Kwa ninayo yaona msumbiji,nimeendelea kuamini Mungu ni mzungu.

0ozg Tz

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
4,159
11,098
Kimbunga Kenneth kimetokea africa, lakini nchi za Africa ambazo hazijaathirika zipo lakini hatuwezi kufanya uokozi kwa waliokwama huko,wazungu wametoka huko mbali wamekuja kufanya uokozi na kutoa chakula na malazi(upendo wa ajabu kabisa huu).
MUNGU NI MZUNGU.
 
Huoni hapo umemkufuru Mungu aliyeshikiria uhai wako?
Haya tubu hadharani, kama ulivyotenda dhambi hii mbaya hadharani.
 
Sema mungu wako ndiyo mzungu mimi mungu wangu hana rangi.
 
Huruma isizidi uwezo.... unajikuna panapo kuwasha..... kila mbuzi hushiba kwa urefu wa kamba yake....etc etc.

Hata hivyo ni juzi tu Tz ilipeleka misaada za kibinadamu katika ukanda huo.
Sasa katika lawama zako hizo ungetuondoa kwenye kundi.
 
TRUE MUNGU AFANANISHE NA BINADAMU
Mzungu hawezi kuwa Mungu,sema tu jamaa wamestaarabika sana.
kamam Mungu ni Mzungu maana yake Mungu ni mbaguzi?
Mungu akasema "na tumuumbe mtu kwa mfano wetu" . Hii mnaielewaje ?! Tunawalaumu wazungu kwa makosa yetu wenyewe . Vitu tunavyovifanya miaka 60 baada kujitawala tunawaza tu 1. Kuuana
2. Kunyimana
3. Kukomoana kwa misingi ya itikadi , Imani, ukabila, ukanda na nk. Na hayo si Mozambique tu hata hapa nyumbani . Kama uongozi unawaza kupereka maendeleo na misaada sehemu mpaka kiongozi wa sehemu husika lazima atokane na ccm na si vinginevyo !!! Watu kama hao watatenda haki kwa watu wasio wa kwao.

Ni vizuri sana tuendelee kuiga mambo mengi toka kwa wazungu si dhambi kwani hata hizi dini wametuletea wao.
 
Huoni hapo umemkufuru Mungu aliyeshikiria uhai wako?
Haya tubu hadharani, kama ulivyotenda dhambi hii mbaya hadharani.
Hapana yupo sahihi
Kwani katika majina 99 ya Mola mlezi Mungu halipo.
Kwahiyo huenda kweli ni mzungu
Lakin MOLA WETU MLEZI kamwe hafanani na chochote na hana mfano
 
Hapana yupo sahihi
Kwani katika majina 99 ya Mola mlezi Mungu halipo.
Kwahiyo huenda kweli ni mzungu
Lakin MOLA WETU MLEZI kamwe hafanani na chochote na hana mfano
Sasa umeandika nini, kwani Mungu si kiswahili au?
majina 99 ni ya kiarabu lakini sisi waswahili tunajina letu tunamuita Mwenyezi Mungu ikiwa na maana hiyo hiyo ya Mola.

NOTE; Katika hayo majina 99 jina la MOLA MLEZI pia HALIPO.
 
Ila Tz tumezidi uchawi. Yan tumekisimamishia kimbunga msumbiji. Hii kamati na hakika hata makonda alikuwemo.
 
Back
Top Bottom