Kakola/Bugarama kunani leo wabunge wakiongozwa na King Musukuma na polisi wenye silaha nzito waranda

Songambele

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
4,698
2,560
Kufuatia taarifa za Tume kuhusu makinikia hali bado Ni tête kwa maeneo yanayozunguka migodi hasa Bulyanhulu.
Leo toka asubuhi Ni vikosi vya polisi Na silaha nzito vinaranda katika mitaa ya Kakola Na Bugarama. Tuliambia wenye band wameshakuja kuanza mazungumzo Na mshua sasa timu ya wabunge sie wanyapiaji tumeona V8 liliandikwa king musukuma Na mengine yamepiga kambi stand mabingo.
Wananzengo wametonya jamaa wamekuja kusikiliza kero za wahanga WA mgodi WA Buly Na watu wote wenye vielelezo vya kuzulumiwa Na mgodi wawasilishe.
Hatuna hakika Kama Na mgodi umealikwa kujibu au mambo upande mmoja yanaendelea katika kutoa haki nchi hii.
JF Ni paa la bati Mie nimetupia kuona mkutano unaendelea na hakuna thread mpaka muda huu, itakuwa kudhulumu wananzengo.
Kama kweli wabunge wanaongea Na wananchi vikosi vya polisi kutoka kahama vinalinda wananchi au viongozi? Huu wasi wasi katika nchi hii unaonyesha Kuna shida sehemu.
 
nadhani watakuwa wanalinda hali ya usalama kwenye eneo la mkutano, maana penye wengi kunamengi.
 
nadhani watakuwa wanalinda hali ya usalama kwenye eneo la mkutano, maana penye wengi kunamengi.

Sie yetu macho lakini wananchi WA huku hawana hizo hulka za fujo. Viongozi wapunguza woga Na mbwembwe zisizo Na tija.
 
nilikwenda kahama muda flani na nilipata kuzungumza na baadhi ya watu pale; ripoti ya mruma ilikua sahihi 100% ila kuna hofu za mgodi kufungwa.
 
Back
Top Bottom