Msaada wa special namba

MKONGORO

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
282
250
Wakuu habarini za kazi naombeni msaada nataka special namba ya laini ya tigo isomeke 0655544791 ili ifanane na laini yangu ya voda nimejaribu kuiangalia namba hiyo kwa kutest kuitumia pesa bado haina mtu.

Nimejaribu Kwa watu wanao sajiri jibu nalopewa no kuwa Siku hizi hakuna huduma ya special namba. Wakuu kama kuna mtu anaweza nitengenezea special namba hiyo anicheki PM ofa ni elfu 10 asante
 

Shunie

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
129,465
2,000
Hivi mkuu kwa nini usiende kwenye mtandao unaoutaka ili wakusaidie
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom