ilikuwa tahadhari ipo kila mahala na hata ndani ya mabasi ya...
Kwa muda wa siku kadhaa ifikapo majira ya jioni tunakosa umeme maeneo ya External hadi Ubungo Darajani.
Sijaona tangazo au taarifa iliyotolewa ili sisi wadau tufahamu tatizo. Taa za barabarani pia haziwaki na kuzingatia Ubungo ni lango kuu la kuingia jijini na kunakuwa na msongamano wa watu ni...
Lab
Labda sijaelewa .... Lakini kufunga Mtaa Kwa akili ya msiba ni ustaarabu ... Kufiwa msikie Kwa wengine yasikukute labda kama hujafiwa .. Ngoja siku utaona ni halali au sio
Wadau nauliza Mara zote nilikuwa naweza kuangalia mpira live kupitia simu ya mkononi azam TV ... Lakini siku hizi nikitaka kuangalia kupitia azam sports, azam HD au azam yoyote haikubali je kuna mabadiliko?
Ina maana kweli Amri ya Lugora inapuuzwa .. OCD ubungo, DC na Serikali yote ya wilaya haifurukuti Kwa Mikasa? Sidhani ... Mkuu wa nchi amewasoma wote ngoja tuone l matokeo
Hivi karibuni Mh. Kangi Lugora alitoa Amri, maagizo yenye msisitizo juu ya kelele sehemu za starehe nyakati za usiku ... Sisi wa kazi wa ubungo Rivàside Amri hiyo inaonekana kysiginwa, kupuuzwa maana hatulali baa anaitwa Mikasa inapiga Muziki bila hofu kelele hivi niandikapo and iko hili presha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.