Search results

  1. Songambele

    Barabara ya Morogoro Mlandizi Chalinze foleni ni kubwa Jiongezeni watumiaji

    Mnaotumia barabara ya Morogoro, Kibaha Mlandizi au Chalinze Mlandizi hali bado ni tete. Wenye mko na njia mbadala jiongezeni au subirini. Kama sio lazima sana kusafiri ebu subirini, manake malory yanayozima yanaongezeka na kuleta maafa zaidi, ameaga mwingine dunia baada ya kudondoshwa na boda...
  2. Songambele

    Bodi ya Sukari acheni sinema, wajibikeni sasa

    Kama ilivyo desturi hatuwezi kukaa kimya kuacha sinema za karne iliyopita ziendelee tena kila uchaguzi unapokaribia. Sukari adimu kwa maelezo Yao wenyewe uzalishaji ni mdogo kuliko mahitaji. Hili sio jipya zipo hatua hata mwenda ZAKE alichukua kupambana na uhaba wa sukari. Wafanyabiashara...
  3. Songambele

    Waziri Masauni tupunguzie Traffic Polisi barabarani

    Miaka ya 2010 World Bank walitoa ripoti ya kufanya biashara nchini Tanzania na kwa viwango vya wakati ule tulishika nafasi kama ya 121 kama sijakosea. Raisi wa wakati ule Mh. Jakaya hakuridhishwa na hiyo ranking na kuchukua hatua at least tufikie 2 digits yaani tuwe chini ya 100. Majirani zetu...
  4. Songambele

    Mikopo Kausha Damu ya Kimtandao

    Dunia tambara bovu na vituko haviishi na kila kukicha ni vuta nikuvute. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wakopeshaji wa kidigital ambao si haba wanaongezeka kila kukicha. Mie natoleo mfano mkopo wako, hawa jamaa ni nouma sana nikiwalinganisha na wengine hawa wabunifu zaidi wameajiri wadada...
  5. Songambele

    NEMC wameona kinachoendelea

    Misiba na kunji la wafanyabiashara kariakoo limepooza ile jamba jamba iliyoletwa na NEMC wiki iliyopita. Kama ilivyoada na desturi sie great thinkers lazima tupate muda wa kudurusu zilizo kick na kuona kama kweli baraza na watu wake wenyewe wanawaita wataalam wa mazingira walifungia Bar na...
  6. Songambele

    Milioni 5 kwa goli na 10% mikopo kwa wanawake/vijana/wenye ulemavu ni Mbingu na Ardhi

    Bravo Madame Presidaa kwa kuhaidi na kutoa sh. 5 M kwa kila goli linalofungwa katika mashindano ya CAF. Beyond reasonable doubt matokeo tumeyaona na timu zetu ziko robo fainali, hii kitu ilifanyika kwa wakati sahihi na timu nzima ya utekelezaji ilisimama katika malengo, niungane na watanzania...
  7. Songambele

    Wakubwa wananunua Mechi, Maamuzi ya ajabu

    Jana nimeona Mechi ya Azam na Ruvu, kiukweli pasi na shaka Azam na wao wameshakata shauri liwalo na liwe kama wakubwa wengine, kwa udi na uvumba na wao wanataka matokeo sasa. Najua kama ilivyo desturi mtataka ushahidi lakini angalieni hizi mechi zinavyochezeshwa yaani mpaka Refa anayo matokeo...
  8. Songambele

    Tunataka Maji Yatoke

    Takribani wiki mbili sasa sie wakazi wa Dar mmetunyoosha kwa kutukatia maji. Timeaikoa sababu zenu na jitihada mnazochukua lakini haturidhishwi kabisa na Kasi yenu. Mnatufikirisha Sana, mpaka tumemkumbuka mwenda zake jiwe, kuna alikuwa anaamua kama kiongozi. Wenzie aliotuachia yapo...
  9. Songambele

    Mwendokasi zinajaza sana, zinadhalilisha utu wetu

    Wadau kama ilivyodesturi najua mnamambo mengi lakini na hili la Udart Mwendokasi ni lenu pia na linahitaji sauti zenu. Watu wanajazwa kama wanyama na ngoma bado inashindilia kila kituo. Hivi mabasi haya hayana idadi kamili ya kupakia watu? Nani anahusika? Maana yake hakuna? Jamaa wanapokea pesa...
  10. Songambele

    Maziko ya Kifalme na faragha - Kinafanyika nini?

    Alipofariki Nelson Mandera dunia nzima ilenda live kwa kipindi chote cha msiba na maombolezo, ilipofikia mwili kuwekwa katika nyumba ya milele kamera zilizimwa na tukaambia ni ndugu wa karibu tu ndio watakaoshiriki zoezi zima la kuzika. Jana tena wakati Malkia anazikwa pamoja dunia kushiriki...
  11. Songambele

    Tuzioneni tozo kwa facts na namba, zinaumiza hapa wenye namba tu

    Nimetuma 100,000 kwenda tigo pesa kwa simbanking, VAT sh. 974.70, govt levy sh. 1,009.00, TMS CHARGE TIGO 5,415.00, wenye akili timamu nimekatwa sh 7,398.7 kwa transaction hii moja tu. Pesa ilitoka kwa mshahara ambao wajuba walishakata PAYE. ni 7.4%. Mwaka 2017 kwa muamala kama huu nilikuwa...
  12. Songambele

    Mnaotafuta kazi mchukue na taadhari

    Wahusika mpitie mwito huu wa watu kuitwa katika usahili na kuombwa pesa. Kuambiwa interview itachukua muda mrefu na aliyealikwa ajilipie chakula. Huu ni uhalifu wahusika wachukue hatua.
  13. Songambele

    Halmashauri ya Manispaa Ubungo - Hili Tangazo Mnaongeza gharama za kufanya Biashara

    Miaka zaidi ya 10 iliyopita Serikali ya Jamhuri ilikuwa inapambana kuboresha mazingira ya kufanya biashara nchini. Report ya world bank wakati ule ili rank Tanzania 121 kwa mazingira magumu zaidi ya kufanya biashara TPSF na wadau wake kupitia doing business Roadmap wakapambana mno. Kwa tathmini...
  14. Songambele

    Kuitikia Simu ya Mh. Raisi kwa Waziri Mpango Kumjibu Bashe na Nape

    Ndugu wana JF, kwa heshima kubwa kabisa tunafungua mjadala wa kutafuta fedha za kujenga reli standard gauge kwa sekta binafsi na wananchi. Milango imefunguliwa kwa mujibu wa Waziri Mpango ni Kipande cha Reli kuelekea Mpanda na sehemu ilielekezwa na Mh. Raisi, mie siamini kama ile simu ilikuwa...
  15. Songambele

    Mpendwa wa CRB aliyetajwa na Serukamba ndio nani?

    Jamani tusamehane wengine tunapendaga kwenda between lines jana Serukamba Bungeni amemtuhumu mpendwa wa CRB kutaka kazi ya REA Kigoma na Katavi mpaka kuipiga stop sababu mchakato ukampe upendeleo. Kama kawa kama dawa JF paa la bati, manake jana nilisikia kwenye hotuba ya mafanikio ya miaka...
  16. Songambele

    Mkuu wa kaya alikataza kugawa chakula bure na kuwataka watu wafanye kazi

    Ndugu wananchi mwaka jana kipindi kama hiki, mkuu wa kaya alipiga marufuku kugawa chakula bure. Vipi tena mbona first lady mbona anagawa tena bure chakula kwa wazee wa chato, katazo halikuwahusu wazee wa chato au first lady sio sehemu ya serikali. Hii tunaisema sababu tangazo linasema first...
  17. Songambele

    Kakola/Bugarama kunani leo wabunge wakiongozwa na King Musukuma na polisi wenye silaha nzito waranda

    Kufuatia taarifa za Tume kuhusu makinikia hali bado Ni tête kwa maeneo yanayozunguka migodi hasa Bulyanhulu. Leo toka asubuhi Ni vikosi vya polisi Na silaha nzito vinaranda katika mitaa ya Kakola Na Bugarama. Tuliambia wenye band wameshakuja kuanza mazungumzo Na mshua sasa timu ya wabunge sie...
  18. Songambele

    MPESA Faida na Figisu Figisu za VodaCom 2016/2017

    Imekuwa ni desturi kwa makampuni ya simu kugawana faida na wateja kutokana na matumizi ya huduma. Last week walianza Tigo na leo Voda wameenda hewani kwa kuanza kugawia faida watumiaji wa huduma za simu, na mie nimepokea Tshs 2,009.00 kutoka 219777 MPESA Faida tarehe 30/1/17 saa 8:27. Kiukweli...
  19. Songambele

    Wizi wa Magari ya Korosho Mtwara

    Kama ilivyo ada JF ni paa la bati, juzi ilitolewa taarifa katika radio za mtwara kwamba gari semi trailer mbili zimepotea katika mazingira ya kutatanisha na kufikisha idadi ya magari matatu ndani ya siku mbili. Korosho imekuwa dhahabu na kwa lugha ya kitaa gunia tatu ni zaidi ya milioni. Yaani...
  20. Songambele

    TRA Ruangwa na Polisi Wanalazimisha Kukusanya Mapato kwa Kamata Kamata

    Watanzania mliokuwa katika wilaya zingine Tanzania tupeana taarifa kuhusiana na zoezi wanalofanya hawa jamaa wa TRA wilayani Ruangwa kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kunyanyasa wafanyabiashara na wamiliki wa magari. Leo jamaa wameanzisha kamata kamata ya magari na kulazimisha wamiliki...
Back
Top Bottom