Mlipuko mpya wa maradhi (Case Study- Wilaya ya Kigamboni)

Hii kitu nimeona kwa muda mrefu sana.. Watoto twins wanalipata homa kali sana ikabidi twende hosp kupima kila kitu lakini majibu yakaonyesha hawaunwi kitu


Nikawa nawapa panadol tu mpka wamepona


Na mie kuanzia Jumatatu ikifika jioni tu napata kama homa na maumivu kifuani sehemu ya moyo na mwili kuchoka sana
 
Ni kweli mkuu binafsi ni muhudumu wa afya hii nimeiona sana japo ww umesema kuanzia miaka mi5 ila mm nimeshuhudia chini ya miaka mi5 akiwemo mtoto wangu wa miaka mi2, wanakuwa na joto Kali balaa, wengine ndio mafua na kikohozi vikiambatana na joto Kali ila uzur ni kwamba after few days Wana resolve.
 
Mimi pia siku ya tatu leo...Koo, mafua,kichwa n mwili uchovu ...jirani yangu hajaenda kazini hapa ananiambia Ana dalili hizo hizo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Duh nimeumwa mafua makali sana wiki nzima, nimepata nafuu siku chache zilizopita. Juzi ilibidi niende hospitali kupima malaria ambayo niliambiwa sina.
 
Mabadiliko ya hali ya hewa..unyevu umeongezeka..hivyo ueneaji wa bacteri na virus katika hewa ni mkubwa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndio ukweli. Tangu enzi na enzi magonjwa ndivyo yalivyo. Magonjwa yana seasons/misimu. Wakati wa mahindi kutoa mbelewele wenye pumbu na mizio/allergy nao upata shida. Ndio maisha TUSITISHANE ndugu zangu.
 
Huo ndio ukweli. Tangu enzi na enzi magonjwa ndivyo yalivyo. Magonjwa yana seasons/misimu. Wakati wa mahindi kutoa mbelewele wenye pumbu na mizio/allergy nao upata shida. Ndio maisha TUSITISHANE ndugu zangu.
Ambao hawana pumbu hawapati hiyo shida?
 
Back
Top Bottom