Hii imeingia kwenye historia na inaonesha Yanga ina uwezo mkubwa wa ku-scout Wachezaji wenye vipaji.
Hongera Sana kwa Mayelle
Soma Pia: Messi avunja rekodi mbili za Klose Kombe la Dunia
Dokumentari ya Fiston Mayele alivyopokewa kuwa mfalme wa uwanjani ktk nchi ngeni
https://m.youtube.com/watch?v=YIKlNoYxNDc
Hii ni filamu ya wasifu wa mchezaji Fiston Kalala Mayele akirejea safari yake kuanzia mwanzo Mbuyi Mayi, Kolwezi Lubumbashi hadi kuchanua kwa Kipaji chake katika nje ya...
Pyramids ya Misri imeweka bei ya Doła 3 milioni (Sh8 bilioni) kwa timu inayomhitaji mshambuliaji Fiston Mayele katika kipindi cha dirisha hili la usajili.
Mayele aliyeongoza kwa kufumania nyavu kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika msimu uliopita akipachika mabao sita, anawindwa na klabu kadhaa za...
I will be short
Former yanga Player Fiston Mayele has converted to Islam . ☪️
Reports say influence from Pyramids players played a major part of his conversion.
Kibongo bongo
Ni pesa za kiarabu Hizi zinatafutwa
===
Nyota wa DR Congo anadaiwa kusilimu
Katikati ya mafanikio yake ya soka...
Kiukweli leo nimempitisha rasmi kuwa mmoja wa washambuliaji hatari hapa nchini, kwanza Ana control na Ana ball brain, nimemfuatilia mechi ya leo na Mashujaa aisee mwamba huyu ni mtu hatari sana, mkatili mno kwenye nyavu
Hawa ndio washambuliaji wanaohitajika Simba
Kocha Mkuu Wa pyramids FC Krunoslav Jurcic [emoji1082] ameuambia Uongozi wa Pyramids kuwa ana malengo makubwa na Fiston mayele na kama watamuuza basi yeye pia ataondoka ndani ya Timu hiyo
Familia ya Kaizer Motaung ambayo ndiyo wamiliki Wa Kaizer chief walituma offer Pyramids ya Tsh Billion 6.4...
Mchezaji wa zamani wa Yanga Fiston Mayele ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya Pyramids fc. kwa sasa anazungumziwa kumfuata kocha wake wa zamani Nasreddine Nabi. Nabi ambapo kwa sasa ni kocha wa mkuu wa Kaizer Chiefs.
Hii habari ni ya imeendelea kushika kazi kwenye mitandano ya kijamii ya...
TETESI, muda wowote kuanzia sasa mshambuliaji FISTON MAYELE anaweza kutambulishwa ndani ya klabu ya Simba SC,
✍️Hii ni baada ya Kocha mkuu wa timu hiyo Fadlu Davids, kuomba aongezewe mshambuliaji mwingine mpya ndani ya kikosi hicho tofauti na wale waliopo ndani ya klabu hiyo kwa sasa.
Paulo News
Hata atuoneshe dharau, dogo anaupiga mwingi mbaya. Kila mechi anapasua watu. Leo kapiga kamoja Al Ahly wakishindaa 3 kwa 2 dhidi ya Pyramids.
Akiwa na magoli 14 mwanaume mwamba wa Congo anapekenyua kiatu cha Misri muda si mrefu.
Naamini Pyramids watamheshimu sana Eng. Hersi kama sio kumjengea...
Nina taarifa za uhakika kuwa ili Kutuliza Hasira Kali za wana Simba SC ( nami nikiwemo ) za muenendo mbaya wa Timu yetu na kwa Viongozi wetu wa Simba SC kwa kutujua Mashabiki wao tulivyo Mazuzu Original huenda Ligi Kuu ya NBC ikimalizika tu Mchezaji wa Kwanza Kusajiliwa Simba SC akawa ni Fiston...
Kwanza niweke wazi Mimi hiyo Instagram huwa natumia zaidi Kwa ajili ya kusoma magazeti Kwa Millard Ayo.
Ila baada ya Mayele kutrend na "majini" yake nimejaribu kupitiapitia account yake na nimeshangazwa na kitu kimoja.
Fiston Mayele NI Mcongoman na Kwa sasa ni mchezaji wa Pyramid ya Masri...
Fiston Mayele yuko sahihi kwa 100% kwani Waganga Wawili Wakubwa wa Yanga SC mmoja akitokea Kisiwani Zanzibar na mwingine akitokea Kusini ( Mtwara na Lindi ) ni tatizo na sababu ya Kinachomkuta.
Taarifa za uhakika ambazo GENTAMYCINE nimepewa na Mmoja wa Wachezaji wa Ndani ( Mzawa ) wa Yanga SC...
Leo unasema umechoka na majini. Kipindi kile yanakusaidia hukuchoshwa nayo? Waulize wenzio sasa. Muulize Feisal si una namba yake. Waulize wengi tu ambao wamepita Yanga wakatengenezwa wakajifanya wajuaji. Uliza wapo wapi mbwa wewe. Sisi ndo tumekujenga.
Naskia jamaa yenu huko mambo magumu. Juzi timu yake imeua goli 6 lakini mwamba hata la offside kashindwa kufunga.
Vipi kwenye ligi yao kafanikiwa kufunga kweli? Tumuombee jamaa anapitia kipindi kigumu…
ALIKUJA, aliona, alitawala, ameondoka. Fiston Kalala Mayele. Mara yangu ya kwanza kumuona ilikuwa ni katika jiji la maraha la Marrakeich pale Morocco katika maandalizi ya msimu mpya Julai 2022. Hakuwa jina maarufu miongoni mwetu. Baada ya virusi vya corona kuvamia katika kambi ya Yanga na kisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.