Msaada Nyimbo za kwaya HURU waimbaji wa sifa

MKONGORO

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
325
263
Wakuu habari za mida hii!
Wakuu naombeni Msaada kwa mwenye nyimbo za kwaya ya Huru waimbaji wa sifa, Anisaidie kunitumia WhatsApp nimejaribu kutafuta Google,Youtube na kwenye vibanda wanakoingiza nyimbo kwenye simu, Lakini sikufanikiwa Ingawa ni kwaya ya zamani lakini naamini humu JF ni zaidi ya Library , Albam ina nyimbo hizi:-
. Twende juu sayuni
.Sifa zote kwa kondoo
.Damu ya Yesu
.Hakuna Mungu kama wewe
.Sisi ni washindaji
.Ushindi
.Napenda kufanana nawe
.Yesu ulishinda
.Jina la yesu
.Roho mtakatifu
Wakuu nakumbuka nikiwa mdogo nyimbo hizi mzee wangu R.I.P.alikuwa anapenda kuziplay kwenye Radio cassette yake Tulienjoy sana.
Wakuu Natanguliza shukrani
0683965391
 
Wakuu kwa wale tuliokuwa tunazisaka hizi nyimbo Nimefanikiwa kuzipata nyimbo sita tu katika nyimbo 10. Hivyo karibuni Whats app tubururudike na hizi hizi huku juhudi za kutafuta zingine zikiendelea Kidogo chetu ,Asanten
 
Tafadhali naomba unitumie WhatsApp 0743744471
 
Nilifanikiwa kuzipata hizi nyimbo za hao waimbaji.

Watch "HURU - Waimbaji wa sifa" on YouTube
👇🏼👇🏼👇🏼
 
Back
Top Bottom