Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,937
Wakuu hivi majuzi nikienda kufanya checkup baada ya kusikia maumivu kwenye goti walipopima nikaambiwa uric acid imezidi nikatumia dawa walizonipa basi baada kama wiki pakatulia sasa nikapiga vyombo aisee baada ya siku mbili maumivu ya me rudi kwa kasi ya hatare.
Najua humu kuna waganga wa kila namna msaada bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua humu kuna waganga wa kila namna msaada bure.
Sent using Jamii Forums mobile app