samatta

Mbwana Ally Samatta (born 23 December 1992) is a Tanzanian professional footballer who plays as a striker for English club Aston Villa and the Tanzania national team.
Samatta began his career as a youth player for Tanzanian club African Lyon in 2008. He turned professional in 2010 with Simba Sports Club, where he played for only half of the season before moving to TP Mazembe, spending a total of five years with them, initially becoming a first-team regular. He was named the 2015 African based Player of the Year, and finished the season as the top goalscorer of the CAF Champions League as he helped TP Mazembe to win the title.
In January 2016, Samatta signed for Belgian side K.R.C. Genk, helping them to qualify for the UEFA Europa League and win the Belgian Jupiler League in 2019. Having finished the season as the top goalscorer of the Jupiler League he also won the Ebony Shoe award in Belgium for his outstanding season with Genk.
In January 2020, he moved to Premier League club Aston Villa.

View More On Wikipedia.org
  1. SAYVILLE

    Nguzo ya Taifa Stars inashikiliwa na safu ya ulinzi ya Yanga

    Tukiweka ushabiki pembeni, safu ya ulinzi ya Yanga imethibitisha kwa misimu miwili sasa kuwa ni safu ngumu sana kupitika si tu katika mashindano ya ndani ila hata ya kimataifa. Kuna jinsi hawa vijana wanajua kuwajibishana ndani na nje ya uwanja kiasi kwamba kila mmoja wao anahakikisha hazembei...
  2. O

    EDO KUMWEMBE: Ukimuwaza Miquissone unaongeza heshima kwa Samatta

    UNAPOANDIKA kitabu kinachohusu klabu ya Simba. Utaandika mwanzo, katikati, kisha kuna hizi kurasa za mwisho mwisho. Namaanisha hizi zama zetu za sasa. Utaandika sifa za baadhi za wachezaji. Utakutana na jina la Luis Miquissone. Katika sifa rahisi zaidi kumwelezea Miquissone inabidi uandike tu...
  3. carnage21

    Big up kwa SAMAKIBA foundation, Wape tabasamu, saidia wazazi na Mwamnyeto foundation.

    BILA Kujali timu unayoishabikia wala Mchezaji unayemshabikia.....hili SUALA la Wachezaji wanaocheza ndani na wale wanaocheza nje ya Tanzania Kutoa misaada ya kuwagusa Moja kwa Moja jamii inayowazunguka Ni Jambo jema ambalo linapaswa kuungwa mkono na kuigwa wachezaji wengi pamoja na vilabu...
  4. J

    Samatta akiwa kileleni na Mayele kwenye kilele nani zaidi?

    Wote ni washambuliaji wa mwisho, Samatta alikuwa mmaliziaji zaidi wakati Mayelle anatengeneza nafasi pia anamalizia, lakini pia ana spidi na anaweza kufunga goli katika angle ngumu, akienda Ulaya atafanya vizuri zaidi. Naona kama Mayelle ni zaidi, ni mtazamo tu lakini sio vita.
  5. Execute

    Nafasi anayocheza Samatta pale Taifa Stars awe anawekwa Kibu Denis

    Japo Kibu hana akili ya mpira lakini anakupatia kitu kinaitwa work rate. Yaani akiwepo uwanjani anakuwa na pilikapilika nyingi ambazo zinaweza kuleta matokeo chanya. Huyu Samatta ameshapitwa na wakati.. hana chochote anachoiongezea timu awapo uwanjani.. Kibu anaweza kufanya link ya viungo...
  6. D

    Kwanini ligi yetu ni bora kuliko ya Uganda lakini wao ni bora kwenye timu ya taifa kuliko sisi?

    Siku zote tumekuwa vibonde wa majirani zetu Uganda, Takwimu zinaonesha kuwa tumekutana nao mara 24 na wametufunga mara 13 na tumewafunga mara 6 na tumedroo mara 5! Tunakwama wapi aseee? 😂😂Hapa niko nataka niweke mkeka Sokabet kwenye mechi ya leo ila uzalendo inabidi niweke pembeni nimpe...
  7. sinza pazuri

    Mbwana Samatta ndio mchezaji bora wa soka wa muda wote Tanzania, GOAT

    Mchezaji pekee kutoka Tanzania kushinda CAF champions league. Mchezaji pekee wa Tanzania kua top scorer kwenye CAF Champions League. Mchezaji pekee Africa mashariki kushinda tuzo ya Mchezaji bora wa Africa (wachezaji wa ndani). Mfungaji namba mbili bora katika ligi ya Belgium, moja ya ligi...
  8. mdukuzi

    Hivi Samatta yupo kweli?

    K. Bazil aliwahi kuimba wimbo wa riziki, nadhani alimlenga Mbwana Samatta na yule Majaliwa wa Precission Air Bukoba. Hawa watu wamepata sifa na utukufu wa bure. Samatta hajui mpira, kiwango chake ni cha kawaida mno, ni maajabu Samatta kupata dili kucheza Ulaya. Samata anazidiwa na Mayele kwa...
  9. JanguKamaJangu

    Tabasamu la Mbwana Samatta akiwa mazoezini KRC Genk, Agosti 17, 2022

    Mbwana Samatta akiwa katika mazoezi ya timu ya KRC Genk baada ya kurejea kwa mkopo
  10. JanguKamaJangu

    Mbwana Samatta arejea KRC Genk

    Mshambuliaji Mtanzania, Mbwana Ally Samatta amejiunga katika Klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji akitokea Fenerbahçe ya Uturuki. Samatta alipata mafanikio makubwa alipoichezea mwaka 2016 hadi 2020, baada ya hapo alijiunga na Aston Villa ya England.
  11. Shark

    Mbwana Samatta arejea GENK

    #MICHEZO Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta amerejea tena katika klabu iliyompa mafanikio barani Ulaya, KRC Genk kwa mkopo wenye kipengele cha kumnunua moja kwa moja akitokea Fenerbahce ya Uturuki. Samatta aliitumikia Genk katika michezo 191 na kufunga mabao 76 huku akishinda ubingwa wa...
  12. Donnie Charlie

    Samatta mbioni kurudi England

    RIPOTI kutoka Ubelgiji zinamhusisha mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania na nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta ‘Samagoal’ kutua Cardiff City ya Ligi Daraja la Kwanza England ‘Championship’. Mshambulizi huyo mwenye umri wa miaka 29 ameonyeshewa malango wa kutokea huko Uturuki kwenye klabu...
  13. H

    Samatta, Mwamnyeto na Manura wakutwa na Covid-19

    Kuna taarifa za chinichini kuwa naodha wa Taifa Stars Mbwana Ally Samatta, beki wa Yanga Bakari Nondo Mwamnyeto na golikipa wa Simba Aishi Manura kuwa wamekutwa na Covid-19 huko Madagascar. Je, taarifa hizi zina uhakika kiasi gani?
  14. comte

    Bwana Samatta -Liverpool 1- 1 Genk tarehe kama ya leo miaka miwili iliyopita

    SAMATTAAAAAAAAAAA LIVERPOOL 1-1 GENK Genk's Tanzanian striker Mbwana Samatta powerfully headed in the equaliser at the near post from a corner five minutes before half-time. We could have scored more often and that would have completely changed the game. But then they scored the goal, a really...
  15. kavulata

    Matarijio ya wengi ni Samatta achangie zaidi kama Ronaldo na Messi

    Sio kwamba Samatta hatoi mchango kwa taifa lakini mchango wake hautoshi kabisa. Kule Ulaya anaitwa Samagoal lakini Taifa stars anaitwa Samaassist. Hiki ndicho watu wasichokitaka. Mafanikio ya Ronaldo na Messi ni pamoja na kupachika magoli kwenye mataifa Yao na kuamua matokeo. Tumuombee Samatta...
  16. GENTAMYCINE

    Captain Mbwana Samatta nakuomba tusamehe Watanzania, Taifa Stars ikifungwa mbaya Wewe ila ikishinda Sifa wanapewa Wengine

    Najua unavyoumia Mdogo wangu ila GENTAMYCINE nasema Watanzania tutakutusi, kukashifu na kukuona huna lolote ila hapo hapo ulipo tambua kuwa Wewe ndiyo Shujaa yetu namba Moja ndani ya Kikosi cha Timu ya Taifa Tanzania ya Taifa Stars. Najua kuwa Taifa Stars ikifungwa basi Sisi Waswahili...
  17. B

    Mbwana Samatta arudi tena Ubelgiji, aenda Royal Antwerp

    Kama ambavyo tweet inavyoonesha hapo juu, Mbwana Ali Samatta amerudi nchini Ubeligiji, na safari hii akijiunga na klabu kongwe nchini humo, yaani Royal Antwerp! Kwa wafuatiliaji, bila shaka wanafahamu Samatta hakuwa akipata nafasi ya kutosha pale Fenerbahce. Jambo lililonishangaza, inaonekana...
  18. Cannabis

    Dkt. Mwigulu Nchemba ateua wadau watakaotoa elimu ya mlipa kodi; wamo Hamisa Mobetto, Edo Kumwembe na Mbwana Samatta

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua Mbwana Samatta, Hamisa Mobeto na Edo Kumwembe kuwa mabalozi wa kuhamasisha ulipaji kodi. Mbali na hao amewateua wanasiasa wengine kuwa mabalozi wa elimu ya kodi, ili kuhakikisha wananchi wanalipa kodi bila kushurutishwa. =========...
Back
Top Bottom