Naomba Connection katika kazi za ujenzi

MKONGORO

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
325
263
Wakuu habari Majukumu!

Wakuu Mimi ni fundi Ngungwa (Kibarua),

Nimefanya kazi Mradi wa Mwalimu Nyerere Rufiji lakini toka nimalize mkataba wangu kule mwezi wa 9 mwaka jana sijapata kazi yoyote ya kunipatia liziki.

Kuna mradi huwa nafuatilia hii sasa ni wiki ya pili bila mafanikio ingawa watu wanaingia ukiuliza jinsii wanavyo penya huambiwi ni hapa bondeni karibu na lugalo jeshini kuna project inaandaliwa ya ujenzi naomba mwenye connection na pale au pengineb anisaidie.

Natanguliza shukrani 0714372970
 
Kam ulifany kazi Rufiji Hydropower na hujapat kazi basi wew Una shida labda. Kw sabb Wenzako Weng naon wanapew kazi za BRT 2 na BRT 3 Hadi BRT 4 ya tegeta. Na kingn Sinohyndro anakazi chungu mzima nchi hii kikukw uwe na Chet chake Kam uliwai kufany nae kaz. Kuna mradi pale ubungo nazan Nd hao hao pia. CRCC sjui China Civil na hao Cinohydro.
 
Mkuu nashukuru sana kwa mchango wako
Mimi kule rufiji nilikuwa na mwarabu sio mchina wa sino hivyo certificate niliyo nayo ni ya Arab contractors & elseweedy ingawa hapo ubungo interchange nilifanya na kampuni ile ya kichina CCECC na certificate yao ninayo Tatizo la hapo ulipo taja mpaka umpate mtu wa kuku connect vinginevyo utakuwa unaenda kushinda pale na kurudi bila mafanikio huku wenzio wanaitwa majina wanaingia nimesotea pale ubungo ni wiki ya 2 sasa lakini ola
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom