Level seat na barakoa hazizingatiwi tena daladala za Dar

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,593
443
Pamoja na kutangaziwa kupungua kwa maambukizi ya Corona. Hali ya kujikinga na kuchukua tahadhari haipo tena maeneo mengi Dar.

Mabasi ya daladala yamekuwa yakijaza abiria bika kuzingatia maagizo yaliyotolewa. Daladala za Mbezi, Buguruni na Gongolamboto na mengine nyakati za usiku na asubuhi zimekuwa hazizingatii tahadhari yoyote
 
Tulioanza kufanya biashara ya sanitizer imekula kwetu,watu hawanunui tena,ingekua inanyweka tungekunywa wenyewe tulewe tu,hakuna namna
 
Pamoja na kutangaziwa kupungua kwa maambukizi ya Corona. Hali ya kujikinga na kuchukua tahadhari haipo tena maeneo mengi Dar.

Mabasi ya daladala yamekuwa yakijaza abiria bika kuzingatia maagizo yaliyotolewa. Daladala za Mbezi, Buguruni na Gongolamboto na mengine nyakati za usiku na asubuhi zimekuwa hazizingatii tahadhari yoyote
Kama hawafi na hospitals hazijajaa, kuna shida gani?
 
Nilipanda daladala nikaona watu wanachuchumaa kwenye zile space walizokua wanasimama,nikaishia kushangaa

Sisi ndio binadamu,tunasahau mapema na kuzoea
 
Back
Top Bottom