masoud kipanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Tutafakari sana kuhusu hiki anachokifikiria Masoud Kipanya

    MAPENDEKEZO YANGU: TUKITAKA KUJENGA UCHUMI WA UZALISHAJI, KUNA MAAMUZI MAGUMU LAZIMA TUANZE KUYAFANYA Kuna mambo ambayo naamini kabisa tukiamua kuyafanya kwa nia ya dhati yanaweza kubadilisha namna uchumi wetu unavyofanya kazi. Kwanza, tupange upya biashara zetu mijini. Hii tabia ya kila...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya: Mbwa waliokonda wanambwekea nani?

    Msululu mrefu unambwekea. Tena ni Mbwa Koko, vimekonda. Vinambwekea nani?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya: Asilimia 80 ya wanawake wanafanikiwa kuukwepa Umasikini kupitia ndoa

    Msaani wa uchoraji wa Katuni Msoud Kipanya amesema kuwa asilimia 80 ya wanawake wanakwepa mtego wa umasiki kupitia ndoa na pia asilimia 80 ya wanaume wanaingia kwenye mtego wa umasikini kupitia ndoa. Unakubaliana na hoja ya Masoud Kipanya? Nini maoni yako
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya: Watumishi wengi wa Halmashauri ni kikwazo kwa maendeleo ya Vijana

    Mchoraji wa Katuni na Mdau wa Habari, Masoud Kipanya ametoa hoja kuhusu Watumishi wa Halmashauri, alitoa maoni hayo Juni 3, 2026 wakati akihojiwa na Mwandishi wa Bongo FM. Mahojiano yao kwa maneno yakuwa Mwandishi wa Bongo FM: Sawa sawa. Pengine kwenye eneo ambalo pengine ukilitazama unaona...
  5. Mocumentary

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya, usirudi kwenye Media uchwara, tafadhali

    Tokea watangazaji maarufu wasimamishwe na bodi ya ithibati, masoud ameonyesha uwezo binafsi, Vipindi vyake vya sasa kupitia channel yake ya you tube ni vizuri vyenye mvuto kuliko alipokuwa clouds, Ana muda wa kutosha wa kutumia ubongo wake kujenga hoja na kujadili mada za msingi bula kubanwa na...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya: Ningekuwa Bodi ya ithibati, kila Mwandishi aliyegombea kupitia chama asingerudi kwenye Uandishi

    Mchora Katuni Masoud Kipanya ambaye pia amewahi kuwa Mtangazaji wa Redio na TV kupitia chaneli ya Kipanya Tell A vision kuhusu Mtazamo wake kuhusu Waandishi wa Habari walioshiriki katika kuwania nafasi za uongozi kupitia Vyama vya Siasa.
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya: Si wote Wanaokomenti mitandaoni wakionesha kuumia ni Wana-CHADEMA, wanapigania maslahi ya nchi

    Mchora Katuni mkongwe Masoud Kipanya kupitia chaneli ya Kipanya Tell A vision akielezea mtazamo wake kuhusu tabia ya watu wanaotoa maoni kupitia mitandao mbalimbali.
  8. papag

    JamiiForums Tanzania Fikra hadidu ya Masoud Kipanya

    Unasemaje?
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Kwenye katuni hii Masoud Kipanya anatoa ujumbe gani?

    Wakuu Zimwi likujualo halikuli likakwisha. Wanabodi tusaidiane kunyambua ujumbe aliouwasilisha Kipanya kupitia katuni hii, umepata chochote au patupu?
  10. McLaren

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya, CZA na Fetty wa Clouds pamoja na CEO wa Jambo TV wadaiwa kuzuiwa kufanya shughuli zozote za kihabari

    Wakuu, Yaani kwenye hii nchi kila mtu ATAFIKIWA kama sio leo ni kesho au mwaka kesho lakini udhalimu ukiwa unatokea alafu ukawa kimya na kuwa sehemu ya watawala kwa kukaa kimya, UTAFIKIWA TU. Hawa niliowataja hapo inaonekana wamefungiwa lakini hawataki kusema. Nasubiri kuona kesho kama...
  11. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Katuni ya Masoud Kipanya ina maana gani?

  12. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu wa kutafsiri picha za Masoud Kipanya

    Karibuni tushee maana zilizo nyuma ya picha za bwana MASOUD KIPANYA. Hasa zile zenye mrengo wa kisiasa
  13. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Gari za Masoud Kipanya zimeishia wapi? Mbona hatuzioni barabarani? Je, bado hajakidhi vigezo au kuna ya gizani tusiyoyajua?

    Gari za Masoud Kipanya zimeishia wapi? Mbona hatuzioni barabarani? Je bado hajakidhi vigezo au kuna ya mvunguni tusiyoyajua? Miaka kadhaa iliyopita Masoud Kipanya alizindua gari na habari zikasambaa kila kona ya nchi lakini jambo la kushangaza mpaka sasa ukimya umetawala wala hatujui...
  14. Faana

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya ameamka na biashara za wachina

  15. Faana

    JamiiForums Tanzania Mwenye kumuelewa Kipanya atusaidie

  16. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Napata wapi gari zinazozalishwa na Masoud Kipanya?

    Wakuu kuna wakati tulioneshwa magari yanayotengenezwa na kampuni ya mtanzania mwenzetu mzalendo kindakindaki Masoud Kipanya. Kama kuna anayejua yanauzwa kwenye showroom gani au yanapatikana wapi asaidie kuweka mawasiliano hapa.
  17. Damaso

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya atunukiwa Shahada ya Heshima (Vanguard Honorary Degree for Creativity)

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza magari ya umeme ya KAYPEE MOTORS, ambae pia ni Mtangazaji kutoka kituo cha Clouds Media Group, Ally Masoud Nyomwa maarufu kama Masoud Kipanya, ametunukiwa shahada ya heshima katika kutambua mchango wake kwa Jamii, ubunifu na ustahimilivu, ambayo...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya atunukiwa shahada ya heshima kwa Ustahimilivu na athari katika Jamii

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza magari ya umeme ya KAYPEE MOTORS, ambae pia ni GenC na mtangazaji kutoka Clouds Media Group, Ally Masoud Nyomwa maarufu kama Masoud Kipanya, ametunukiwa shahada ya heshima inayotambua mchango wake kwenye jamii, ubunifu na ustahimilivu, ambayo...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yaondoa kesi ya Masoud Kipanya dhidi ya Mwijaku kutokana na dosari za usajili

    Mahakama Kuu ya Tanzania (Masijala Ndogo ya Dar es Salaam) imeondoa kesi ya kashfa ya Ally Masoud Nyomwa maarufu Masoud Kipanya dhidi ya Burton Mwemba Mwijaku, kutokana na dosari za usajili. Jaji David Ngunyale aliiondoa kesi hiyo mnamo tarehe 24.10.2024 kabla hajatoa uamuzi wa mapingamizi...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwijaku anusurika kulipa TSh. milioni 500 baada ya Mahakama kufuta kesi ya Masoud Kipanya

    Mahakama Kuu ya Tanzania (Masijala Ndogo ya Dar es Salaam) imeondoa kesi ya kashfa ya Ally Masoud Nyomwa maarufu Masoud Kipanya dhidi ya Burton Mwemba 'Mwijaku', kutokana na dosari za usajili. Mheshimiwa Jaji David Ngunyale aliiondoa kesi hiyo mnamo tarehe 24 Oktoba 2024 kabla hajatoa uamuzi wa...
Back
Top Bottom