Search results

  1. 0ozg Tz

    Nimedhulumiwa na Wauza mchele, katika kilo 100 nimekuta kuna upungufu wa kilo 20

    Mwezi wa kwanza niliwahi nunua tani 2 kwa hao hao wauzaji wa mchele ila sikugundua maana nilivyoufikisha stoo vijana waliwahi kuuweka kwenye mifuko ya kinga njaa kwahiyo sikupata nafasi ya kupima kila kiroba. Leo nimeenda nikachukua viroba vitano vya kilo mia mia,nimefika stoo nimevipima...
  2. 0ozg Tz

    Kichekesho cha beki ghali duniani Maguirre

    Unaambiwa huyu jamaa kila mara anakuwa upande wa timu pinzani. CR7 anataka top four,maguirre hataki. De Gea anamuogopa huyu beki zaidi ya washambuliaji wa timu pinzani. Katika hii picha hapa chini ameamua kuapply kile anachokifanya kwenye mazoezi. Pogba alikula kiatu cha uso.
  3. 0ozg Tz

    Hii njia inaweza kufaa kupunguza kuchepuka kwa mwanamke alieolewa

    Hii mbinu itamfanya mwanamke kuogopa kuchepuka kwa kuhisi kuwa ataonekana kuwa mchafu kwa mchepuko wake. Kwa wale wanaume wanaosafiri safiri sana, yaani kuwa na mkeo inakuwa mara chache, sasa fanya hivi:- mwambie asiwe ananyoa. Wewe ndio unatakiwa umnyoe tena kwa kuyapunguza tu usiyamalize...
  4. 0ozg Tz

    Toka Azam TV ianze kuonesha ligi ya Tanzania, imepelekea kupunguza mashabiki wa ligi za Ulaya

    Kwa jinsi hali ilivyo sasa ya kimpira hapa kwetu, hasa katika mazingira ya vibanda umiza, kwa kuangalia mashabiki wa hizi timu mbili kubwa hapa Bongo. SIMBA Kwa msimu huu wa 2021/22 hasa siku za hivi karibuni, mashabiki wa Simba wameanza kupungua kuhudhuria mechi za Simba, hasa hasa inapokuwa...
  5. 0ozg Tz

    Waafrika wengi tunaishi kama mifugo

    Hatuna muda wa kuinjoy maisha Mkikutana wapenzi ndani ya wiki mbili tu mmeshabebeshana mimba Hakuna time ya kufutahia uhusiano wenu utazani nyie ni ng'ombe kwamba mkizaa haraka mnamsaidia mfugaji kupata maziwa na mifugo kuongezeka. Ona wenzetu weupe wanavyoinjoy,wanaanza na uchumba,wanakaa...
  6. 0ozg Tz

    Millard Ayo kapoteza maboya vijana wengi waliokuwa wanatamani kuwa kama yeye

    Jamaa alijifanya kama kijana fulani ambae mbususu sio inshu sana kwake,hata siku moja hakuwahi kuonekana kuwa na demu ambae watu wangehisi hata kuwa jamaa anatafuna. Jamaa kila siku alkuwa busy kuisaka pesa aendelee kujitajirisha,na vijana wengi sana walitamani kuishi kama yeye yaani unazisaka...
  7. 0ozg Tz

    King'amuzi cha antenna azam kinauzwa 70,000

    Nipo mwanza, Sengerema Namba: 0759589005 Ni kipya kabisa Kama una king'amuzi cha Azam cha dishi tutabadilishana na nitakupatia 100,000
  8. 0ozg Tz

    Wataalamuwa kutengeneza beat na wapenzi wa muziki njooni

    Kuna huu wimbo wa Jay Helody-huba hulu. Sound yake nakuwa sielewi elewi, kila nikijaribu kuuweka naona unatoa sound ya ajabu, najaribu ku-equalizer lakin bado sound inayotoka haisound poa. Sasa nazani labda itakuwa producer alikosea au studio ilikuwa na vyombo vya kawaida. Unasound kama...
  9. 0ozg Tz

    Kwanini kwasasa wanawake wengi wamekuwa hawana huruma na malengo mema kwa waume zao

    Kwasasa usitegemee mwanamke anaweza kukuonea huruma wewe mume wake, haijalishi unapambana vipi kwa ajili ya familia yako, anytime anaweza kukufanyia tukio la hatari. Kwasasa hawa viumbe tuliozoea kuamini kuwa wana huruma, huruma wamebakiza kwa watoto wao na kwa ndugu zao wa damu tu. Sometimes...
  10. 0ozg Tz

    Kuna watu wachache wanaoweza kufanya ukazichukia sana baadhi ya sekta

    Kuna hizi sekta, kuna watu wake wana matabia ya ajabu:- WALIMU: Hawa sipendi tabia yao ya kulia lia, kujifanya wakati wote hawana hela, wanapenda kutumia hela za wenzao kama ke. Hawa hutegea mpaka mambo ya kifamilia. CUSTOMER CARE: Hawa kuna muda hujivika umiliki wa mahali anapofanyia kazi...
  11. 0ozg Tz

    Kugongewa sio tatizo, tatizo ni haya...

    Nyie wanawake mnaopenda kuchepuka chonde chonde Haya yafuatayo jitahidini kuyaepuka:- 1. Unapgwa huko mpaka unapata ujauzito wa huko, hii sio pia 2. Unapgwa huko mpaka unaleta maradhi nyumbani hii pia sio poa. 3. Usipigwe na ndugu wa mumeo, mwanamke anaeliwa na ndugu wa mumewe ni kama hana...
  12. 0ozg Tz

    Uzi wa kuwapongeza wanaume,kwa kutimiza majukumu yao ipasavyo mwisho wa mwaka,na mengine ya watoto kurudi shule yapo pending

    Natumai wengi wenu mko poa,na wachache wanaoumwa mungu atawapa ahuweni. Bila kupoteza wino kama kichwa cha Uzi kilivyo,ningependa kuainisha mambo ambayo wanaume wa kweli huwa wanayafanya mwisho wa mwaka.Nazani Hii dunia bila wanaume nazani ingekuwa kama mbuga tu. Jamani Kuna wanaume kwa kweli...
  13. 0ozg Tz

    Kwa niaba ya wanaowabeza 'singo mama', naomba tuwa-classify kwa namna hii

    Moja kwa moja kwenye mada bila kupoteza muda. Singo mama wapo katika makundi mbalimbali: 1. Kuna ambao wamebakwa 2. Kuna ambao wamekuwa kutokana na manyanyaso ya kwenye ndoa akaamua kutimuka na wanae 3. Kuna ambao wamekuwa kutokana na tamaa zao 4. Kuna ambao wamekuwa kutokana na kufiwa waume...
  14. 0ozg Tz

    Nimeamini BASATA hufungia miziki ya wasanii kwa kufuata mihemko ya watu

    Kwasasa kuna nyimbo mbili:- 1.Queen Darlin-Muhogo 2.Rosa ree ft.Tammy tdat-Asante baba remix Hizi nyimbo zingesikika kwa watu wanaojifanyaga wako dunia ya zamani na wasiojua mziki,zingekuwa zimeshafungiwa siku nyingi. Ila video ya asante remix nimeielewa sana,sijawahi ona video yenye majonjo...
  15. 0ozg Tz

    Kwa ninayo yaona msumbiji,nimeendelea kuamini Mungu ni mzungu.

    Kimbunga Kenneth kimetokea africa, lakini nchi za Africa ambazo hazijaathirika zipo lakini hatuwezi kufanya uokozi kwa waliokwama huko,wazungu wametoka huko mbali wamekuja kufanya uokozi na kutoa chakula na malazi(upendo wa ajabu kabisa huu). MUNGU NI MZUNGU.
  16. 0ozg Tz

    Waziri wa afya,vijana wako wapya wanakufa njaa kigoma.

    Wameajiriwa toka mwezi wa 10 katika hospitali za wilaya za kigoma,waliomba maombi kabla hawajapata leseni wizara ikawaamini ikawaajiri,tatizo limekuja kwenye mkoa wenyewe wanagoma kuwapatia mshahara eti mpaka wapate leseni zao,hayo wakakubaliana nayo,tena wakawabania kwenye hela ya kujikimu...
  17. 0ozg Tz

    Final ya kesho haina maana,coz Chelsea wana mgomo.

    Sipendagi kuangalia mechi,wakati matokeo nakuwa najua nani anashinda katika mchezo. Wazee Wa kubet kesho weka hata laki kwa man u.
  18. 0ozg Tz

    Sijui hii saikolojia wanawake waliipata wapi

    Ila kuna vitu vipo natural sana, yaani unakuta kitoto cha kike kina miaka 10 lakini unakuta kishajua ni sehemu ipi ya mwili wake ambayo huweza kumpa mihangaiko ya mwili mwanaume atakapoiona. Sasa saikolojia ambayo sijui waliipata wapi iko hapa: Ni pale mwanamke anapotaka kukutana na mpenzi wake...
  19. 0ozg Tz

    Kutoka katika kikao cha mabachelor

    Baada ya kuona kuwa wakina dada wamejiwekea vigezo vya kumkubalia mwanaume Wa kumuoa ni mpaka mwanaume awe na pesa za shopping, kula vizuri,kutengeneza nywele kucha kope na kuwa na gari,nyumba pia na mengine mengi mazuri mazuri yanayohitaji pesa. Sisi kama mabachelor ambao tupo na mpango Wa...
Back
Top Bottom