Search results

  1. MKONGORO

    Naomba Connection katika kazi za ujenzi

    Wakuu habari Majukumu! Wakuu Mimi ni fundi Ngungwa (Kibarua), Nimefanya kazi Mradi wa Mwalimu Nyerere Rufiji lakini toka nimalize mkataba wangu kule mwezi wa 9 mwaka jana sijapata kazi yoyote ya kunipatia liziki. Kuna mradi huwa nafuatilia hii sasa ni wiki ya pili bila mafanikio...
  2. MKONGORO

    Hivi humu kuna mtu hamine PI?

    Hivi kuna mtu humu hafanyi mining ya PI ? Tafadhali chukua link hiyo mapema Mambo ya kutekana tekana baadae mgodi ukishatema sisi hatutaki wakati link ya bure ulipewa Pi Network - Home Page and use my username (Gershoms) as your invitation code. Baada ya kuingia sokoni hutakua na...
  3. MKONGORO

    Msaada natafuta motherboard ya Tv Panasonic

    Wakuu habarini za majukumu! Natafuta mother board ya hii Tv panasonic tafadhali naombeni msaada kwa mwenye kujua wapi naweza ipata 0683965391
  4. MKONGORO

    Msaada wa internet setting simu ni sumsung galaxy S10

    Wakuu naombeni wataalamu mnisaidie internet setting simu yangu ni Sumsung Galaxy S10 laini ni ya tigo yaani haipandishi data network ,Asanteni
  5. MKONGORO

    Deal no1 Yaliza watu

    Taarifa kwa wanachama wote wa zamani wa jukwaa la Dealno1. Ndugu zetu Watz wameunda group kujaribu kuangalia kama inawezekana kurudisha pesa zetu zilizoko Dealno1. Pia walipendekeza tovuti nyingine mpya ambayo bado inajaribiwa, ambayo inaaminika iliundwa na waanzilishi wa zamani wa Dealno1...
  6. MKONGORO

    Kumbukizi; Shukrani kwa JF members wote

    Wakuu ni takribani miaka 8 sasa imepita toka 2015 nilipo kimbilia kwenu ninyi ndugu zangu members wa JF kuomba msaada. Nikikumbuka mliponitoa wakati mwingine huwa machozi yananitoka, Wakati huo nilikuwa nimepoteza mzazi wangu kwa ugonjwa wa figo, Sina kazi, Kodi ya nyumba imeisha, mwenye...
  7. MKONGORO

    Wahenga msaada wa nyimbo hizi tafadhali

    Wahenga wenzangu bila shaka kwa uwezo wa Mungu hamjambo kabisa! Wakuu naombeni msaaada kuna nyimbo nimetafuta kwa kuseach kila kona bila mafanikio kiukweli sijui ni bandi gani ziliimba hizo song ila nakumbuka baadhi ya maneno katika nyimbo hizo 1. Mama mdogo alinichukua kijijini...
  8. MKONGORO

    Wahenga msaada wa nyimbo hizi tafadhali

    Wahenga wenzangu bila shaka kwa uwezo wa Mungu hamjambo kabisa! Wakuu naombeni msaaada kuna nyimbo nimetafuta kwa kuseach kila kona bila mafanikio kiukweli sijui ni bandi gani ziliimba hizo song ila nakumbuka baadhi ya maneno katika nyimbo hizo 1. Mama mdogo alinichukua kijijini...
  9. MKONGORO

    Niuzie Azam decoder used

    Wakuu habarini za majukumu! Ninaomba yeyote anaeuza decoder ya Azam aniuzie whats app 0683965391 Asanteni
  10. MKONGORO

    TANESCO tukumbukeni hata sisi wanyonge?

    Tanesco tukumbukeni na sisi wanyonge. Mimi nimelipia Hiyo elfu 27,000 Tangu mwezi wa 6 lakini mpaka leo bado kimya , Juzi ilishushwa nguzo hapa jirani nikajua ya kwangu leo imebebwa amekewa jirani. Inauma Jina - Evalyne Jonathan Kizwili Wilaya -Kinondoni Kata- Kunduchi Eneo - Mecco mji mpya...
  11. MKONGORO

    Msaada Whatsapp yangu inajituma link kwenye Magroup

    Wakuu habarini za majukumu, Juzi nimebadilisha simu nika install WhatsApp upya Basi kila nikiifungua inajituma /kujipost link kwenye magroup yangu yote ya whatsap niliyo jiunga nayo. Hata nikiifungua kuchat na mtu link hiyo hujituma kwanza hali hii imenifanya nionekane kama tapeli...
  12. MKONGORO

    Nautafuta wimbo huu

    Wakuu wale wapenzi wa nyimbo za kale naomba kama kuna mtu anaweza kuwa na nyimbo ya Mzee Makasi -Anifa tafadhali anisaidie nyimbo ina nikumbusha mbali Sana laakini namna ya kupata nimeshindwa what's app 0765544791 Asante
  13. MKONGORO

    Wakuu Masada Huyu dogo ana kipaji cha utangazaji

    Wakuu bila Shaka hamjambo humu! Huyu dogo nimekutana nae mtaani ila kwa haraka nimegundua Huyu kipaji cha utangazaji anacho ila anahitaji mtu wa Kimsaidia ili afikie ndoto yake kwani hajui hata pakuanzia naamini hapa Atapata wa kumshika mkono! Hizi hapa ni audio nilizo mrecord namba Zane...
  14. MKONGORO

    Msaada Nyimbo za kwaya HURU waimbaji wa sifa

    Wakuu habari za mida hii! Wakuu naombeni Msaada kwa mwenye nyimbo za kwaya ya Huru waimbaji wa sifa, Anisaidie kunitumia WhatsApp nimejaribu kutafuta Google,Youtube na kwenye vibanda wanakoingiza nyimbo kwenye simu, Lakini sikufanikiwa Ingawa ni kwaya ya zamani lakini naamini humu JF ni...
  15. MKONGORO

    Msaada wa jinsi ya angalau kupunguza ukubwa wa makovu ya kuungua

    Wakuu mwanangu alipata ajali ya kuungua moto Kwa asilimia 75. Mungu mkubwa madakitari Wa hospitali ya jeshi Lugalopamoja na wale wa hospitali ya Taifa MUHIMBILI (heshema na shukrani zangu ziwafikie). Walipambana hatimae mwanangu amepona na tayari ameanza tena kwenda shule baada ya miezi...
  16. MKONGORO

    Naombeni msaada Wa kisheria mwajiri ananionea

    Wakuu habarini za majukumu, Naombeni msaada Wa kisheria ili mwajiri huyu anilipe mshahara wangu alio uzuia ili familia yangu iweze kuishi. Wakuu mwajiri huyu amevizia Mpaka siku 2 kabla ya Siku ya kunilipa mshahara wangu wa mwezi akaamua anisingizie kesi ya wizi lengo anidhulumu mshahara...
  17. MKONGORO

    Msaada wa special namba

    Wakuu habarini za kazi naombeni msaada nataka special namba ya laini ya tigo isomeke 0655544791 ili ifanane na laini yangu ya voda nimejaribu kuiangalia namba hiyo kwa kutest kuitumia pesa bado haina mtu. Nimejaribu Kwa watu wanao sajiri jibu nalopewa no kuwa Siku hizi hakuna huduma ya...
  18. MKONGORO

    Naombeni Masada wa kitabibu

    Wakuu habari za majukumu, Wakuu Naombeni Masaada mwanangu anasumbuliwa na mafua kwa muda mrefu ,ana umri wa miezi 3 nimejaribu Dawa nazo elekezwa lakini Bado ,Watu wanasema labda alikunywa maji machafu wakati wa kuzaliwa dawa nilizotumia ni Isoryn, ambrox na zenilyn lakini bado hayaponi .Wakuu...
  19. MKONGORO

    wakuu habari za wikend

    Wakuu naomba msaada toka kwenu wataalamu ili nipate maujanja ya kushinda bahati nasibu hii mfano namba za ushindi kwa draw ya kwanza zimetokea 36 32 38 30 69. Draw ya Pili namba za ushindi zimetokea 50 4 69 22 Je naweza kutumia hesabu au software gani? Kujua namba za ushindi zitakazotokea...
  20. MKONGORO

    Naomba Kujuzwa

    Wakuu Habarini Za Majukumu! Naombeni Mnijuze Kuhusu Sare Za Majeshi Ya Ulinzi Wa Mipaka Ya Nchi (Defence Forces) Kwanini Sare Za Nchi Zote Zina fanana (Mabaka-baka) Au Ni Moja Ya Sheria Za Umoja Wa Mataifa? Wakuu Naombeni Elimu Hiyo. Asante.
Back
Top Bottom