MKONGORO
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 325
- 263
Wakuu habari za majukumu, Wakuu Naombeni Masaada mwanangu anasumbuliwa na mafua kwa muda mrefu ,ana umri wa miezi 3 nimejaribu Dawa nazo elekezwa lakini Bado ,Watu wanasema labda alikunywa maji machafu wakati wa kuzaliwa dawa nilizotumia ni Isoryn, ambrox na zenilyn lakini bado hayaponi .Wakuu Naombeni Msaada mwanangu hapati Kabisa usingizi usiku Asanteni