Msaada: Jinsi ya kuua Mapaka Pori

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,893
Wakuu Mimi ni miongoni ambao siwapendi paka kidogo, kwa kuwa siamini hawa Mapaka ni wema kabisa hasa hii mipaka Pori ambayo kazi yake ni kuzurura tu huwa muda mwingine nayaona kama mashirikina tu

Naomba mwenye u juzi wa kuua haya Mapaka. Sibarikiwi kuyaona paka ambaye sijawahi kumfuga

Ndugu @ Mshana ebu nisaidie

Nawachukia Mapaka Pori.msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nishawahi kuuwaga zamani, niliuaga kwa kupiga. Ila hivi karibuni niliua mmoja kwa sumu ya panya.

Mkate samaki kwa ndani kabisa weka sumu, ukiweka kwa juu huenda asile maana ile sumu ina ukali.

Sumu ni buku, ina unga mweusi hivi, ile sumu ni kiboko, ukiwa unaiweka ktk mtego tafaaadhali saaana tumia groves, ni 1,000 tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samaki mbichi au mkavu

Paka pori wanapatikana porini, sidhani Kama unamaanisha hao, itakua unamaanisha Hawa wa mjini wasio na makazi.
 
Mkuu,usiwauwe.jaribu kutafuta solution nyingine lkn sio kuua...😁 inshort napenda sana paka ndo maana nikareply hivyo...
na kusisitizia mkuu tafuta njia nyingine ya kuwafukuza hao paka lkn sio kuua.
 
Hebu acheni roho mbaya za kishetani kwa huyu kiumbe.

images.jpeg-9.jpg
 
Nishawahi kuuwaga zamani, niliuaga kwa kupiga. Ila hivi karibuni niliua mmoja kwa sumu ya panya.

Mkate samaki kwa ndani kabisa weka sumu, ukiweka kwa juu huenda asile maana ile sumu ina ukali.

Sumu ni buku, ina unga mweusi hivi, ile sumu ni kiboko, ukiwa unaiweka ktk mtego tafaaadhali saaana tumia groves, ni 1,000 tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Alafu unategemea Mungu asamehe dhambi zako kwenye mfungo? Mungu ana kazi kubwa sana aisee dah!
 
Wakuu Mimi ni miongoni ambao siwapendi paka kidogo, kwa kuwa siamini hawa Mapaka ni wema kabisa hasa hii mipaka Pori ambayo kazi yake ni kuzurura tu huwa muda mwingine nayaona kama mashirikina tu

Naomba mwenye u juzi wa kuua haya Mapaka. Sibarikiwi kuyaona paka ambaye sijawahi kumfuga

Ndugu @ Mshana ebu nisaidie

Nawachukia Mapaka Pori.msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
Yapige miti nchi 40 yataisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom