MAANDAMANO, urudishwaji wa kadi na vurugu zimeendelea kutawala maeneo mbalimbali nchini kutokana na wanachama kupata taarifa kutoka ndani ya vikao vya kamati za siasa za mikoa za CCM zinazoonyesha...
UONGOZI wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania(Tucta) umeamua kuingilia uhuru wa wafanyakazi kwa kupanga kuwashawishi kumchagua mtu unayemtaka awe Rais wa Tanzania.
Kaimu Katibu Mkuu wa...
nimesikia habari kuwa dr slaa leo anachukua fomu za urais toka NEC!!
nimefuatilia nimeona kama ifuatavyo....
7.7.10 Kazi za Mkutano Mkuu wa Taifa ni:-
(a) .............
(b) ........
(c) Kuteua...
Nimekuwa nikifuatilia historia za nchi mbali mbali kuhusu njia mbali mbali walizotumia na ambazo wanaendelea kutumia ili kupambana na rushwa. Mojawapo ya nchi hizo ni uholanzi. Wanasema hata wao...
Kuna tetesi kuwa Mhe. Kagasheki hivi majuzi akiwa safarini toka jimboni kwake kwa ajiri ya uchaguzi aligonga na kuua mtu maeneo ya Nzeha. Watoa habari wanasema pia kuwa tayari I.G.P Mwema...
*Ahamishia Ofisi ya Spika wa Bunge Urambo Mashariki
*Thamani yake yamduwaza Kikwete, asema nchi itafilisika
Na Waandishi Wetu
MBUNGE wa Urambo Mashariki, mkoani Tabora, Samuel Sitta...
Wakuu kama kuna mtu anayejua namna sera ya uongozi kwa majimbo inavyofanya kazi anijuze hapa... Inaonekana sera hii imeweza kuleta mafanikio makubwa katika nchi kama Rwanda na Finland...
Leo katika umbeya wangu wa kisiasa nimepitia tovuti ya The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage kuangalia taarifa za vyama vya siasa nchini, miongoni mwa vituko ni huyu katibu wa DP...
Slaa achukua fomu, hajathibitishwa
Imeandikwa na Theopista Nsanzugwanko; Tarehe: 10th August 2010 @ 08:35 Imesomwa na watu: 356; Jumla ya maoni: 1
MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Hivi hakuna namna nyingine ya kupata uongozi km hizi tunazozitumia. Aina hii inagharama kubwa saana hata ethics wise ni tatizo saana. Ni lazima nchi iongozwe kwa utaratibu wa kisiasa au kijeshi...
Ndugu wana jf naomba kuuliza swali ni yupi anafaa zaidi kuchanguliwa kuwa mbunge yule mwenye uwezo mkubwa wa kuibana serikali itimize wajibu wake kwa raia huku akiwa na uwezo mdogo sana wa...
Watanzania tumegubikwa na jinamizi la kuwafanyia siasa chafu watu wanaoweza kufanya maamuzi magumu yenye tija na nchi yetu. tumekuwa vipofu wa kuona yale wanayofanya viongozi hawa wenye bidii ya...
I wish our words, writings would be translated into actions,
Watanzania tu wanafiki sana, including myself. Everyone seems tired with the current system, but what have we done? Talk as usual...
Wadau,
Tumeshuhudia sisi wenyewe kwamba tangu JK na Makamba washike uongozi wa chama hiki kikongwe nchini, mwenendo wa chama hicho umezidi kudhoofika na kuwa wa hovyo hovyo tu -- ni kama vile...
Someone sent me, you can read if you want
It has been long since our Humanity, Personality, Democracy & Resources being explored; the count down of almost 50 years has passed across with...
Ni dhahiri kwamba CCM ikipata mpinzani wa saizi yake inatikisika.Sio siri,tangu Chadema wamtangaze Dkt Wilbroad Slaa kuwa mgombea wao wa kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano katika Uchaguzi Mkuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.