Elections 2010 Yanayoendelea chinichini ndani ya CCM...

Ex Spy

JF-Expert Member
Jan 15, 2007
213
1,726
Kwa ufupi:

  1. Mzee Malecela amehakikishiwa nafasi na Lusinde katupwa nje vibaya sana na kudaiwa kuwa alidanganya suala la Elimu yake, Lusinde kakasirika sana kwa hali hii na huenda akachukua hatua ambayo haikutarajiwa ndani ya CCM, si tetesi hizi!
  2. Katibu Mkuu wa CCM, Yusufu Makamba amewapigia simu mkoa wa Manyara akitaka kura za maoni huko Simanjiro ambako alishinda Ole Sendeka zirudiwe (nia ni kumng'oa Sendeka) lakini wao wakamwuliza mbona hakukuwa na malalamiko hata chembe wala kasoro yoyote? Wana CCM kule Simanjiro wanashangaa kule Bumbuli ambako Januari aligombea hawajarudia japo kulikuwa na malalamiko kadha wa kadha lakini wao wanalazimishwa kurudia, wanaonekana kukasirishwa na maamuzi ya kulazimishwa.
Kuna mengine nayaleta, nipe muda tu
 
kwa ufupi:

  1. mzee malecela amehakikishiwa nafasi na lusinde katupwa nje vibaya sana na kudaiwa kuwa alidanganya suala la elimu yake, lusinde kakasirika sana kwa hali hii na huenda akachukua hatua ambayo haikutarajiwa ndani ya ccm, si tetesi hizi!
  2. katibu mkuu wa ccm, yusufu makamba amewapigia simu mkoa wa manyara akitaka kura za maoni huko simanjiro ambako alishinda ole sendeka zirudiwe (nia ni kumng'oa sendeka) lakini wao wakamwuliza mbona hakukuwa na malalamiko hata chembe wala kasoro yoyote? Wana ccm kule simanjiro wanashangaa kule bumbuli ambako januari aligombea hawajarudia japo kulikuwa na malalamiko kadha wa kadha lakini wao wanalazimishwa kurudia, wanaonekana kukasirishwa na maamuzi ya kulazimishwa.
kuna mengine nayaleta, nipe muda tu

mwisho wa ccm umefika yatawapata yaliowapata kanu ya kenya
 
March on soldier.....huyu Makamba huyu...am glad he is not in the government now...abaki hukohuko CCM
 
Hilo la Makamba ni la aibu zaidi.
Lol!
Hilo la Lusinde kuchukua hatua hebu tusikilizie atachukua hatua gani.
 
Kwa ufupi:

  1. Mzee Malecela amehakikishiwa nafasi na Lusinde katupwa nje vibaya sana na kudaiwa kuwa alidanganya suala la Elimu yake, Lusinde kakasirika sana kwa hali hii na huenda akachukua hatua ambayo haikutarajiwa ndani ya CCM, si tetesi hizi!
  2. Katibu Mkuu wa CCM, Yusufu Makamba amewapigia simu mkoa wa Manyara akitaka kura za maoni huko Simanjiro ambako alishinda Ole Sendeka zirudiwe (nia ni kumng'oa Sendeka) lakini wao wakamwuliza mbona hakukuwa na malalamiko hata chembe wala kasoro yoyote? Wana CCM kule Simanjiro wanashangaa kule Bumbuli ambako Januari aligombea hawajarudia japo kulikuwa na malalamiko kadha wa kadha lakini wao wanalazimishwa kurudia, wanaonekana kukasirishwa na maamuzi ya kulazimishwa.

Kuna mengine nayaleta, nipe muda tu

Mzee Malecela wanaMtera hawamtaki, wakirudisha jina lake watafanya walichokifanya na mzee atazidi kuaibika!
 
Hivi Mzee Malecela anataka kungangania hilo jimbo hadi lini awe na busara awaachie wengine ama aliambiwa hilo jimbo ni lake milele (Mbunge wa Maisha Mtera).
 
Mzee Malecela wanaMtera hawamtaki, wakirudisha jina lake watafanya walichokifanya na mzee atazidi kuaibika!

Wanapanga kuiba kura sehemu nyingi. Inabidi kuwa na utaratibu wa kufundisha wananchi jinsi wanavyoweza kuibiwa kura na namna ya kulinda kura zao. Sidhani kama elimu kwa wapiga kura inatosha kwa sasa. Mwaka huu kuna dalili ya liwalo na liwe
 
Kama hatakiwi kukosekana Bungeni basi atakaye kuwa rais ampe Jimbo la Ikulu! Mbunge wa kuteuliwa kama alivyo Ma-Kamba na Ki- Ngunge
 
Mungu ibariki Tanzania na watu wake. Hatimaye upinzani wanajihakikishia majimbo zaidi. Lusinde amekaa upande usio wake. Its time he cross line to where he belongs. Hope you will come back home now. Heshima, Umoja na Amani hizi ni ngao zetu....................!!!
 
Ukiona hivyo ujue uchaguzi huu hautakua na haki hata kidogo. Wanampango wa kuiba kura sana wanafkiri watakaochagua wao ccm basi ndio wabunge moja kwa moja. CHADEMA tafadhali lioneni hili na mlipangia mikakati madhubuti kabisa.

Hawa CCM nafikiri hawajui sisi wananchi tumewachoka kiasi gani!
 
March on Universal Soldier -

By Hook or By Crook: TingaTinga was to bounce back!

Tatizo ninaloliona ni kuwa huyu Mzee JK amemchoka na ndiyo maana wanalazimisha arudi kwenye uchaguzi na atakiona cha moto kwenye vile visanduku
 
Mungu ibariki Tanzania na watu wake. Hatimaye upinzani wanajihakikishia majimbo zaidi. Lusinde amekaa upande usio wake. Its time he cross line to where he belongs. Hope you will come back home now. Heshima, Umoja na Amani hizi ni ngao zetu....................!!!
Inabidi sasa wapinzani wazichange karata zao vizuri ili wajihakikishie majimbo mengi zaidi.
CCM sasa inajichimbia kaburi lake!
 
Hivi malechela hakubaliani na ukweli kuwa amezeeka au ni anaogopa kufa?
Hivi kiumri malechela ana tofauti gani na hawa wazee? - ndejembi, Job Lusinde, Mzee Cleopa Msuya, Warioba, kisumo?
 
Is there no one in ccm who can see beyond his nose?
hakuna aliyeona kuwa wakichagua wawakilishi kwa kura ya maoni kupitia wanachama mambo kama haya yatatokea?
They could have better done it in their old ways!!
vita vya panzi furaha kwa kunguru!
 
Mimi nazani kipo cha CCM kinakaribia...Unajua hata mgonjwa akikaribia kufa huwa anaongea sana '' MARA AONGEE VIZURI MARA ACHANGANYIKIWE'' Hapa ni kiasi cha wapinzani kuchanga karata vizuri

CHADEMA Muwe makini maana kuna Mamluki watakimbilia kwenu muwapime kabla ya kuwapokea... lazima wawe na utashi kama wa Dr Slaa aliponyimwa kura za maoni na CCM akaamua kuja CHADEMA na mpaka leo tunaona utendaji wake.....
MaaNa wasiwasi wangu kuna watu walikuwa wanaichukia sana chadema lakini wakitemwa wanaweza kutaka kuingia CHADEMA!
 
"Hivi kiumri nani mkubwa kati ya hawa mzee ndejembi, Job Lusinde, Mzee Cleopa Msuya, Warioba?"

Malecela na hao walisoma wote MIDOSKUL :becky::lol:
 
Mimi nazani kipo cha CCM kinakaribia...Unajua hata mgonjwa akikaribia kufa huwa anaongea sana '' MARA AONGEE VIZURI MARA ACHANGANYIKIWE'' Hapa ni kiasi cha wapinzani kuchanga karata vizuri

CHADEMA Muwe makini maana kuna Mamluki watakimbilia kwenu muwapime kabla ya kuwapokea... lazima wawe na utashi kama wa Dr Slaa aliponyimwa kura za maoni na CCM akaamua kuja CHADEMA na mpaka leo tunaona utendaji wake.....
MaaNa wasiwasi wangu kuna watu walikuwa wanaichukia sana chadema lakini wakitemwa wanaweza kutaka kuingia CHADEMA!
watakuja tu! waende wapi?
 
I saw this coming...! Malecela hawezi kuachwa nyuma

Mkuu hapa kuna swali la kujiuliza ni kwanini Malecela anaahidiwa nafasi, kama ameshindwa kwanini asibaki pembeni, kwani hawezi kutoa mchango akiwa pembeni? Kama ameonekana hakubaliki jimboni kwake (bila kujali sababu) ambako wanamjua vizuri zaidi kuliko sehemu nyingine za Tanzania, atakubalika vipi kwenye sehemu nyingine? Au ndio dhana ya kufa na uongozi. Mbona watu wa calibre yake kana kima Cleopa David Msuya, Joseph Sinde Warioba na Salima Ahmed Salim, wamekaa pembeni kimya? Ina maana wao hawana umuhimu au hawana uwezo?

This is so sick. Tunamheshimu mzee wetu, lakini uongozi hautakiwa kuwa a tool for apeasement. Watu kama kina Mzee Malecela, Msekwa,Kingunges wanfaa kufuata nyao za kina Warioba na Msuya. Too much.
 
Back
Top Bottom