Search results

  1. H

    Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

    1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki ameongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo 2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki wa Coastal Union Lameck Lawi 3. Kuna uwezekano winga wa Simba Sc, Aubin Kramo akapelekwa kwa mkopo Zesco United ya Zambia 4. Kiungo...
  2. H

    Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha dogo ligi kuu Tanzania bara 2023/2024

    Huu ni uzi maalumu wa kupeana updates za usajili wa dirisha dogo unaotazamiwa kufunguliwa tarehe 15.12.2023. Karibu 1. Ladack Juma Chasambi ni mwekundu wa Msimbazi akitokea Mtibwa Sugar 2. Beki wa Yanga raia wa Uganda Gift Fred anahusishwa kuhitajika na Klabu ya Arab Contractors ya Misri kwa...
  3. H

    Ukweli kuhusu Simba Sports Club

    Natumaini u buheri wa afya. Kumekuwa na mijadala mingi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu uchezaji wa Simba. Ukweli ni kwamba baada ya Simba kujitathimini kwa muda mrefu imeamua kubadili falsafa yake ya kupiga pasi nyingi za nyuma na madoido yasiyokuwa na tija. Tathimini ilionesha ili timu...
  4. H

    Hivi Azam FC mpo serious kweli?

    Kitendo cha timu ya Azam Fc kugomea mechi ya kirafiki kabla ya kuisha kisa maamuzi mabovu ya mwamuzi kinaonesha mlivyo na utoto. Lengo kuu la friendly match ni kupima mbinu na utimamu wa mwili, kwa nini mkimbie? Na leo mlipaswa kuwa na mechi dhidi ya Club Africain naambiwa mmeisusa kisa droo ya...
  5. H

    Niyawazayo kuhusu uteuzi wa Chief Scout wa Simba

    Nawasalimu. Wiki hii Klabu ya Simba imemteua Mholanzi, Melis Daadler kuwa msaka vipaji mkuu(chief scout )wa Klabu. NIna mtazamo tofauti na watanzania walio wengi wanaodhani kaja kusajili wachezaji dirisha hili ili simba abebe ubingwa msimu huu. Lengo la timu ni la muda wa kati na mrefu. Wengi...
  6. H

    Fiston Mayele kutimka Yanga

    Kuna taarifa zinazosambaa kwa kasi mitandaoni kumhusu mshambuliaji kinara wa Yanga, Fiston Kalala Mayele kutimkia moja kati ya klabu ya Afrika kusini ikiwemo Orlando Pirates na Kaizer Chiefs. Duru nyingine zinamuhusisha kutakiwa na vilabu vya Afrika Kaskazini. Hapo awali alihusishwa kwenda Al...
  7. H

    Yafuatayo yatafanyika Simba SC kuelekea Msimu wa 2023/2024

    Kichwa cha habari chahusika. Baada ya kusuasua kwa misimu miwili ni dhahiri sasa kuna mabadiliko yafuatayo yatafanyika Simba SC: 1. Fred Nganjiro (Vunjabei) hataendelea kuwa kit supplier wa Simba. Itapewa kampuni ya nje ya nchi (hasa Afrika kusini) au ndugu yetu mmoja atachukua tender. 2...
  8. H

    Kwa hatua ilipofikia Young Africans ni dhahiri haiwezi kusonga

    Kwa hatua ilipofikia Young Africans ni dhahiri haiwezi kusonga mbele tena kombe la shirikisho Africa msimu huu. Japo Mallumo Galants wanasuasua kwenye ligi yao ila ubora wa mbinu na ushindani wa ligi wa South Africa utawabeba. Mechi ya kwanza kwa Mkapa italeta hofu kubwa kwa Wanayanga. Natabiri...
  9. H

    FT || Simba Sc 2 Vs 2 CSKA Moscow

    Fuatilia live mtanange huu kwa link hii
  10. H

    Mrithi wa Pablo huyu hapa

    Kocha wa APR ya Rwanda, Mohammed Adil Erradi, ametua Dar kimyakimya kwa ajili ya kufanya mazungumzo na mabosi wa Simba huku akiwa ameomba ruhusa ya mapumziko katika klabu yake. Simba imekuwa katika kipindi cha kufanya mabadiliko makubwa ndani ya timu hiyo kutokana na kutokuwa na matokeo mazuri...
  11. H

    Taarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Simba ndugu Salim Abdallah (Try Again) ni kuwa Simba itasajili wachezaji wanne wa kigeni msimu

    Taarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Simba ndugu Salim Abdallah (Try Again) ni kuwa Simba itasajili wachezaji wanne wa kigeni msimu ujao. Amebainisha nafasi za wachezaji hao kuwa ni mastraika wawili, winga mmoja na beki mmoja wa kati. Kutokana na nafasi ya wachezaji hao, ni...
  12. H

    Samatta, Mwamnyeto na Manura wakutwa na Covid-19

    Kuna taarifa za chinichini kuwa naodha wa Taifa Stars Mbwana Ally Samatta, beki wa Yanga Bakari Nondo Mwamnyeto na golikipa wa Simba Aishi Manura kuwa wamekutwa na Covid-19 huko Madagascar. Je, taarifa hizi zina uhakika kiasi gani?
  13. H

    Shaaban Djuma kuibukia Berkane?

    Kama taarifa hii itathibitika basi Shaaban Djuma wa AS Vitta Club atakuwa anaelekea RS Berkane ya Morocco. Ikumbukwe hivi majuzi miamba ya Jangwani ilijinasibu kumpata kwa kitita cha shs bilioni moja za Kitanzania. Muda ni mwalimu mzuri.
  14. H

    Waziri Ndalichako nakupongeza kwa kazi nzuri ila dhibiti udanganyifu wa mitihani

    Tangu awamu ya tano iingie madarakani kuna mabadiliko mengi katika sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya elimu. Binafsi kama mtanzania mzalendo nahuzunishwa na tabia za baadhi ya taasisi za elimu kufanya udanganyifu wa mitihani. Mhitimu wa darasa la saba anafaulu vipi kwa daraja B na C wakati...
  15. H

    Uchaguzi 2020 Paschal Mayalla hufai hata kuongoza kitongoji

    Nimekuwa nikifuatilia mienendo ya siasa za nchi kwa miaka mingi sasa. Nchi hii imebariki watu wenye vipawa mbalimbali. Tasnia ya siasa imekuwa inaheshimika kwa miaka kadhaa sasa. Kipindi hiki kimeshuhudia kushuka kwa hadhi ya tasnia hii kutokana na wimbi kubwa la wanasiasa uchwara wenye...
  16. H

    Walionyimwa stahiki zao kipindi hiki cha Covid 19 tukutane hapa

    Wasalaam wanajamvi Katika kipindi hiki cha Covid 19, kumekuwa na malalamiko ya wafanyakazi wengi wa sekta binafsi nchini Tanzania kutolipwa stahiki zao kinyume na makubaliano ya awali. Wahanga wengi wa hili ni walimu wa shule binafsi. Mwandishi wa makala hii ni miongoni mwa Wahanga kwani...
  17. H

    Azam yatua EPL

    Kwa taarifa zilizopo ni kwanza AZAM TV itaanza kuonesha ligi kuu ya Uingereza (EPL) kuanzia kesho jumamosi tarehe 31/8/2019 kupitia Azam UTV. Wanaanza na mechi ya Chelsea vs Sheffield united
  18. H

    Wahamiaji haramu na uvunjifu wa sheria Kagera

    Wasalaaam wana Jf Mimi ni mkaazi wa mkoa wa kagera wilaya ya Bukoba vijijini. Kuna wahamiaji watatu raia wa Uganda wanaoishi kinyume na sheria za nchi. Kibaya zaidi ni tabia zao chafu wanazofanya bila hata chembe ya woga wa sheria za nchi huku wakisikika wakitoa maneno ya kuwadharau watanzania...
  19. H

    Msaada: Jinsi ya kurudisha hela niliyotuma Ardhi University

    Habarini za mchana! Nimekuwa kwenye harakati za kuomba vyuo kupitia online system. Nimelipa fedha kupitia M PESA kwenda chuo kikuu cha ARDHI. Meseji imerudi kuwa hela imetumwa lakini system ya application ya chuo imeshindwa kurudisha feedback kunipa go ahead na application tangu saa moja...
  20. H

    Natafuta kazi ya kufundisha

    Habari wana JF, Mimi ni muhitimu katika chuo kikuu Dar es Salaam katika kozi ya ualimu masomo ya History na English. Ufaulu wangu ni 3.7 GPA na nina uzoefu kwani nimefundisha Sekondari 2 na English medium 1. Kwa mwenye nafasi au connection tafadhari tuwasiliane niko tayari kufundisha sehemu...
Back
Top Bottom