Kugongewa sio tatizo, tatizo ni haya...

Kugongewa sio tatizo, tatizo ni haya...

0ozg Tz

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Posts
4,168
Reaction score
11,257
Nyie wanawake mnaopenda kuchepuka chonde chonde Haya yafuatayo jitahidini kuyaepuka:-

1. Unapgwa huko mpaka unapata ujauzito wa huko, hii sio pia

2. Unapgwa huko mpaka unaleta maradhi nyumbani hii pia sio poa.

3. Usipigwe na ndugu wa mumeo, mwanamke anaeliwa na ndugu wa mumewe ni kama hana kichwa hii ni aibu.

4. Jitahidini kufanya siri, sio unaliwa nje mpaka watoto wadogo wanajua kuwa mke wa fulani analiwa na Fulani (tena hii jitahidini kuizingatia sana), maana unajizalilisha wewe, mumeo mpaka kwa watoto wenu.

5. Usitoe mzigo njiani, polini au sehemu yoyote isiyofaa kwa kujamiana.

7. Hata kama jamaa wa nje anakukaza vizuri zaidi ya mumeo, usiache kumuheshimu mumeo, kumbuka hata ndege hufurahia kula papai lililo kwenye mti wake kuliko lile ambalo limeshatolewa kwenye mti.

8. Hakikisha ratiba zako za kugongwa huko nje haziharibu ratiba za nyumbani.

9. Usinywe pombe siku umeenda kuchepuka.

10. Usijimake up sana siku ya kuchepuka, jimake up kawaida, mumeo asishituke.

MCHEPUKO MWEMA
 
Kwa hali ya sasa wanawake wachache sana hawagongwi nje! Na yote haya kwasababu ya Pesa!

Wasiyo na pesa wanahongwa inje.

Na wenye pesa kuliko waume zao wanatumia pesa zao kugongwa na vijana huko inje
 
Kwa hali ya sasa wanawake wachache sana hawagongwi nje! Na yote haya kwasababu ya Pesa!
Wasiyo napesa wanahongwa inje,
Na wenye pesa kuliko waume zao wanatumia pesa zao kugongwa na vijana huko inje
Ni kwel mkuu,imekuwa kama jambo la kawaida,Kuna wanawake na usiriaz wao na vyeo huwez tegemea wanachepuka,Kumbe wanaliwa vizur tu
 
Back
Top Bottom