Nautakia heri Mkutano Mkuu wa Chadema kesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nautakia heri Mkutano Mkuu wa Chadema kesho

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Luteni, Aug 11, 2010.

 1. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kwa mujibu wa ratiba ya uchaguzi ya Chadema inaonyesha kesho trh. 12/8 kutafanyika Mkutano Mkuu wa chama hicho. Pamoja na mambo mengine tunategemea utampitisha mgombea wake wa urais Dr. Willibrod Slaa na mgombea mwenza Said Mzee Said.

  Natumaini Regia Mtema a.k.a Gender Sensitive na members wengine wa JF mtatujuvya yatakayojili huko..............Binafsi naitakia Chadema na wapenzi wote wa Chadema mkutano mwema utakaotupitishia huenda rais wetu wa awamu ya tano.

  Nategemea sura hizi hazitakosekana

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2010
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hi hautakuwa live on TBC1?

  Luteni - una uhakika na huyo mgombea mwenza wako?
   
 3. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2010
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Live on TBC?!!! On Tido Mhando's dead body.
   
 4. Tuntu

  Tuntu JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2010
  Joined: Jan 28, 2009
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi vip uchaguzi wa viti maalumu?kilitokea nini?
   
 5. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kweli Selous sina uhakika kama huyo ndiye atakuwa mgombea mwenza au vipi lakini ndiye aliyemsindikiza Slaa kuchukua fomu NEC.
   
 6. W

  WildCard JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2010
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Akina Nape wamefata nini kwenye mkutano ule? Au ndio wameiwakilisha CCM?
   
Loading...