Nimeamini BASATA hufungia miziki ya wasanii kwa kufuata mihemko ya watu

0ozg Tz

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
4,159
11,100
Kwasasa kuna nyimbo mbili:-
1.Queen Darlin-Muhogo
2.Rosa ree ft.Tammy tdat-Asante baba remix

Hizi nyimbo zingesikika kwa watu wanaojifanyaga wako dunia ya zamani na wasiojua mziki,zingekuwa zimeshafungiwa siku nyingi.

Ila video ya asante remix nimeielewa sana,sijawahi ona video yenye majonjo kama hyo hata kule duniani haijawahi fanyika.
 
Basata ipo, ikiufukuza upepo. Inatoa tafsiri kwa mihemko bila uhalisia. Bado mila na desturi za makabila zaidi ya 120 nchini hazijaungana. Neno hata la kiswahili kwa makabila fulani ni matusi. Mbona hawajaenda bungeni kutunga sheria jina la kabila kubwa hapa nchini libadirishwe kwa kuwa linataja kiungo cha siri cha mwanamke? Waende na wakati.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom