Search results

  1. willpower

    Kampuni ya JEFAG Logistics: Kero ya foleni na ajali Kurasini

    Kampuni ya JEFAG Logistics iliyopo Kurasini Dar es Salaam imekuwa ikisababisha kero ya foleni kwa watumiaji wa barabara inayoelekea daraja la Mwalimu Nyerere (Daraja la Kigamboni) kutokana na mipangilio mibovu ya magari ya mizigo. Muda wa asubuhi malori ya mizigo hujipanga barabarani karibu na...
  2. willpower

    Harakati za Mapenzi zilivyompeleka jela rafiki yangu

    Wasalaam; hii ilitokea, Nakumbuka miaka ile, tukiwa tumehitimu kidato cha sita, mtaani kwetu tulikuwa vijana 6 ambao tulikuwa tumehitimu elimu ya sekondari. Miaka ile utaratibu wa kujiunga na elimu ya Chuo Kikuu ilikuwa unasubiri mwaka mzima nyumbani. Utamaliza kidato cha sita mwezi wa tano...
  3. willpower

    Mara ya kwanza kumjua mtu aliyejiua kwa sababu ya Mapenzi

    Hii tukio nimelikumbuka baada ya kutumiwa picha yangu ya zamani na mmoja wa watu tuliokuwa tukiishi mtaa mmoja. Nakumbuka nikiwa kidato cha tatu; asubuhi moja ya Februari 14, majira ya saa nne asubuhi, kilio kilisikika kutoka katika nyumba moja. Ilikuwa sauti ya kilio kikubwa kutoka kwa mama...
  4. willpower

    Vipindi hatari katika Uchumba/Mahusiano ya Vijana

    Kwa wadogo zangu: Leo nina muda kidogo wa kuandika, nikakumbuka maisha yangu binafsi na misukosuko ya kimahusiano; nikaona nije na huu uzi; vipindi hatari kwa uchumba/mahusiano ya vijana wengi. Hivi ndio vipindi ambavyo mahusiano mengi hufikia tamati na kuacha aidha uchungu ama fadhaa kwenye...
  5. willpower

    Binti alituchanganya mimi na classmate wangu, tukampangia tukio

    Salamu za Januari wajumbe, Miaka ile ya ujinga, nilikuwa na mahusiano na binti mmoja, mahusiano yalinoga haswa kuna wakati nikadhani kabisa kuwa sasa huyu atakuwa mke na mama wa watoto wangu. Binti mweupe, sura na haiba ya kike, mwili wa wastani, kiuno kimejitenga vyema kama kisiwa cha Mbudya...
  6. willpower

    Tafakari: Miezi 9 ya mahusiano na mke wa mtu pasipo kujua

    Miaka kadhaa nyuma, asubuhi siku ya jumapili, niliamshwa kwa kelele zisizo za kawaida, watu kadhaa walikuwa wakigonga mlango, japo nilikuwa chumbani lakini ugongaji ule wa mlango haukuwa wa kawaida. Nikaamka na kukutana na watu wanne, mzee mmoja, vijana wawili wakiwa na askari. Swali lilikuwa...
  7. willpower

    DOKEZO NHIF ofisi ya Bandari boresheni huduma

    Wadau, Mara kadhaa kwa sababu za kijiografia imekuwa ikinilazimu kupata huduma za NHIF katika ofisi zile zilizo bandarini, kwa kweli huduma za pale mapokezi ambao pia ndio wanaopokea fomu na kuwasikiliza wateja wahusika wa hili tawi la NHIF watupie macho hapo kwenye hicho kitengo. Matatizo ya...
  8. willpower

    Imenisikitisha; nilimkosea sana huyu kijana miaka mingi iliyopita

    Siku kadhaa hapo nyuma nilikuwa ni mwalikwa katika kongamano fulani lililohusisha wizara na taasisi kadhaa za serikali katika hoteli moja hapa mjini. Muda wa breakfast, nikiwa nimeshakaa tayari kuanza kula ndipo kijana mmoja alivuta kiti na kukaa mezani na kutoa salamu, habari za siku kaka...
  9. willpower

    Masoud Kipanya: Mtazamo wa Kisiasa na Falsafa ya Maisha

    Masoud Kipanya, wengi tulianza kumfahamu miaka ya mwishoni mwa 1990 na miaka ya mwanzoni mwa 2000. Kadiri miaka ilivyokwenda ndipo Masoud Kipanya aliendelea kuwa maarufu na kujulikana katika mambo mbalimbali, vijana wengi kumbukumbu yao kwa Masoud Kipanya ni kipindi cha Chuchu ambacho...
  10. willpower

    Divorce: Insider's perspective

    Divorce is usually caused by one of the '3 I's,' therapists say. Here's what they are and how they destroy a marriage. Canela López Thu, May 6, 2021, 1:20 AM Bill and Melinda Gates announced on Monday that they would divorce. Insider spoke to attorneys and relationship therapists about the main...
  11. willpower

    Kuna Mlipuko wa Homa na Mafua makali jijini Dar

    Ndugu zangu Watanzania, Mimi nipo kwenye sekta ya afya. Kwa wiki tatu sasa kuanzia katikati ya November 2020 kumekuwa na mlipuko wa homa kali na mafua makali ambayo huambatana na kikohozi. Kwa takwimu ndogo niliyochukua kutoka vituo mbalimbali vya afya ni kuwa kuna ongezeko la wagonjwa wa 1...
  12. willpower

    Ilibaki kidogo nifumaniwe nyumbani kwa Classmate

    ............................
  13. willpower

    Gari ilivunja mahusiano yangu na huyu binti

    Miaka kadhaa nyuma wakati Posta ipo kwenye ubora wake. Wakati huo migahawa maarufu ni Steers opposite na British Council, Meals Cafe na Food World mtaa wa Azikiwe. Maisha yana mengi sana. Wenye magari (hata ya ofisi) walitutesa sana miaka ya katikati ya 2000). Na kufikia leo bado wanawake...
  14. willpower

    Wanaume wa kipato cha kawaida mnalijua hili?

    Jf ni bahari kubwa sana. 1. Unapata stori za wenye uchumi wa juu 2. Unapata za wenye uchumi wa kati 3. Unapata stori za wenye uchumi wa chini. Una kazi na umefanikiwa kuoa mke, na mna mtoto mmoja yupo nursery kwa sister Emmy. Maisha sio mabaya sana. Una uwezo wa kumkabidhi mkeo walau Laki...
  15. willpower

    Naomba niwashauri NHIF Makao Makuu/Ofisi ya Temeke

    Naomba niwashauri tu NHIF kwa lugha nyepesi sana. Hii ofisi ya NHIF ipo Bandari Road mkabala na Bandari ya Dar es Salaam. Naomba niwashauri katika mambo yafuatayo:- 1. Hapo reception walau awepo mfanyakazi mmoja badala ya hao watoto wa Field. Wanasabisha usumbufu kwa kutoa maelekezo ambayo hata...
  16. willpower

    Uchaguzi 2020 NSSF: Hii siasa hapa kwenye daraja la Kigamboni ni sawa?

    Jumatatu niliamua nipite daraja la Kigamboni kuelekea mjini. Nilipofika pale sehemu ya kulipia (Toll Centre) nikaona kuna picha za wanasiasa wawili zimebandikwa kwenye nguzo. Hizi ni picha za ndugu John Joseph Pombe Magufuli (kwa wasiofahamu huyu ni Mgombea urais kupitia CCM) na ndugu Faustine...
  17. willpower

    Kuwa makini, kuna maajabu mengi kwenye dating

    Jambo la muhimu tuwe wastaarabu. Hasira na chuki usizilete kwa mtu mgeni katika maisha yako.
  18. willpower

    Ujumbe wa Wazi kwa Waziri wa Afya juu ya mapambano ya Corona

    UJUMBE WA WAZI KWA WAZIRI WA AFYA – NDUGU UMMY MWALIMU
  19. willpower

    Adhabu ya kuua na kuchoma moto ilivyomaliza tatizo la wizi eneo la Fokoland na Ndola - Vituka

    ADHABU YA KUUA NA KUCHOMA MOTO ILIVYOMALIZA TATIZO LA WIZI – ENEO LA FOKOLAND na NDOLA - VITUKA Kabla hujasoma naomba nieleze hili vizuri; siungi mkono adhabu ya kuchomwa kwa mwizi ama kibaka; nipo hapa kutoa tu historia jinsi adhabu hii ilivyoondoa tatizo la wizi eneo la Fokoland – VITUKA...
Back
Top Bottom