Msaada Whatsapp yangu inajituma link kwenye Magroup

MKONGORO

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
325
263
Wakuu habarini za majukumu,

Juzi nimebadilisha simu nika install WhatsApp upya Basi kila nikiifungua inajituma /kujipost link kwenye magroup yangu yote ya whatsap niliyo jiunga nayo.

Hata nikiifungua kuchat na mtu link hiyo hujituma kwanza hali hii imenifanya nionekane kama tapeli kwenye magroup kwani hiyo link ni ya kutangaza biashara ya online nimefuta nikadownload nyingine lakini tatizo liko palepale.

Wakuu naomba msaada huu ya tatizo hilo Asanteni
 
Sio GBwhatsApp iyo kweli? Na nduguze wale kina FMwhatsApp,,Yotsup e.t.c enewei uninstall then install upya uone hali inakuaje
 
Wakuu habarini za majukumu, juzi nimebadilisha simu nika install WhatsApp upya Basi kila nikiifungua inajituma /kujipost link kwenye magroup yangu yote ya whatsap niliyo jiunga nayo. Hata nikiifungua kuchat na mtu link hiyo hujituma kwanza hali hii imenifanya nionekane kama tapeli kwenye magroup kwani hiyo link ni ya kutangaza biashara ya online nimefuta nikadownload nyingine lakini tatizo liko palepale. Wakuu naomba msaada huu ya tatizo hilo Asanteni
Mkuu pole Sana, wewe tulikushauri kuwa uifomat au ufanye restoration hiyo simu ,ifute kila kitu dheni uanze kuingiza /kudownload mafile upya,
 
Wakuu habarini za majukumu, juzi nimebadilisha simu nika install WhatsApp upya Basi kila nikiifungua inajituma /kujipost link kwenye magroup yangu yote ya whatsap niliyo jiunga nayo. Hata nikiifungua kuchat na mtu link hiyo hujituma kwanza hali hii imenifanya nionekane kama tapeli kwenye magroup kwani hiyo link ni ya kutangaza biashara ya online nimefuta nikadownload nyingine lakini tatizo liko palepale. Wakuu naomba msaada huu ya tatizo hilo Asanteni
Kama what's app ni official Kuna uwezekano hata ikawa sio what's app Bali app nyengine ina malware ambao wanatuma hizo links.

Solution ya haraka haraka backup mafile yako yote kama picha na video, database ya what's app, etc. Kisha format simu download apps upya na rudisha data zako.

Solution nyengine ya kuhangaika nenda setting Kisha apps kagua apps zako ipo ambayo hujaidownload na unahisi ni malware? Itoe
 
Kma unatumia WhatsApp business katoe auto-response / auto-reply kwenye settings. Kma sio Whatsapp Business basi labda kuna jambo lingine
 
Wakuu habarini za majukumu,

Juzi nimebadilisha simu nika install WhatsApp upya Basi kila nikiifungua inajituma /kujipost link kwenye magroup yangu yote ya whatsap niliyo jiunga nayo.

Hata nikiifungua kuchat na mtu link hiyo hujituma kwanza hali hii imenifanya nionekane kama tapeli kwenye magroup kwani hiyo link ni ya kutangaza biashara ya online nimefuta nikadownload nyingine lakini tatizo liko palepale.

Wakuu naomba msaada huu ya tatizo hilo Asanteni
Wakuu nawashukuru wote kwa mawazo yenu chanya nime uninstall apps zote nika ingiza moja baada ya nyingine nimekuja kubaini kuna app moja ndio ilikuwa na matatizo hayo nawashukuruni wrote. Asanten
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom