pablo

Pablo is a Spanish form of the name Paul.

View More On Wikipedia.org
  1. CAPO DELGADO

    Simba achaneni na Pablo

    Wakuu nimesikia tetesi kwamba Kocha wa 2020 - 2021 Pablo Flanko Martine yupo Tanzania. Pablo alikuwa akizira zira, alikuwa akigombana na akina Wawa, anapigapiga Machupa, hajawahi kuwa na ubingwa wowote. Na limpira lake la kukimbia kimbia. Kuna tetesi kwamba huenda akamalizana na Uongozi wa...
  2. kavulata

    Mgunda alikuwa anasaidiwa na utelezi wa Pablo na Zoran, sasa umekwisha

    Watu hawataamini kuhusu uwezo wa Mgunda kuifundisha Simba. Simba haiwezi kufundishwa na mgunda na Matola bhana. Ushindi mfululizo wa Mgunda tuliokuwa tunauona ulitokana na saikolojia ya wachezaji mbele ya kocha mpya tu. Kila mchezaji alikuwa anacheza kwa kiwango kikubwa kuliko afya, kipato na...
  3. M

    UZUSHI Mohammed Adil Erradi atua Dar kimyakimya kujiunga na Simba SC kama kocha mkuu

    Kulikuwa na uvumi kuwa klabu ya Simba kuachana na kocha wa klabu hiyo, Pablo Franco Martín kutokana na mfululizo wa matokeo mabovu ya timu na kufungwa na Yanga katika nusu fainali la kombe la FA. Kumekuwa na taarifa kuwa Mohammed Adil Erradi, amefika Dar kwa ajili ya kufanya mazungumzo na mabosi...
  4. H

    Mrithi wa Pablo huyu hapa

    Kocha wa APR ya Rwanda, Mohammed Adil Erradi, ametua Dar kimyakimya kwa ajili ya kufanya mazungumzo na mabosi wa Simba huku akiwa ameomba ruhusa ya mapumziko katika klabu yake. Simba imekuwa katika kipindi cha kufanya mabadiliko makubwa ndani ya timu hiyo kutokana na kutokuwa na matokeo mazuri...
  5. B

    Pablo kuondoka ni sahihi. Matola naye asibake aje Pawasa mbadala

    KUONDOKA KWA PABLO NI SAHIHI KABISA Kocha yeye kila siku kulia Kocha amecheza mechi 4 na Yanga hajashinda hata moja hafai kuwa SIMBA Kocha hana mbinu za kuweka mpira chini, kushambulia kwa kasi, kutumia wachezaj vzr Kocha anadrooo nyingi muno hata mkumletea MESSI hawezi kudelievr MATOLA AONDOKE...
  6. JanguKamaJangu

    News Alert: SIMBA YAVUNJA MKATABA WA KOCHA PABLO, Kocha wa Viungo naye kwaheri

    Klabu ya Simba imetangaza kuvunja mkataba na Kocha Mkuu, Pablo Franco Martin pamoja na Kocha wa Viungo, Daniel De Castro Reyes baada ya makubaliano ya pande zote mbili. Baada ya maamuzi hayo, Timu ya Simba ambayo haijawa na msimu mzuri itakuwa chini ya Kocha Msaidizi, Selemani Matola.
  7. Moshi25

    Simba bado tu haijamtimua Pablo?

    Hivi kwa mpira mbovu ilionao Simba kwasasa, Mashabiki kuugua magonjwa ya moyo na wengine hadi kulazwa kwa magoli ya kideoni ya wananchi, mashabiki wa Simba kupiga makonde wananchi wanapowatania vibanda umiza,mashabiki wa Simba kushindwa kuvaa jezi zao mitaani kwa kuona aibu ya kuwa wabovu...
  8. Shark

    Pablo atimuliwa Simba SC, mwenyewe agoma kupokea barua

    VIKAO vya siku mbili ndani ya Simba vimeamua rasmi kuachana na kocha mkuu Pablo Franco kwa kile kilichodaiwa ni kutoridhishwa na mwenendo wa timu hiyo. Simba imepoteza mataji yake yote mawili la Ligi Kuu Bara ambalo walilitwaa kwa mara nne mfululizo pamoja na taji la Kombe la Shirikisho la Azam...
  9. Joseverest

    Kocha Pablo: Ubingwa Ligi Kuu bado tupo tupo

    Mwanza. LICHA ya Yanga kubakiza pointi sita kutangaza ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu huu, Kocha wa Simba, Pablo Martin amesema ni mapema sana kukata tamaa kwani kikosi chake kitapambana kuhakikisha inaweka matumaini kwenye ubingwa huo ikianza na mchezo wa kesho dhidi ya Geita Gold. Simba...
  10. Suzy Elias

    Chama na Morrison wana mgogoro na Pablo....?!

    Chama nimemuona hapa maeneo ya Bridge Ndola anaendesha gari na kweli hata kwenye kikosi hayumo! Morrison naye pia hayupo?! Pablo anaihujumu Simba?! Nb; Simba ya makaratasi uwanjani leo.
  11. JanguKamaJangu

    Vita ya Clatous Chota Chama Vs Pablo mmoja kuondoka SIMBA

    Tetesi kutoka msimbazi ni kuwa kiungo wa Simba,Clatous Chotta Chama na Kocha Mkuu Pablo Franco walirushiana maneno kwenye vyumba vya kubadilishia nguo Aprili 30, 2022 katika mchezo wa Derby ya Kariakoo dhidi ya Yanga. Inaelezwa tukio ndilo lililisababisha Pablo kumtoa Chama na nafasi yake...
  12. M

    Wana Simba SC Wenzangu mtanisamehe, ila Goli la Chirwa lililokataliwa 100% ni sahihi na tumlaumu Kocha Pablo kwa Ubovu wake

    Hivi Kocha mwenye Akili Timamu unawezaje kuwaanzisha Wachezaji Waandamizi na waliotumia Nguvu Kubwa katika Derby badala ya Kuwatumia wale wasiokuwa na Nafasi na ambao hata Kiufundi tu Mechi hi ndiyo ingewafaa? Hivi leo Pablo Franco Martin angeanza na Kikosi hiki nani angemlaumu hata kama...
  13. M

    Kocha Pablo Kagombana na Clatous Chama wapatanishwe haraka kwa Faida ya Simba SC

    Waligombana katika Mechi ya Derby Timu ilipokuwa Vyumbani kwa Chama kuzikataa Mbinu za Kocha Pablo ambazo aliziona zisingesaidia mbele ya Yanga SC na Kocha kuona anadharaulika. Tafadhali Simba SC hasa Msemaji Ahmed Ally usilificbe hili kwani nina uhakika nalo 100% kwakuwa ndani ya Simba SC yako...
  14. M

    Kocha Matola, Boss wako Pablo na Benchi lenu zima la Ufundi ni kwamba Orlando Pirates FC yenyewe ni ile ya kuanzia dakika ya 70 hadi ya 93 ya Mchezo

    Baada ya kuona hawana cha Kupoteza na Wameshafungwa Orlando Pirates FC waliamua kucheza Mpira wao halisi ( halisia ) ambao waliuanza katika dakika ya 70 hadi ya 93 nikimaamisha ile ya 90 na zile 3 za Nyongeza. Hivyo kwa Mapenzi mema na Klabu ya Simba nawaomba Wahusika Wote katika Benchi la...
  15. M

    Naomba kabla ya Saa 7 Kamili Mchana leo mniambie mnataka Kocha Pablo aanze na Kikosi kipi Kati ya hivi Viwili viifuatavyo?

    Kikosi A 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Kennedy Juma 5. Henock Inonga 6. Jonas Mkude 7. Pape Ousmane Sakho 8. Rally Bwalya 9. Kibu Denis 10. Meddie Kagere 11. Bernard Morrison Kikosi B 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Pascal Wawa 5. Henock...
  16. BigTall

    Clatous Chama na Pablo wa Simba wabeba tuzo za mwezi Ligi Kuu Bara

    PABLO FRANCO - Kocha Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Machi, 2022. CLATOUS CHAMA - Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Machi, 2022.
  17. GENTAMYCINE

    Mtego Muhimu kwa Kocha wa Simba SC Pablo ambaye pia anatakiwa sana na Orlando Pirates FC wasio na Kocha Mkuu kwa sasa

    Akiivusha Simba SC kwenda Nusu Fainali ya CAFCC dhidi ya Orlando Pirates FC atakuwa ameponya Kufukuzwa (kuwa Sacked) Msimbazi, ila tayari Matajiri wa Orlando Pirates FC nao wameshampa Ofa (tena Kubwa tu) kama akikubali kutua Kwao muda wowote kuanzia sasa. GENTAMYCINE ningekuwa ndiyo Kocha Pablo...
  18. N

    Asante kocha pablo kukataa offer ya orlando pirates

    Amini usiamini Pirates wamefanya vizuri kwenye kundi lao lakini mashabiki wao hawana imani na wachezaji wengi team na haswa kocha wao sasa kumbe CEO wa pirates alikuwa busy kumpa offer nono Bwana Pablo ambaye kakataa akiamini analo jukumu la kukamilisha simba Siku nasikia kocha huyu wa zamani...
  19. GENTAMYCINE

    Ningekuwa ndiyo Kocha Pablo kwa Mechi Muhimu ya Leo wala nisingepoteza muda badala yake 'ningejilipua' tu 'mazima' na Kikosi changu hiki...

    Kikosi cha Kuanza (cha Maangamizi) 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein Tshabalala 4. Henock Inonga 5. Joash Onyango 6. Jonas GENTAMYCINE Mkude 7. Pape Ousmane Sakho 8. Rally Bwalya 9. Kibu Denis 10. Meddie Kagere 11. Peter Banda Wa Akiba wawe hawa 1. Beno Kakolanya 2. Israeli...
Back
Top Bottom