Msaada natafuta motherboard ya Tv Panasonic

MKONGORO

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
325
263
Wakuu habarini za majukumu! Natafuta mother board ya hii Tv panasonic tafadhali naombeni msaada kwa mwenye kujua wapi naweza ipata 0683965391
 

Attachments

  • IMG-20230212-WA0292.jpg
    IMG-20230212-WA0292.jpg
    130.7 KB · Views: 2
Mkuu ulifanya vibaya kutupa ungeleta hapa hapa ni mwisho wa matatizo yote soon mimi nitaipata tu ngoja waje wataalamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom