Search results

  1. Akili Unazo!

    Room Moja Jiko na store

    Wakubwa katika bwana nahitaji good desing and very good economy ambaye anaweza kunipa hiyo mambo kama jaribio akiweza kuitimiza within budget nampa kazi nyingine ila awe mkweli kwangu uongo sijui siasa sijui ukanjanja aisee sitaki. nahitaji a good fundi ambaye anaweza jenga a good house ya one...
  2. Akili Unazo!

    Mwanamke- Mke ni kitu Gani kikubwa ana kitoa kwa Mume wake zaidi ya Ngono

    Mwenye namba ya huyu Pastor wa Kike anisaidie na kama unajua hata kwao niambieni huenda wadogo wake wakawa wanawake bora kwenye ndoa "Nataka mwanaume mwenye magari. Nataka mwanaume mwenye viwanja. Shogangu, wewe una nini?"Tanzanian preacher Rose Shaboka challenges women during a sermon...
  3. Akili Unazo!

    Hivi kwanini mwanamke akitaka kuolewa anatolewa mahari?

    Hongera kwa kuvumilia maumivu ya tozo, pia msisahau kulipa ada kwa wale mliozaa kwenye ndoa au nje ya ndoa. Kwa nini mwanamke akitaka kuolewa kuna huu upuuzi sijui; Kupeleka barua ya posa Sijui kutoa mahari Sijui Kumvalisha pete ya uchumba Hivi ndoa haiwezi kufanyika bila huu mlolongo wa...
  4. Akili Unazo!

    Mafunzo ya uendeshaji wa mitambo -heavy equipment machine (dozer, grader, folk lift, crane)

    Short Courses Long course Welding and Fabrication level I and II Auto Electric level I and II Motor Vehicle Mechanics level I and II Truck Mechanics Plant Mechanics Short courses Operation of Motor Grader Operation of Hydraulic Excavator Operation of Roller Operation of...
  5. Akili Unazo!

    Hivi kuna mtu wa Nchi mbali anafuatilia na kuanzisha Mada JF ya nayoendelea Afrika Mashariki?

    Hivi kuna mtu wa Nchi hii anafuatilia na kuanzisha Mada JF ya nayoendelea Afrika Mashariki yanayohisiana na vita au heka heka ya kuagiza Yesu Africa? Au nikiumbelel na kumuhemuhe au ubwege wa kuwazu yanayotuhusu mfano rushwa, mahari kwa watoto wetu na kabira zetu na mila zetu, tozo za vocha...
  6. Akili Unazo!

    Haya Maswali hayatakuwa duplicate of Numbers Kwenye hii Sensa

    D. MASWALI YA 64 HADI 68 NI KWA WANAWAKE WENYE MIAKA 10 AU ZAIDI 64. Je, ulishawahi kuzaa watoto hai katika maisha yako/yake? -------------------- 65. Je, umezaa watoto hai wangapi wa kiume na wangapi wa kike wanaoishi na wewe/yeye katika kaya hii?---- Hili halina shida. 66. Je, umezaa watoto...
  7. Akili Unazo!

    Tulivyoachana aliniambia mtoto siyo wa kwangu, ameachwa tena anataka nimrudie

    TULIVYOACHANA ALINIAMBIA MTOTO SIYO WA KWANGU, AMEACHWA TENA ANATAKA NIMRUDIE. Dunia hii hawa Wanawake wamekuwa Vichaaa siyo Bure.... kaka nimekwama najitaji ushauli naomba nisaidie. "Nilikuwa na mpenzi wangu nilikuwa naishi nae ingawa tulikuwa bado hatujaoana ila tulikuwa tunaishi pamoja kama...
  8. Akili Unazo!

    Ni sahihi kusema natafuta, Boyfriend, Mume au Mwanaume au Mwanamke?

    Kumekuwa na maombi mengi humu lakini ukiangalia muombaji unaona kabisa Kuna mzaha mwingi na walio wengi hawatoi ushirikiano hata wakifuatwa pm. Hivi mtu anasema anatafuta mke......stage za mdada WA kike kufika cheo Cha mke kikoje? Mtu anatafuta Mume. Unajua Mume ni baba mwenye watoto tayàri...
  9. Akili Unazo!

    Naomba mbinu au dawa ya kuua mijusi

    Wakuu mwenye mbinu au dawa ya kuuwa hii mijusi hii ya rangi rangi inasumbua Sana juu ya paa au hata ndani utakuta Hilo limeingia au Mpaka Maji ya Mwamposa. Nisaidieni.
  10. Akili Unazo!

    Fao la kujitoa NSSF; Rais Samia sikiliza kilio cha Watoto Wako

    Katika maadhimisho ya Mei Mosi katika maombi yaliyowasilishwa kwa Rais Wetu Rais wa Tucta hakuzungumza lolote juu ya FAO la kujitoa NSSF baadala yake alijikita kuzungumza matakwa ya wafanyakazi wanaofanya kazi katika taasisi za Imma tu. Nilijiuliza maswali mengi sana na mojawapo lilikuwa hivi...
  11. Akili Unazo!

    Kazi uuzaji wa Duka la Dawa Kilosa

    Hello marafiki, Nahitaji mtu aliye soma pharmacy kwa level ya certificates na diploma. Atume CV yake kwenye WhatsApp number 0759883335 Kituo cha kazi ni Kilosa Morogoro kwenye Polyclinic nzuri sana. Maswala ya salary yatajadiliwa pale atakapokuwa amebahatika kupata kazi na kabla ya ku-sign...
  12. Akili Unazo!

    Uagizaji wa Vifaa Tiba Toka Bangladesh

    Hi Wakuu! Nimepata one of the business partner ambaye yupo Canada ameniomba nimsaidie kutafuta utaratibu unaohitajika kufuata katika uagizaji wa Vifaa tiba Toka Bangladesh. Mtaji siyo tatizo Utaratibu ndiyo ninaouhitaji najua tunaingia kwenye Vita na Wahindi Lakini hakuna namna as i believe...
  13. Akili Unazo!

    Serious Business Partner urgently needed

    Hi Team am looking for a serious Business Partner who is ready partner in business that am thinking to start with immediate effect. The partner must be able and have patience in doing business and should be either residing Dodoma, Morogoro or Singida. I will love if the business partner would...
  14. Akili Unazo!

    Ndoto ya Mauti kwa Mwanao

    Wakuu nini maana ya ndoto Inayohusu wanga wakitaka kumdhuru Mwanao ..imenitokea Mimi tena nimeota mara mbili.... ya kwanza ilikuwa saa kumi na dk 40 ambapo nilitewa chumbani na mwenzie anayelala naye kuwa baba fulani kuna jitu linamkandamiza kifua na linataka kumuaa. Basi walipohamia kwangu...
  15. Akili Unazo!

    Naomba kujuzwa dawa ya Gauti

    Wakuu hivi majuzi nikienda kufanya checkup baada ya kusikia maumivu kwenye goti walipopima nikaambiwa uric acid imezidi nikatumia dawa walizonipa basi baada kama wiki pakatulia sasa nikapiga vyombo aisee baada ya siku mbili maumivu ya me rudi kwa kasi ya hatare. Najua humu kuna waganga wa kila...
  16. Akili Unazo!

    Pete wanazovaa hawa Dada zetu na Wanawake

    Jamani Hivi kweli uvaaji wa Pete kwenye vidole vya mkononi na miguuni hivi wanajua maana zake au wanaiiga tuu. Ukiangalia waimba nyimbo za injili , ukiangalia hawa wadada wa mjini, ukiangalia wasomi ni shida.....Hivi ni kweli wanajua maana zake. Tusaidiane tafsri zake Sent using Jamii Forums...
  17. Akili Unazo!

    Msaada: Jinsi ya kuua Mapaka Pori

    Wakuu Mimi ni miongoni ambao siwapendi paka kidogo, kwa kuwa siamini hawa Mapaka ni wema kabisa hasa hii mipaka Pori ambayo kazi yake ni kuzurura tu huwa muda mwingine nayaona kama mashirikina tu Naomba mwenye u juzi wa kuua haya Mapaka. Sibarikiwi kuyaona paka ambaye sijawahi kumfuga Ndugu @...
  18. Akili Unazo!

    Kwanini Mahabusu kuna Wabobezi wa Sheria?

    Kwa wale waliobahatika kuingia Mahabusu watakubaliana na Mimi kuwa kila Mahabusu kuna wafungwa ambao muda wote hawataki kutoka Mahabusu na muda wote wapo kwa ajili ya kuwapa na kusikiliza mshitakiwa ameletwa magereza kwa kosa Gani? Na pale anaposema ukweli wake na kama kweli hahusiki removal...
  19. Akili Unazo!

    Ukitaka kuoa au kuolewa hakikisha unamshirikisha baba au mama yako

    Ushauri, Ukitaka kuoa au kuolewa kamwe usimdharau mama au Baba yako. Hata Babu yako amedumu na bibi yako kwa kuwa alichaguliwa Mke au Mume na Wazazi wake.. Ni Ushauri tu.
  20. Akili Unazo!

    Kwanini Wadada Mnajisendoff Majumbani kwenu hata bila sherehe?

    Hivi Kwa nini siku hizi Wadada wetu wanapenda kujisendoff kutoka Kwa familia yao hata kabla ya Muda kufika? Je ni kutokana na Utandawazi? au Mihemuko ya Mungiliano wa Uhuru Jinga? Mifano Michache kwa nini wewe binti unasoma certificate lakini unaamua kuhama nyumbani kwa wazazi wako unaamua...
Back
Top Bottom