Mnaotafuta kazi mchukue na taadhari

Mnaotafuta kazi mchukue na taadhari

Songambele

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2007
Posts
4,725
Reaction score
2,606
Wahusika mpitie mwito huu wa watu kuitwa katika usahili na kuombwa pesa.

Kuambiwa interview itachukua muda mrefu na aliyealikwa ajilipie chakula. Huu ni uhalifu wahusika wachukue hatua.

IMG-20220121-WA0036.jpg
 
Hivi Mr Kauga siku hizi kastaafu huu upigaji maana alikuwa noma sana, utamsikia nipo hapa tunachambua cv yako tuma elfu 20 niipitishe
 
Wafipa, posutaa! Wacha wawale vichwa akili ziwasogee!
 
Back
Top Bottom