Sijui hii saikolojia wanawake waliipata wapi

0ozg Tz

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
4,159
11,098
Ila kuna vitu vipo natural sana, yaani unakuta kitoto cha kike kina miaka 10 lakini unakuta kishajua ni sehemu ipi ya mwili wake ambayo huweza kumpa mihangaiko ya mwili mwanaume atakapoiona.

Sasa saikolojia ambayo sijui waliipata wapi iko hapa: Ni pale mwanamke anapotaka kukutana na mpenzi wake japo hata kwa dakika moja hujitahidi kujiweka vizuri kimwonekano na kuvaa nguo ambayo itaamsha hisia kwa bwana wake na hii huwa inasaidia sana yaani hata kama mwanaume alikuwa hana nia ya kuomba ratiba ya kufanya mapenzi hujikuta akiomba.

Sasa patamu ni pale mwanamke anapoenda kufanya mapenzi utakuta anajiweka vizuri na pamba kali zinazomkaa vizuri na manukato mazuri kama ndo ametoka kuoga, yaani hii huwa inasaidia kwa kiasi kikubwa kwani mwanaume anapoona hivyo hamu ya kufanya mapenzi huongezeka maradufu na hata mkiwa kwenye mchezo huweza kuvuta hisia kwa kuvuta picha kichwani kwa jinsi alivomuona wakati anampokea kwa jinsi alivokuwa amevaa.

Nashindwa kuelewa wanawake wanashindwaje kuiteka dunia.
 
Wanaume wengine bhana! Nyie nyie muimbe wowowo halafu mnashangaa baadhi ya watoto wadogo wakike kutambua hicho ndicho wanachopenda?

Nyie nyie muimbe nyimbo za Ku support drug abuse na bado mtashangaa watoto wakijihusisha na bangi.

Wanaume hao hao ndio wanawabaka watoto wakike na wakiume hadi wachanga,hadi watoto wao.

Halafu mwanaume mmoja anakuja na post ya kuwashangaa wanawake.
Kati ya hayo yote mnayoyafanya ukaona wanawake kujiremba na kunukia vizuri Ni tatizo la kisaikolojia?
inasikitisha Sana.
Baadhi ya wanaume mnatia aibu sana kwenye jamii.
 
Wanawake wameshaitekaga dunia huko akina Cleopatra waliopelekea mpaka Roman Empire ku fall, akina Delilah aliemfanya mwamba, kidume ya vidume Samson aanguke chali kama punje ya chumvi.

Usicheze na nguvu ya mwanamke bwana. Kuna vijamaa humu mitandaoni huwa vinajidai haviwezi pelekeshwa ila in reality ukiwakuta ni malofa hatari. Sijataja mtu jamani
 
Back
Top Bottom