Natafuta kazi ya kufundisha

Hichilema

JF-Expert Member
Sep 4, 2016
1,555
1,611
Habari wana JF,

Mimi ni muhitimu katika chuo kikuu Dar es Salaam katika kozi ya ualimu masomo ya History na English. Ufaulu wangu ni 3.7 GPA na nina uzoefu kwani nimefundisha Sekondari 2 na English medium 1. Kwa mwenye nafasi au connection tafadhari tuwasiliane niko tayari kufundisha sehemu yeyote na level yoyote Tanzania na hata kama salary scale haitafika ya kawaida.

Asanteni. 0755650359
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom