MKONGORO
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 345
- 307
Wakuu naomba msaada toka kwenu wataalamu ili nipate maujanja ya kushinda bahati nasibu hii mfano namba za ushindi kwa draw ya kwanza zimetokea 36 32 38 30 69. Draw ya Pili namba za ushindi zimetokea 50 4 69 22 Je naweza kutumia hesabu au software gani? Kujua namba za ushindi zitakazotokea katika draw inayofuata? Natanguliza shukrani kwenu