natafuta mke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kwaku the traveler

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke mwenye sifa hizi

    Natafuta mke mwenye sifa hizi; umri kuanzia miaka 20 had 25, asiwe na mtoto, awe mweupe au mweusi vyote sawa na akubali kupima Afya (HIV) kabla ya ndoa, mwenye Elimu yeyote na kabila lolote, Sifa Zangu: Umri wangu 30yr, Urefu 6ft mweusi mwembamba, kabila Myao, naishi Kahama karibu Dm kama...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Niko serious natafuta mke wa kuoa aliye tayari ani DM

    Habari wakuu Natafuta mke wa kuoa Sifa zangu Elimu: Bacherlor degree of computer science Location: Dar es Salaam Umri : miaka 33 Kazi: Developer Dini: catholic Sifa za mwanamke ninayemtaka 1.Elimu kuanzia diploma 2 Location dar lazima awe Dar kama atakua mkoani awe tayari kuishi dar...
  3. msomania1

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Natafuta mke umri 30+ Umri wangu 41 Watoto 2 Sms kujibiwa 0792045560
  4. Smooth Criminal

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke maridadi

    Awe na umri wa miaka 19 mpaka 24, awe Christian, asiwe na mtoto. NB: awe anajua kucheza draft na pool table, hii ni kwa faida ya watoto watakaozaliwa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Habari za wakati huu.... Najua mabinti / wasichana / wanawake waliomo humu ndio hao hao tunaoishi nao mitaani hivyo wazo langu la kuoa nimelileta hadi humu pia japo na mtaani na lifanyia kazi zaidi huku nakumwomba Mwenyezi Mungu maana mke mwema anatoka kwake.. Mimi ni kijana mwenye miaka 28...
  6. bwawani90

    JamiiForums Tanzania Nina umri wa miaka 49 Natafuta mke awe na sifa zifuatazo

    1. mweupe kiasi si michubuko 2. umri kati ya miaka 25 hadi 30 3. Elimu ya kidato cha 4 mwisho cha 6 4. awe tayari kusimamia biashara 5. Asiwe na mtoto 6. utepe ni muhimu(code) wenye D mbili wameelewa 7. Dini( awe na hofu ya mungu) 8. awe anaishi kwao sio gheto 9. mwembamba kidogo 10. urefu 150...
  7. Irikenyi

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Umri wangu ni miaka 45 Kazi biashara ndogondogo Dini mkristo Makazi Dar Sifa za mke kuanzia miaka 30-42 Dini yoyote Karibu
  8. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mke / Ndoa 2026

    Habari za hapa wana jukwaaa!! nimeingia JF kwa lengo la kutafuta mwenza wa maisha, mimi naamini popote inawezekana kwa uwezo wa Mungu. Mimi ni mwanaume wa miaka 36 Mrefu - maji ya kunde Sio mnene sio mwembamba Naishi dar es salaam Nafanya kazi na biashara Mkristo / Lutheran Mke nayemtafuta...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa mtandaoni

    Natafuta mke wa mtandaoni hasa JF. Mke wa mtandaoni ni mke ambaye tutakuwa tunaandikiana mambo mazuri mtandaoni na kuoneshana mahaba mtandaoni ila hakuna kukutana na mtu wala kubadilishana namba za simu. Kila kitu kinabaki mtandaoni hakuna hata kutumiana picha. Suala la umri nk sio vigezo haya...
  10. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Vigezo awe amezaliwa MWAKA 1998, 1999 au2003 Vigezo vya jumla Uwe na mwili wa wastani Mzuri wa sura Wasifu wangu Umri 29 Mfanyabiashara Karibu PM
  11. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke nipo serious

    Natafuta mke aliye tayari aje dm .vigezo awe mcha mungu .mweupe mwenye shape nzuri asiwe mlevi
  12. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Wakuu natafuta mwenza humu

    🔥 awe 25-40 🔥Usiwe mke wa mtu 🔥Usiwe na kelele kama subwoofer 🔥Kabila haijalishi 🔥Napenda kula kwahio ajue kupika 🔥Chuchu nene 🔥Makalio manene 🔥Rangi sio shida 🔥asiwe mshamba kwa bed. 🔥hata ukiwa Singomaza ni sawa Ni pm
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuzaa nae

    Wasifu wangu: -miaka ni 28 yrs -Elimu ni college -kazi ni mwajiriwa (sector binafsi) -Dini ni mkiristo Wasifu wa nimtakaye - atoke Kanda ya ziwa -elimu mwisho secondary -dini awe mkiristo OFfer hii itakua halali kuanzia Sasa mpaka mwezi December 2025
  14. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa awe kuanzia 18 - 27 awe bikra

    Natafuta mke wa kuoa awe kuanzia umri 18 - 27 awe bikra, nipo mkoa wa dar es salaam, Nina miaka 28. karibuni. Nicheki pm
  15. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke kuanzia mwenye miaka 40 na kuendelea

    Hanari. Natafuta mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 40 na kuendelea ambaye atakuwa mke wangu. Awe mkristo na mwenye upendo. Pia asiye na familia kwa maana asiwe na mtoto. Ni PM namba Yako kama upo serious
  16. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa seriously 20-25

    Habar ndugu zangu mimi n kijana mwenye umr wa miaka 29 , mrefu cm 179 mweusi kidogo ni mtumishi wa umma nahtji msichana mkristo, awe na umr kuanzia 20-25, nichek pm
  17. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke mwenye nyashi ya kutosha

    Mwenye nyashi njoo dm
  18. Premierleague

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke mwema

    Wakuu (kinadada) najua imeandikwa sio vema kwa mwanamke au mwanaume kuishi peke yake maisha ya ukiwa ikiwa dunia Inawenza ambao mnaweza kushare kile kidogo mnachopata na kutengeneza paradiso ndogo hapa duniani hivyo basi nakuja mbele zenu kwenye jukwaa hili ambalo limejaa waungwana na watu...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kumuoa, niko serious

    .........
  20. Griss

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Nipimu mwenye yupo serius !!
Back
Top Bottom