Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,893
Hivi Kwa nini siku hizi Wadada wetu wanapenda kujisendoff kutoka Kwa familia yao hata kabla ya Muda kufika? Je ni kutokana na Utandawazi? au Mihemuko ya Mungiliano wa Uhuru Jinga?
Mifano Michache kwa nini wewe binti unasoma certificate lakini unaamua kuhama nyumbani kwa wazazi wako unaamua kwenda kupanga? Unajua Madhara ya Maamuzi yako kwenye mahusiano yako ya Kindoa? Hivi Mnajua kuwa vyanzo vya wingi wa Single Mother kinatokana na Wadada wengi kujisendoff bila kufikia hali ha;isi ya Kuagwa?
Tujadili hili kwa mapana yake.....