• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
The Invincible
Reaction score
2,311

Profile posts Latest activity Postings About

 • habi alex
  Hi,
  it has come to my knowledge that there is Jukwaa la kikubwa, can you please let me know how to access?
  kifinga
  invisible naomba msaada ku access jukwaa la mambo ya kikubwa am 35
  P
  Hello, I wish to change my user name, could you help me the procedures to achieve this? Please send me a private message.
  Jidulamabambase
  Mkuu!

  Huna habari nini? Jidulamabambase amechakachua jukwaa la Siasa. Ukiingia tu umekuwa ume-login kwa jina lake ukijibu post inaonesha wewe ni Jidulamabambase. Hii Imekaaje Mkuu? Au jamaa yuko kwenye mkakati wa kuongeza post? Huyu bwana apigwe ban mkuu.
  Felixonfellix
  Salamu kiongozi
  Habari za majukumu
  only83
  ...............Invincible mbona nikitaka kutuma thread mnaizuia kwa muda mrefu kwa sababu kuwa mnaipitia kwanza...................kama ni hivyo naomba muwe fasta plz....
  Edmond
  Mzee Invisible,please give me the access of mambo ya wakubwa
  Candid Scope
  Mpendwa Invisible, Kwanza hongera kwa kazi nzuri na ubunifu kwani hapa wengi ni nafasi ya kuelimishana, nami nimepapenda sana na kazana tusirudi nyuma.

  Ombi langu ni moja, siku hizi hapa jamii forums naona kama tumeingiliwa na magamba. Kunakuwa na topic nzuri sana za kisiasa ambazo ni nzuri kuzijadili ingawa si zote, lakini kuna moderator mmoja ana kawaida ya kuhamisha topic nzuri kisiasa na zinazoakisi hali halisi ya maudhui yanavyoendana na siku hizi, huzipeleka kwenye dhead ambazo hazipitiwi na wengi.

  Mfano leo niliweka topi moja kwenye dhread siasa yenye kichwa cha habari: Ukoo - CCM walivua gamba la Nyerere, Nape anaongelea CCM?

  Nimeshangaa moderator ameihamisha hoyo na kuipeleka mafichoni kusiko pita wengi waisome na kuichangia.Nadhani yuko NY na labda topic hii haimfurahishi. Moderator wanawakiwa kuwa wavumilivu wanaposhughulika na topic kwnye mtandao kama huu.
  Thanks
  Candid Scope
  Candid Scope
  Hello Invisible, I would like to get access to view, comment or place topics in Religion Thread.
  M
  Hi invisible , i would like to view mambo ya kikubwa plz help
  Lasikoki
  Hello Mkuu Invicible, Tafadhali naomba ni-access Jukwaa la Wakubwa. Natanguliza shukrani nyingi
  Candid Scope
  Mpendwa Invincible, naomba ruhusa yako niwe naingia thread ya mambo ya kikubwa. Asante
  K
  Hi mambo ndugu mzalendo.
  Naomba ku access jukwa la mambo ya kikubwa. Shukrani
  N
  Heshima mbele mkuu!!
  samahani nilikua naomba niweze ku access jukwaa la mambo ya kikubwa
  L
  hi
  please allow me to see Mambo ya Kikubwa
  The Invincible
  Invincible,

  Mbona topic yangu yenye title: Usifadi wa Dr. Slaa!! Je Ukweli? mbona imetolewa? Je hapa Jf kuna ufisadi wa watu fulani si ruhusa kuandikwa?

  Hii imetoka kwa future-Tanzania.
  F
  Invincible,

  Mbona topic yangu yenye title: Usifadi wa Dr. Slaa!! Je Ukweli? mbona imetolewa? Je hapa Jf kuna ufisadi wa watu fulani si ruhusa kuandikwa?
  Yegomasika
  Invincible,
  Kulikuwa na sehemu iliyokuwa inaonyesha threads zote zilizokuwa zinajadiliwa kwa wakati huo, vipi mbona siku za hivi karibuni siioni?.
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top