Kwanini Mahabusu kuna Wabobezi wa Sheria?

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,893
Kwa wale waliobahatika kuingia Mahabusu watakubaliana na Mimi kuwa kila Mahabusu kuna wafungwa ambao muda wote hawataki kutoka Mahabusu na muda wote wapo kwa ajili ya kuwapa na kusikiliza mshitakiwa ameletwa magereza kwa kosa Gani?

Na pale anaposema ukweli wake na kama kweli hahusiki removal order haichelewi.

Kwa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo asiyetaka kutoka mahabusu ni nani na kwanini wamkubalie asitoke?? kwani kwao pale mpaka akae tu bila kuwa na kosa lililomfanya awe pale.
 
Anyway ukiwa jela au mahabusu na miamba ukawaambia kesi yako ilivo...kutokana na wao kukumbana either na kesi nyingi au kukutana na watu waliopitia kesi Kama yako na wakafanikiwa kutoka anakupa mbinu.

Za kuitoka kesi husika.....vilevile Mahanadi wanaokaa mahabusu ya jela hawa wanakuaga na nondo kuhusu Sheria kwa sababu ya kupata shule kutoka kwa wafungwa na mwanasheria wa jela...hii Ni kutokana na personal experience
 
Itategemea na mahabusu mko na kina nani mfano kuna mawakili kama dr tenga,advocate LYANA etc waliwekwa mahabusu hivyo akiwa huko huwa ni msaada mkubwa kutoa ushauri kuwaandikia kitu wanasheria wanaita submision
 
Back
Top Bottom