mke wa kuoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Atukuzwee

    Natafuta mke wa kuoa

    Wakuu kwema Mimi ni kijana umri Wa miaka 31 Elimu: Bachelor degree ya Computer Science Kazi: Software developer Nimeajiriwa Tayari Nina Mtoto Mmoja Wa kiume. Rangi Mweusi Urefu 5.9 Dini Mkristo Sifa Mwanamke ninayemhitaji Umri kuanzia 25-30 Awe na hofu ya Mungu Sihitaji sifa nyingine zaidi...
  2. old mkiva

    Natafuta mke wa kuoa

    Ndugu zangu natafuta mke wakuoa sifa awe muislam elim yoyote awe mikoa jiran na arusha.umri kuanzia 21 mpaka 30.mim sifa zangu ni muislam umri 33 ninaish arusha nimejiajiri.aliyetayar karibu pm
  3. K

    Natafuta mke wa kuoa

    Uwe mkristo Uwe una shughuli ya kufanya Usiwe na mtoto Miaka kuanzia 25-30 Uwe unaishi Dar Uwe mpambanaji Uwe unajua kupika masotojo Nipo serious natafuta mke njoo Dm
  4. Mapensho star

    Natafuta mke wa kuoa

    Miaka yangu ni 28 Naishi mkoa wa Iringa Kazi yangu kwa sasa ni machinga Natafuta mke wa kuoa Miaka 22-25 Asiwe na mtoto Awe muwazi na mkweli Mwenye kuheshimu kila mtu Elimu yoyote Awe na nia ya kweli kuanza maisha na mimi
  5. F

    Natafuta mke wa kuoa

    Natafuta mke wakuoa mwenye umri kuanzia 32 mpaka 38, kabila lolote, Dini awe mkristu. Mimi nina umri wa miaka 35, mkristu pia, kazi ninayo awetayari kupima. Kwa mawasiliano zaidi karibu pm tuma namba au ujumbe kwa email flavianflorian0@gmai.com.
  6. P

    Natafuta mke wa kuoa

    Awe na umri wa miaka kuanzia 45 hadi 50... Awe mfanyakazi mawasiliano PM
  7. Restless Hustler

    Nahitaji mke wa kuoa

    Namuhitaji mke ambaye Yupo tayari kwa ndoa na siyo utani. Kama Yupo aje PM. Vigezo: 1. Umri usizidi miaka 30 2. Mkristo 3. Awe anapenda ujasiriamali 4. Mweusi na Mnene 5. Asiwe amesomea kozi za sheria 6. Awe na utayari wa ndoa, Asiwe na tamaa SIFA ZANGU 1. Mkristo 2. Muajiriwa sekta...
  8. Hemedy Jr Junior

    Natamani Wazazi wangu wananitafutie Mke wa kuoa me nitachemka akinishinda nawapa mzigo wao

    Utamaduni huu naomba kwangu ubaki maana Ndoa nyingi siku hizi hakuna japo tunaona sherehe nyingi sana kuliko Ndoa. mimi naomba wazazi wangu wanitafutie mke atakayenifaa hivo tu sijajua kwako kijana mwenzangu una maoni gani juu ya hili.
  9. M

    Natafuta mke wa kuoa

    Natafuta mke wakuoa, mwenye sifa hizi Umri-25-40 Dini -yeyote Kabila -lolote Kazi- yeyote Sifa zangu ni Umri-34-37 Dini -mkristo Kazi-nimeajiriwa/kujiajiri Mwenye utayari anitafute kwa namba mke mtarajiwa awe na hofu ya Mungu. Pia awe anajitambua na anajua anachofanya .
  10. Restless Hustler

    Nadhani nimekosa mke wa kuoa

    Ni mwaka wa tatu Sasa Tangu nianze kuwaza kuoa. Kila Mahusiano ninayojiingiza huvunjika baada ya muda mfupi, si zaidi ya miezi 6. Jumla ya wanawake nilioingia nao kwenye Mahusiano Ni Watano. Wa kwanza Alikuwa mhasibu, kosa lake ni kuwa na kampani ya slay quees na walevi. Ni jambo la kawaida...
  11. L

    Natafuta mke wa kuoa (Eva ulietoka ubavuni mwangu Bado nakusubiria)

    Habari Wana JF. Naitwa parson, Nina umri wa miaka 35, pombe na sigara situmii, Kazi mjasiriamali (mdogomdogo) mwenye malengo makubwa. Sifa ya mke nimtakaye. Umri kuanzia 30-36 Kabila -lolote Dini- yeyote Rangi -Natural (asiwe wadukani) Elimu- kuanzia kidato Cha nne mpaka chuo kikuu. N:B Eva...
  12. Man from cuba

    Natafuta mke wa kuoa

    Habari zenu wakuu? Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza natafuta mke wa kuoa awe serious na maisha umri miaka 24_30 kabila lolote ili mradi awe mtanzania dini sichagui wala rangi sijui sura mimi sichagui. Najua kuna wanawake wangependa kujua kipato changu mimi kwa sasa nabangaiza...
  13. S

    Nina jambo langu, nahitaji mke wa kuoa

    Wapendwa wa Jamii Forums, Nawasalimuni nyote! Kisha napenda kuwashirikisha jambo langu. Sina mambo mengi. Kwanza kabisa, WANAUME wenzangu hii haiwahusu kabisa. Labda kama unamjua mwanamke wa aina hii nayotafuta umwelekeze yeye mwenyewe awasiliane na mimi. Nataka kuoa. Sifa zangu na za huyo...
Back
Top Bottom